ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde wabunge wa CCM msichague Tulia Ackson kuwa Spika, tayari ameshaonesha udhaifu wa kutosimamia katiba ya JMT. Hafai kabisa kuwa spika

    Tunajua mpo wengi ndani ya mjengo wa National Assembly. Maana ni karibu ya 98 % ya wabunge wote. Japokuwa wengi mpo bungeni kimazabe mazabe baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 kuwa na maluelue lakini hili la spika kuweni na Uzalendo. Bunge haliwezi kuwa na spika ambae ataona staha kuisimamia na...
  2. winnerian

    JamiiForums Tanzania Neno fupi kwa viongozi wanaotokana na CCM

    Kubalini upatiakanaji wa katiba mpya utakao harakisha maendeleo ya Taifa letu kwa ujumla. Katiba ni kama business plan. Nchi yetu inahitaji "Busness plan" itakayo endana na zama hizi za uwazi na teknolojia kubwa. Tukishndwa kuwa na maono mazuri na Taifa letu miaka mingi ijayo tutabaki nyuma ya...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Je, CCM ina uthubutu wa kuunda 'task force' ya kuchunguza mali za wanachama wao Viongozi serikalini?

    Kampeni za kuwania kiti cha spika wa bunge la Tanganyika zimepamba moto. Kuna nyuso kongwe chakavu zinatajwatajwa na kujitokeza sana hasa huko vijiweni na mitandaoni baada ya spika mtangulizi kujiuzulu nafasi hiyo mapema wiki iliyopita. Hata waganga wa kienyeji wameanza kufaidika na hizi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Wananchi wameichukia CCM ilishazoea kuwaona wajinga, wananchi wa leo sio wa 2015

    Walishazoea kufanya ufisadi na kuiba mali za umma na wakati wa uchaguzi wanawalaghai wananchi. Sasa watanzania walishawashutukia. Mwaka 2015 baada ya kuona kuwa walishachafuka kwa ufisadi wakafanya ulaghai kujifanya wanawakataa mafisadi, kumbe ndio walewale. Mwaka huu na kuendelea watanzania...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Bila kujali itikadi zetu za vyama na dini zetu, kuanzia leo hadi 2025, ni maombi kwa Mungu ya kuifuta CCM

    Ni Nani asiyechoka na hii kitu inaitwa CCM kwa sasa? Ninaamini hata walioko CCM dua yenu ni ili siku moja asiingie mtu asiyetokana na chama chenu, maana hofu yenu ni pale itakapo walazimu kurudisha Mali zoote mlizoiibia nchi yetu! Kwa kuwa Tanzania ni nchi ya waungwana, na wananchi wake kilio...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kulitoa meno Bunge ulianza kitambo, haya tunayoona ni matokeo tu ya process

    Tujikumbushe kidogo! Wakati wa spika Sitta,serikali ilisimamiwa ipasavyo na bunge!Ilipelekea mijadala mingi kupenya bungeni na kujadiliwa!Viongozi wa CCM walimlalamikia Sitta kwa kuiruhusu mijadala bungeni ambayo inaishambulia serikali!Sitta hakusikia na akaendelea kulisimamia Bunge kwa kufuata...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: Kuanzia tarehe 10|01|2022 anayetaka kuwa Spika wa JMT kupitia CCM ruksa kuchukua fomu

    === Katibu wa Halmashauri Kuu ya Nec Itikadi na Uenezi CCM-Tanzania Mhe Shaka Hamdu Shaka ametoa ratiba ya kumpata mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi atakayepeperusha bendera kwenye Uchaguzi wa kumpata Spika wa Bunge la JMT, Uchaguzi huu utafanyika kuziba nafasi ya aliyekuwa Spika wa Bunge...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Matukio ya CCM katika picha

  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ina maana hawa wanaovaa makanga na matisheti ya CCM wakati wa kampeni CCM sio mali yao? Ni mali ya wajanja wa mjini

    Hii sasa ni kali, kumbe hawa akina mama na akina baba huwa ni mazoba tu na huwa wanawasindikiza wenye chama chao?
  10. T

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwenye CCM, kinachofata kitaduwaza wengi

    Anayefikiri CCM ina wenyewe anapoteza Muda na huenda haijui CCM. Kama CCM ina wenyewe basi familia ya Nyerere ndio wenye chama.... Ila ikiwa mwanzilishi wa hili Taifa familia yake haipo popote basi tulieni muone kitatokea.
  11. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA jipangeni 2025 hii CCM haikubaliki kwa wananchi, mtapata upenyo mkubwa sana na kupiga bao

