ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. T

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Tanzania daima la leo kanini halijaripoti kikao cha viongozi wa CHADEMA na CCM?

    Nimeona kwenye gazeti la Mwananchi la leo limeandika kwamba uongozi wa CHADEMA na CCM walikutana jana kwa saa nne. Nikatamani niisome Ile habari kwenye gazeti la Tanzania Daima ili niipate kwenye chanzo sahihi. Cha ajabu sijaiona kabisa hiyo habari. Ndipo nikapata maswali mengi sana. Kwa nini...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM imeshindwa kuleta suluhisho la Maji kwa zaidi ya nusu Karne Madarakani....Shame!

    Yaani ukiwakuta wamevaa zile uniform za Kijani wanavyoonekana kama Spinach utadhani ni Watu innocent na wenye maono makubwa kwenye Maendeleo ya nchi. Subutuuuuu!! Ni aibu unapita mikoani eti Kuna Watu wanachota maji kwenye madimbwi, juzi nilikua safarini huko, Kuna vijiji viko barabarani kabisa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wamama wa CCM wamekengeuka! Kwani posa ikiwa na mtungi wa gesi ndio akiolewa atakuwa anajaza gas bure?

    Pesa ya kujazia mitungi ya gas tabu. Kupata chakula tu ni tabu. Leo hii mnakomalia mitungi ya gaz
  4. JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM badala ya kusikitika wao wanacheka tu

    Mbunge wa CCM ameibua ufisadi na wizi unaofanyika nchini pale bungeni. Ni muendelezo wa ufisadi chini ya utawala wa CCM. Badala ya wabunge wenzake wa CCM kukemea huo wizi wao wakaishia kucheka na kupiga makofi. Hili bunge letu kama tunataka bunge bora basi 2025 Watazania tufanye maamuzi magumu.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ukiwa 'chawa' pale CHADEMA au CCM unavunja amri ya pili ya Mungu - "Usijifanyie sanamu ya kuchonga ukaiabudu"

    Unapokuwa chawa wa mwanasiasa ni kwamba huyo Boss wako unamfanya kuwa mungu wako na automatically unakuwa umevunja amri ya kwanza ya Mungu wa mbinguni isemayo "Mimi ndimi Bwana Mungu wako usiwe na miungu wengine ila mimi" Na unapoanza kumuimbia mapambio ya kumsifu na kumuabudu unatenda dhambi...
  6. JamiiForums Tanzania CCM imechoka, imefubaa, imekata pumzi. Upinzani ume-surrender, Wananchi wamebaki peke yao

    Tuambiane tu ukweli. Kwa sasa Serikali ya CCM imeishiwa ubunifu wa maendeleo kwa wananchi. Imechoka sana. Miaka 60 haina ambacho imefanya cha maana. Ubunif umeisha imekuwa business as usual. Maji bado ni tatizo pamoja na mito na maziwa yote tuliyo nayo. Umeme nao tatizo....vyakula tatizo pamoja...
  7. JamiiForums Tanzania JIKUMBUSHE (VIDEO): Tundu Lissu akisambaratisha hoja za watetezi wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar usio na ridhaa ya wananchi

    Anaanza kwa kukaribishwa na "Hangaya" kwa sauti nyororo ya Kizanzibari... Lakini all in all, nasema..; Huyu jamaa ni mtukutu sana. Anapiga nyundo sadistically kiasi cha kukera sana...! Lakini ndo hivyo tena. Ukweli uliofichwa kwa nia ovu, ukifichuliwa na kuwekwa wazi, huwaudhi waliokuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Matumaini yamepotea. Hadi sasa sioni wa kuipigia Kura CCM 2025

    Wanajavi hali si hali Kila mtu haamini kinachoendelea. Gharama za maisha ziko juu kuliko wakati wowote ule, watu wanatafuna hela za serikali bila huruma.. Hakuna mradi unaoeleweka, president akiongea ni porojo tu Hana maneno yenye mashiko. Wafanyabiashara wanatia huruma umeme hamna, ukipita...
  9. JamiiForums Tanzania Wazo chokozi: Serikali ya CCM inawatesa Watanzania kwa ukweli huu

    Uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 uligubikwa na sintofahamu kubwa hadi kupelekea mchakato mzima kugubikwa na ukengemaji wa kuwaengua wagombea wa vyama mbadala na kuwapitisha wagombea wa CCM kwa nguvu ya kupita bila kupingwa Mwaka wa Uchaguzi Mkuu 2020 ndiyo ulikuwa kilele cha janga la...
  10. JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Ukosefu wa maji ni kudra za Mungu wala sio ilani ya CCM. Ilani haiwezi kuleta mvua

    Leo JNICC mkuu wa mkoa wa Dar, Amos Makalla akiwa kwenye kongamano la nishati ya gesi ya kupikia linalodhaminiwa na Taifa Gas ameongelea changamoto ya maji Dar mbele ya Rais Samia. Amos Makala: Mamlaka ya hali ya hewa ilishatabiri, kwamba kutakuwa na kipindi kirefu cha ukame, kwahiyo ni kwamba...
  11. JamiiForums Tanzania CCM waahirisha vikao vya mchujo, Januari Makamba atajwa

    Gazeti la Raia Mwema la leo Oktoba 31,2022 limeweka wazi Siri nzito baada ya Chama cha Mapinduzi kunusa mchezo mchezo mapema na kuahirisha vikao vya mchujo. Wajumbe, wagombea wa mikoa waondoka Dodoma, wapagawa. Lakini kwenye gazeti hilo limemtaja Januari Makamba kuwa ni miongoni mwa wagombea...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wanaosemwa wanautaka Urais ndani ya CCM, Je ni Dharau tu? Mbona wakati wa Chuma waliufyata wote?

