ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Udhaifu mkubwa wa upinzani nchini ndiyo kicheko kwa CCM

    Weakness kubwa ya upinzani wetu ni kutojipanga, kulialia bila vitendo, kupiga kelele tu. Haiwezekani suala zima la Katiba Mpya ambalo ni haki ya kikatiba ya kila mwananchi iwe kama hisani au Willing ya watawala. Hivi mkitoka watu million 6 barabarani ambao ni wanachama wa chama kimoja nchini...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania CCM ni ya nani?

    Kuna msemo unasema CCM ina wenyewe, hao wenyewe ni akina nani? Kila kikundi/chama kina waanzilishi wake ambao ndio huwa Na sauti Na heshima kubwa mbele au nyuma ya pazia. Sauti Na heshima hizo huwa zinarithishwa kwenye kizazi cha waanzilishi hao. Chadema, NCCR, ACT, Chauma, NRA, TLP, nk...
  3. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Maandamo ya kuikomboa Tanzania kutoka kwa CCM ni sasa

    Muda wa kuwaambia CCM & co kwamba imetosha ni sasa na si wakati mwingine wowote tena. CCM hii iliyochokwa hadi na Viongozi wa taasisi za Ulinzi kuiondoa madarakani ni sasa tena kwa fedheha kuu! Iwe Chadema ama wapenda haki popote walipo shime tuunganisheni nguvu kuwaondoa hao nduli!
  4. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Babati: Viongozi wa CCM wilaya ya Babati wamshamburia askari Polisi kwa mateke na fimbo, kisa tu kuulizwa kibali cha mkutano

    Viongozi CCM mbaroni kwa kumjeruhi Askari Polisi KATIBU wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilayani Babati Filbert Mdaki (52) na Katibu wa Jumuiya ya Vijana UVCCM wa Wilaya hiyo, George Sanka (46) wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumpiga Askari Polisi mateke na fimbo. Kamanda wa Polisi...
  5. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Wahuni hawatashinda, CCM ni taasisi kubwa inayoweza kupambana na wahuni.

    Kitu kimoja nina hakika ni kwamba wahuni hawatashinda lakini kitu kimoja nina imani kubwa sana ni kwamba ni Chama Cha Mapinduzi (CCM) pekee ndio kina uwezo wa kitaasisi na kidhamira wa kukabiliana na wahuni. Kazi ni kwetu wana CCM. #ujamaaniimani #kaziinaendelea #kataawahuni...
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua elimu ya Lesle Dulle mgombea wa ubunge kupitia CCM

    Nahitaji kujua elimu ya Lesle Dulle mgombea wa ubunge kupitia CCM
  7. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Kweli Dunia inaenda mbio sana leo Mbowe ni maarufu kuliko vikao vikuu vya CCM?!

    Tokea tarehe 16 hadi 18 jana huko Dodoma kulikuwa na vikao vikuu vya CCM tena vikiongozwa na Rais wa Nchi ambaye ni kiongozi wa hicho chama. Ajabu tofauti na vikao vya huko nyuma vya CCM hivi vya sasa havina mvuto na hamasa kama zamani.Yaani vimepoa kuzidiwa hata na umaarufu wa Mbowe aliyepo...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CCM na Mwenyekiti Chadema ni nani anajengwa zaidi.

    Mivutano na kauli tata pande zote mbili kwa wenyeviti wa vyama hivi imekuwa mikubwa ndani ya vikao vyao na nje ya vikao vyao. Je ni yupi chama chake kinajengwa kupitia mivutano hiyo. Ni yupi anakiharibu chama nakikipa wakati mgumu. Kuna faida yoyote kwa watanzania
  9. I

    JamiiForums Tanzania Nawaonea huruma wabunge wa CCM, wengi hawaturudi 2025 Bungeni

    Kipindi Cha mwendazake wengi walitangazwa kinguvu na wakurugenzi licha ya chadema kushinda viti vingi including kawe na Ubungo. Wakurugenzi walikuwa wameshaelekezwa kuwa atakayetangaza chadema tu basi ajihesabu hana kazi na hakuna aliyekuwa tayari kupoteza kazi kisa kumpa ulaji mwingine. Kwa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania CCM hawana Ubavu wa kumfukuza Polepole kwa sababu ya Madudu ya Ndugai Bungeni