    Ni dalili kubwa sasa hii ni CcM ya wapigaji na wajanja aka wazee wa kupiga madili kama ya Lugumi, kagoda na Escrow. Mpaka tunafika 2025 wananchi watakauwa wameshachoka na kuikataa mioyoni mwao. Mjipange na kufanya kweli.
  12. MGOGOHALISI

    JamiiForums Tanzania Asante Samia kwa ujumbe. Sasa tumeelewa bila watu fluani CCM haipo

    Hili baraza jipya linaonyesha jinsi CCM ya kumilikiwa na watu inavyorudi kwa kasi. Sasa 2025 kwanini wasikunyooshe? Umewapa uhalali wewe mwenyewe. Kijani wenzio watakupiga nje na ndani hakuna rangi utaacha kuona.
  13. M

    JamiiForums Tanzania CCM ni chama cha kisulutani, 2025 watanzania tujiongeze. Wanarithishana utawala na kupiga madili tu.

    Hili lipo wazi kabisa uongozi wa taifa hili chini ya CcM ni kurithishana na kupeana mapande ya kupiga madili. Mwaka 2025 ndio wakati muafaka wa kuwaadhibu. Maana wanarithishana upigaji madili na uongozi kama taifa la kisulutani
  14. B

    JamiiForums Tanzania Genge ndani ya CCM lililotaka mapinduzi baridi ndani ya CCM kuelekea 2025 laanza kushughulikiwa

    Hawa ndiyo wanasadikiwa kuwa ni wana CCM waliotaka kuachana na utamaduni wao wa 'miaka 10' aachiwe mwanaCCM aliyepo Ikulu aendelee 2025. Vigogo wazito kama Spika Job Ndugai, waziri mzalendo namba 2 Prof. Palamagamba Kabudi, mchapa kazi asiyechoka William Lukuvi, mawaziri na wabunge kadhaa wenye...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Chadema hawana madaraka ila wana furaha na wana watu nyuma yao; CCM madaraka yanawatesa

    Wapo wanadani wapo na amani waishi maskini lakini wawe na uzima wa akili,mwili na nafsi. Lakini wapo wanadamu wanatamani waishi bila amani ila wawe na fedha. Wapo wanadamu wameridhika na kile wanachopata Cha haki, wapo wanadamu wanakwenda Kwa waganga wapate Cha ziada bila kujali masharti...
  16. Richard

    JamiiForums Tanzania CCM imetudhihirishia kuwa ni chama Dola. Rais na Spika ni watu tofauti na Taaisisi ya Urais na Bunge ni vitu vingine

    Kitendo cha Spika wa Bunge la JMT kuandika barua yenye utata ya kujiuzulu na kisha kujitokeza hadharani kutamka kumwomba radhi raisi Samia Hassan, kina maana kubwa. Job Ndugai ametojitokeza ameomba radhi na kisha amejiuzulu na kuondoka. Huyu Spika si yule marehemu Adam Sapi Mkwawa na wala si...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai ajiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo leo Januari 06, 2022 ikiwa ni siku chache tangu kusambaa kwa video ambayo alinukuliwa akisema ipo siku Nchi itapigwa mnada kutokana na madeni Amesema ameandika Barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa CCM na uamuzi huo ni...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Hivi mexence Mello angekuwa weak kwa Hawa CCM tungeshughulikiwaje anonymous! Hongera mexence unafaa kuwa speaker

    Kiuhalisia huyu mmiliki wa jamii forum aliyepelekwa mahakamani na Meko ana nguvu na ustahimilivu wa Hali ya juu kushinda hata wa jobu ndugai, amefanya jamii forum kuwa platform huru sana na ameokoa wengi kutokushughulikiwa. Kama mexence angeweka tumbo lake mbele wanajamii forum wengi wangekuwa...
  19. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Tukiacha ushabiki wa kivyama na Unafiki, Hoja ya Spika haijajibiwa

    Tukiacha ushabiki wa kivyama na kujipendekeza (unafiki), Licha ya kila mtu kujitokeza kujaribu kujibu hoja ya Spika Ndugai ama kuizungumzia hoja hiyo, na hata Serikali (Rais) ameitisha mkutano wa kidola nikidhani anajibu hoja, badala yake wamejikuta wanamjadili Ndugai ama kumdhihaki ama...
  20. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Wakati CCM ikisafisha uchafu bandani kwake, Chadema malizeni mchakato wa kikatiba kuwafukuza covid 19

    Wala sihitaji kuandika gazeti hapa, raha ya mchuzi wa mbwa ni ukiwa wa moto. Ccm inasafisha takataka bandani mwake na tarehe 2 February tutapata spika mpya, hivyo nashsuri chombo cha juu cha maamuzi cha chadema kimalize mchakato wa kuwafuta uanachama hawa covid 19 na tarehe 2 February Chama...
Back
Top Bottom