    Kuna tetesi kila mahali kuwa ndani ya Chama cha Mapinduzi makundi kwa makundi wanajipanga kuweka upinzani hapo baadaye 2025 uchaguzi ujao. Ofcourse! Watasema ni haki yao ya kikatiba na demokrasia ndani ya chama chao, jambo la kushangaza ni kwanini sasa? Mbona wakati wa JPM wote waliufyata...
  13. JamiiForums Tanzania Ukiondoa hewa, mimea mito na ardhi, vitu vingine vyote vimeletwa na CCM

    Ni kichaa tu atakataa! ccm imechukuwa nchi kutoka kwa mkoloni, vitu vyote kuanzia miundombinu, maflyover,mifumo ya umeme, mashule mahospitali, zahanati na madawa, mabohari, mibarabara nchi nzima, mifumo ya kodi na miundombinu ya maji, reli na masoko ya kisasa bila kusahau viwanja vya ndege na...
  14. JamiiForums Tanzania Azam sports media Kwanini Mechi ya Jana CCM kirumba mlifunga kamera upande mmoja tu?

    Baada ya kuitazama Kwa makini mechi ya Yanga na Geita hapo Jana, niligundua ya kuwa Azam sports walifunga kamera upande wa magharibi tu wa uwanja na kufanya matukio makuu yasionekane Kwa ukaribu na usahihi. Azam media ni kampuni kubwa sana kushindwa kuwa na vifaa vya kutosha ni aibu. Tafadhari...
  15. JamiiForums Tanzania WIVU WA MADARAKA NDIO UNAFANYA CCM ICHUKIWE,

    humu kwenye hili jukwaa ukiweka uzi unaoelezea mazuri ya ccm,hata nusu saa haukai unaondolewa.! watu wamesahau kwamba ccm ni chama cha siasa kama vingine ila ndicho kimeshika dola.wivu wa madaraka unawafanya wapenzi wa ccm waonekane hawana haki ya kutoa maoni yao ! nyuzi zote zipewe haki sawa...
  16. JamiiForums Tanzania Hawa Marefa wasipodhibitiwa watatuharibia mpira

    Inauma sana asee, Refa anatoa maamuzi kwa hisia, ama kweli nchi hii ina watu wa hovyo. Maamuzi ya Refa kutoa penaiti dhidi ya Geita Gold hakika hayakuwa sawa. Mchezaji amepigiwa mpira ukafuata mkono lakini pia kama haitoshi mchezaji alikuwa nje ya eneo la hatari. Aibu.
  17. JamiiForums Tanzania Hivi kuna goigoi wa akili anawaza kabisa kuwa leo Yanga SC itafungwa na Geita Gold FC kule CCM Kirumba?

    Uzembe wetu na kufungwa kipumbavu na Azam FC juzi umeshatugharimu na leo ndiyo tunaenda rasmi kuachwa kwa alama (points) tatu (3) na Yanga SC. Na hata kesho kuna uwezekano Mtibwa Sugar FC naye akatudindia na gap likaendelea kuwa la alama (points) tano (5). Na ndiyo maana GENTAMYCINE kwa...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Miaka 60+ ya CCM, hakuna uhakika wa kula, Maji wala umeme

    Toka tupate uhuru ni miaka zaidi ya 60 chini ya utawala wa CCM lakini watanzania hatuna uhakika wa kula, kuoga wala kuona usiku. Nikimaanisha kwamba hakuna chakula cha kutosha, hakuna uhakika wa maji wala umeme. Leo unga wa sembe kilo ni zaidi ya shilingi elfu 2, maharage yako shilingi elfu 4...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM Ikulu ya Chamwino Dodoma

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichokutana Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma leo Ijumaa tarehe 28 Oktoba , 2022. #CCMImara #KaziIendelee
  20. JamiiForums Tanzania Bunge la CCM ndiyo mchawi wetu

    Bunge hili lililotokana na Uchafuzi Mkuu ndilo limetultea Tozo lukuki Mfumuko wa bei Mkwamo miradi ya kimkakati Mgao wa umeme Wastaafu kutolipwa mafao Wizi wa bando Ongezeko la uhalifu Utendaji holela serikalini Uchawa Ni bora Bunge hili likastaafishwa kwa lazima 2025. Kila hoja hapo juu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…