    Akina Polepole na akina Gwajima wanajiamini sana.. Wanajua CCM hawana Ubavu wa kuwavua Uanachama kwa sababu hatua hiyo itamexpose Ndugai na kumtaka awavue Ubunge.. Itakuwa ni fedheha kubwa sana kwa Faru J kuwafukuza Ubunge akina Gwajiboy kwani atahojiwa wale Covid-19 wanafanya nini Bungeni...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania CCM msihangaike na hawa akina Polepole, Silaa na Gwajima, bali hangaikeni na wanaowatuma ambao mmewakumbatia Sekta Nyeti na Serikalini huko

    Tena Mwenyekiti Taifa CCM ( Rais Samia ) kama Wasaidizi wako wanakuficha sasa Mimi GENTAMYCINE leo 'nakuchana' Mubashara hapa hapa kuwa kwa 85% unazungukwa na Wanafiki na Maadui zako ambao tayari wameshakupima na Kukuona ni Mwepesi kwa Mipango yao 'Ovu' Kwako hivyo shtuka mapema kabla yale ya...
  12. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CCM kumeguka iwapo Polepole atafukuzwa uanachama na huu ndio mwanya wa upinzani kupata nguvu 2025

    Kundi kubwa la wanaCCM wataondoka CCM kama polepole atafukuzwa uanachama. Hili ni kundi la wanachama ambao wanajinasibu kupinga ufisadi na kutetea maslahi ya taifa. Huuu ndio mwanya wa upinzani kupiga bao na kupata nguvu. CCM itapata tabu sana 2025.
  13. S

    JamiiForums Tanzania CCM Msijitoe ufahamu mtu pekee aliyekuwa nawabeba ni Magufuli! Sasa hayupo jiandaeni kisaikolojia!

    Nasema hivo kutokana na ukweli kuwa chama cha mapinduzi 2015 wananchi walikuwa wameshakikataa kwa kuchoshwa na rushwa iliyokithiri ya utawala wa kipindi hicho!Ujio wa Magufuli ambaye tayari alikuwa ameshajipambanua kwa wananchi kwa uchapakazi wake kuliwafanya baadhi ya watanzania kurudisha moto...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM)

    TAARIFA KWA UMMA KUTOKA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)
  15. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Silaa, Polepole na Gwajima waitwa Kamati Kuu ya CCM kujieleza

  16. K

    JamiiForums Tanzania Kwako Katibu Mkuu wa CCM ndugu Chongolo

    Kwanza nikupe heshima yako, shkamoo na pole kwa majukumu makubwa ya kuongoza chama, Siku kadhaa kabla ya sherehe ya uhuru ulifanya kikao na waandishi wa habari kuelezea mafanikio ya chama ndani ya miaka 60. Katika kikao hicho ulizungumza mambo mengi lakini kwangu napenda kuchangia kuhusu haya...
  17. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania TCRA: Kipindi cha Shule ya Uongozi cha Humphrey Polepole kinatolewa pasipo kuzingatia misingi, sheria na kanuni za huduma ya utangazaji

    Kamati ya Maudhui ya TCRA imesema kipindi cha Shule ya Uongozi cha Mbunge Humphrey Polepole kinatolewa pasipo kuzingatia misingi, sheria na kanuni za huduma ya utangazaji. Kamati imeongeza kuwa maudhui ya kipindi ni ya upotoshaji na yanayoweza kusababisha taharuki kwa wananchi. Sasa kiki ya...
  18. F

    JamiiForums Tanzania CCM siyo ya Nape na Polepole

    Ili kuepuka mitandao na makundi maslahi ndani ya CCM kuvuruga ustawi wa chama na ili kutorudia makosa ya 2015 yaliyokipasua chama, ninashauri CCM imuue nyani bila kumuangalia usoni, ninamaanisha wote Nape na Polepole ni "madegenyanga" wachukuliwe hatua sawia ili ku-harmonize hali hii inayotishia...
  19. mgt software

    JamiiForums Tanzania Vita ya CCM chotara na CCM walowezi: Nani alirudisha Chama kwa wananchi?

    Wana JF Japokuwa Kiroboto anapigana kivyake kwa kutokubaliana na mambo fulani fulani yanayoendelea ndani na nje ya serikali mbali na maudhui yake ya kununua machawa toka upinzani, angalau bado ana kauzalendo kalikokuwa kamemezwa na mapapa ya CCM Asilia ambao kazi kubwa ni kuhakikisha...
  20. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Wahafidhina wanavyoiweka kwenye wakati mgumu ccm 2025

    Historia inatuonyesha na kusomeka kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) ni miongoni mwa vyama vikongwe hapa barani Afrika vilivyobaki madarakani hadi sasa baada ya wimbi la kudai uhuru wa bendera, uhuru wa watu na rasilimali za nchi kumalizika kwa ufanisi wa hali ya juu sana. Makala ya wiki hii...
Back
Top Bottom