ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Mstaafu Jakaya Kikwete anakerwa na nini?

    Mstaafu Jakaya Kikwete anawashwa na nini? Na Mjumbe wa Mkutano Mkuu MWAKA 2017, aliyekuwa Rais wakati huo, John Pombe Magufuli, alisema: "wastaafu wengine hawachoki kusema, wana washwa washwa." Magufuli alitoa kauli hiyo kuwalenga baadhi ya wastaafu ambao aliwaona kuwa wanaleta chokochoko...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona Mkutano Mkuu CCM( NEC) uliofeli kama huu

    Hakuna haja ya kuongea sana. Ktk historia ya siasa za CCM kuna jambo limezuka na jambo hilo sio la kawaida. Ccm imebaki inaendesha mikutano ya ndani yenye vitisho vikali mno. Cha ajabu zaidi ni pale wanapotishana wao kwao na kutukanana wazi wazi. Mkutano ulijaa matusi, kejeli, hasira...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aitoa CCM Dodoma ikiwa Moja, Imara,yenye Mshikamano

    Ndugu zangu uchaguzi wa CCM kuanzia mashina mpaka Taifa Umekamilika kwa kishindo ,furaha ,amani, upendo, mshikamano,umoja na ushirikiano. Ni uchaguzi uliotikisa ndani na nje ya Tanzania,Ni uchaguzi uliokuwa umeisimamisha nchi kimijadala, Ni uchaguzi ambao uliteka vyombo vyote vya Habari,Ni...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Damu ya Ben Saanane sasa yaanza kuipasua CCM

    Damu ya kijana mbichi kabisa iliyomwagwa na lizee la miaka 60 sasa imeanza kujibu mapigo. Dhihaka, dharau na kila aina ya madhila yanamuandama aliyeimwaga. Waliomuunga mkono kwa aina ya maisha na hulka alizokuwa nazo wanaumia mioyoni na akilini. Wanatamani asisimangwe hadharani. Lkn...
  5. JamiiForums Tanzania Uongo mgumu kuutetea, Tundu Lissu, CHADEMA na CCM wanahaha!

    Wanajua jinsi Tundu Lisu alivyopigwa risasi na nani hata yeye Tundu Lisu anajua jinsi alivyojitoa kafara na alivyopata ukilema wa maisha, yote hii sababu ya power, na ndiyo maana wanajitoa akili yote hii kuutetea uongo, uongo ni dhambi na mgumu sana kuiishi nao kwani ni lazima uendelee...
  6. JamiiForums Tanzania MIAKA 61 YA UHURU: Je, ni kweli wananchi hawaitaki CCM na wamewapuuza wapinzani?

    Heri ya kumbukumbu njema ya Uhuru wa Tanganyika na baadae Tanganyika iliungana na Zanzibar mnamo mwaka 1964 na kuzaliwa Tanzania,Bendera ya Tanganyika ilivyoanza kupepea mwaka 1961 tulishuhudia tunavyoanza kujitegemea,kila nikiusoma utenzi wa tujifunze lugha yetu,kitabu cha 7 najiona mwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa CCM

    CCM imemaliza Mkutano wake Mkuu wa 10 Kwa uchaguzi wa Viongozi wa Chama hicho ngazi ya Taifa. Naipongeza CCM Kwa kuwa Chama bora Na chenye demokrasia ndani ya Chama sio tu katika Afrika, Bali pia hata ulimwenguni Ni Chama kinachozidi kujijengea uimara, Na Kwa namna kinavyopendeka (sio tu Kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme ndilo litakuwa janga kuu la kura za CCM 2025. Mabadiliko ya haraka ya sekta hii ni muhimu

    CCM imekamilisha kupanga timu ya kusaka kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Mabadiliko ya watendaji serikalini yanatarajiwa kufanyika hivi punde kwa lengo hilo hilo la kuvutia kura za wananchi. Katika harakati zao hizo ni vyema wakazingatia ushauri ufuatao: - Janga namba moja kuu...
  9. JamiiForums Tanzania Ijue Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa na Wajumbe wake

    Leo katika kujifunza masuala ya siasa, ningepeda kuwaelezea kuhusu NEC ya CCM. Kuna watu wengi hawaijui na hawawajui wajumbe wake. Baada ya marekebisho madogo ya katiba ya CCM kumekuwa na ongezeko la viti. Ngoja nianze kulingana na KATIBA YA CHAMA CHA MAPINDUZI Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini uchaguzi wa Sekretariet ya CCM uliokuwa ufanyike leo umeahirishwa?

    Shaka Hamdu Shaka ambaye ni Katibu wa Itikadi na Uenezi ametangaza kuwa uchaguzi wa Sekretariet ya CCM uliokuwa ufanyike leo umeahirishwa. Amedai uchaguzi huo utafanyika siku zijazo na pengine mwakani. Sababu kuu ni nini? Au kauli za Makamba zingebadilisha uelekeo wa ushindi?
  11. JamiiForums Tanzania Calculation haziko sawa CCM maybe Chongolo na Idara ya Organization mmeshindwa

    Team Samia Suluhu Hassan was not observed during general meeting kosa ni kuwa Chongolo umefeli kutengeneza team Mama kwenye huu uchaguzi sijui ulikua unafanya nini maybe you don't know your power au you are buzzy for nothing angalia zimebaki team lakezone inayoungwa mkono na kusini na team Msoga...
  12. JamiiForums Tanzania Matamshi ya Mzee Yusufu Makamba yasiyo na busara, yameiadhiri CCM kwa kiasi fulani!

    Busara ni kitu cha bure. Na kwa kawaida mtu akiwa mzee, kama alivyo Yusufu Makamba, inategemewa na jamii zote duniani kuwa atakuwa anaongea mambo ya busara na yenye maonyo, yatokanayo na uzoefu mkubwa kimaisha. Mimi ni mwana CCM, kada, ila sijapenda rap rap ya Makamba. Maneno ya mzee Yusufu...
  13. JamiiForums Tanzania CCM hii ya 2025 ni ya Mzee Makamba na Mzee Kikwete

    Hakuna ubishi kuwa uchaguzi huu wa CCM umetengeneza CCM ambayo inafanana zaidi na Mzee Jakaya na Mzee Yusufu kwa tabia, muonekano na DNA. Nionavyo Mimi CCM hii imetundikwa kwenye mabega ya wazee Kinana na Makamba na vijana wao akina akina Nape na January chini ya uongozi wa Mzee Jakaya (baba...
  14. JamiiForums Tanzania Mkutano wa CCM ulijaa Vijembe, Mizaha, na Rushwa

    Kwa mtazamo Wangu CCM wanahitaji kujitafakari pakubwa saaaana. Na kama Wana CCM hawataamka na kutetea Chama Cha Mambuzi, wataendelea kudharaulika. Huwezi kuandaa mkutano wa mabilioni huku ukiacha mkutano huo utawaliwe na Vijembe, Mizaha na Rushwa. Je, mlienda Dodoma kusimangana? Mnaanza...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 61, chama chenye maarifa mengi (CCM), kimeshindwa kutatua tatizo la maji na umeme!

    Sisemi mengi. Hivi inakuingia akilini kuwa CCM ni chama chenye maarifa mengi kama kwa miaka 61 sasa watanzania wanakabiliwa na shida ya maji na umeme wakati nchi imezungukwa na mito, maziwa na hata bahari? Yaani watu walioshindwa kutumia maji ya maziwa (mfano ziwa victoria) katika kupambana na...
  16. JamiiForums Tanzania CCM ina wenyewe na wenyewe ndio Sisi. Wale wakuja wote tumewaondoa

    1. Kikwete 2. Kinana 3. Makamba 4. Rostam Aziz 5. Na Mzee wangu naye nashukuru sasa amerudi amekuwa Mnec. Hawa ndio wanaweka Rais wanayeona anafaa. Hawa ndiyo wenye mapenzi na hii nchi na wanafahamu CCM kwa ukaribu. Mlituletea mtu mgeni akawa hasikilizi anachoambiwa anafanya atakalo na hajali...
  17. JamiiForums Tanzania Idugunde: CCM inawatala watanzania kisultan na kibabe watanzania walishaichoka ila basi

    Diallo business tycoon wa Mwanza alisema kweli. CcM wanapora chaguzi. Hawakubaliki. Hili lipo wazi kila kona ya Tanzania. Kuna familia za wanaCCM wanaona hii nchi ni mali yao ya kuitafuna na kurithishana kuitafuna.
  18. K

    JamiiForums Tanzania Wazee wa CCM wataka wajumbe waridhie Rais Samia kugombea 2025

    Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM, Mzee Yusuph Makamba alipewa nafasi ya kuzungumza kwenye mkutano huo alisema kama kweli wote waliosimama na kumsifia Dkt. Samia Suluhu wameongea wakimaanisha basi wasimame na kupitisha azimio la kuwa Samia Suluhu ndiye atakua mgombea pekee kwa mwaka 2025. "Naona kila...
  19. JamiiForums Tanzania Nawashukuru wajumbe wa CCM, Tusichanganye Siasa na Mpira au Siasa na sekta ya Habari, ni hatari kwa Taifa

    Mimi sijawai na sitawai kuwa mwanachama wa ccm mpaka naingia Kaburini Ila ccm ikifanya vizuri tuwapongeze. Uchaguzi uliofanyika jana kiukweli nimeupenda kwa kuwa na sifa moja tu. Kutengenisha kitu kinaitwa Mpira na Siasa kutengenisha sector ya Habari na Siasa, pia naiomba ccm waende mbali...
  20. JamiiForums Tanzania Tusahau kuindoa CCM kupitia ballot box

    Unjani sabuwona Kwa hali niliyoiona jana pale Dodoma kamwe ccm haiwezi kutokana madaraka kwa kutumia ballot box hawa watu wamejipanga kweli kweli kila kitu ni Chao. Hapa nielewe sijamaanisha itumike violence hapana let make sure that katiba mpya inapatikana soon as possible ili mambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…