ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

    Ni asubuhi tulivu siku ya Jumamosi tarehe 21 Januari hapa Jijini Mwanza. Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa hapa Jijini Mwanza kutakakofanyika shughuli kubwa ya kisiasa ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. Chadema Leo inazindua Rasmi mikutano ya kisiasa baada ya kuzuiwa kwa miaka...
  2. JamiiForums Tanzania Mbowe: Matatizo inayopata CHADEMA hata wanaCCM wanayapata

  3. JamiiForums Tanzania Jana ulikuwa ni mkutano wa CCM uliovalishwa vazi la CHADEMA

    Na, Robert Heriel Jana agenda kuu ya mkutano ilikuwa kumshukuru na kumpongeza Rais, na ukimpongeza Rais tafsiri yake umeipongeza CCM. Ninaweza kusema Ulikuwa Mkutano wa CCM katika Vazi la CHADEMA. Na Hii ndio inaweza kutoa picha ni aina gani ya Siasa katika nchi hii tulizonazo. Hakukuwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge Nicholaus Ngassa apongezwa na CCM wilaya ya Igunga kwa mchango wake ndani ya Chama Cha Mapinduzi

    📍 Igunga, Tabora Habari Picha: Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa akipokea cheti cha pongezi kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Igunga Ndg. Mafunda Temanywa kwa ajili ya kutambua mchango...
  5. JamiiForums Tanzania Kupanda kwa bei ya mchele, maharage, na sembe ni ishara kuwa sasa CCM inamajali mkulima

    Wakulima wa mazao hapa nchini wamekuwa wakiuza mazao yao kwa bei ya chini sana kuliko gharama za uzalishaji kwa sababu serikali iliwajali zaidi walaji wasio lima. Sasa serikali inageuza upande wa pili na kuwapa soko kubwa na la ushindani wakulima. Hatua hii imefanya bei ya mazo ya wakulima...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna watu na viatu ila kuna wengine ni ndala na vingine

    Kupata mtu anayeweza kuvaa viatu vyako hakuna, sasa marafiki wengi wamejaa kuangalia unacho tu sio mengine. Omba sana ufirisike ndio utajua aina ya viatu. Dunia tunaishi maisha ya kuangalia unacho tu mpaka mnauzi jamani, tupumzishane wakati mnatupiga vita mlitegemea kusaidiwa na nani.
  7. R

    JamiiForums Tanzania CCM watatema ndoano au watakubali kunaswa na hoja za wapinzani?

    Wana CCM wamekaa miaka sita Bila kujibu hoja za upinzani; lakini pia Kwa safu waliyonayo hakuna timu ya kupambana na wapinzani. Nchi imepitia mdororo WA kiuchumi usiosemwa, madeni yameongezeka na miradi isiyoendelevu NI mingi. Kufunguliwa Kwa majukwaa ya kisiasa maana yake nikuruhusu akina Tundu...
  8. JamiiForums Tanzania CCM yaagiza Serikali ya CCM kugawa vishikwambi Kwa walimu kama waziri mkuu alivyosema!

    This is ridiculous! Ndio unavyoweza kusema! Sophia mjema Katibu mwenezi wa CCM ameitaka Serikali yake ya CCM kugawa haraka vishikwambi Kwa walimu na ametoa wiki Moja Tu.. Anyway
  9. B

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa wiki moja Walimu wote wapate vishikwambi

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa wiki moja kwa Wizara ya Elimu kuanzia leo Januari 20, 2023 kuhakikisha vishikwambi vilivyotolewa na serikali kwa ajili ya walimu vinawafikia walengwa. CCM imesema imepokea malalamiko ya kutotekelezwa kikamilifu kwa maelekezo ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa...
  10. JamiiForums Tanzania Je, kwanini CCM wanajipa taswira ya kimwinyi na kijima?

    Wasalaam JF Niende kwenye mada moja Kwa moja, hivi makatazo ya mikutano na uhuru wa kisiasa ilijikita katika muktadha upi na hi dhana ama kasumba ya viongozi na serikali ya CCM kuogopa kukosolewa, ni nini kama sio umwinyi na ujima wa kizandiki, na kama wanajiita chama Cha mapinduzi hayo...
  11. JamiiForums Tanzania Kuruhusiwa kwa mikutano ya kisiasa nchini nani kufaidika zaidi kati ya CCM na vyama vya upinzani?

    Kumekuwa na mijadala mirefu inayoendelea nchini, Kwa wananchi kujiuliza, hivi kuruhusiwa Kwa mikutano ya hadhara ya kisiasa, ni nani watakaofaidika zaidi, je ni CCM au vyama vya upinzani? Kwanza, kabla ya kutafakari ni nani atafaidika zaidi, tujiulize kwanza, nini chimbuko la kufungiwa Kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Sasa nimetambua kuwa Chama ni watu. CCM ipo mikononi mwa watu wabaya wasiokuwa na huruma

    Angalia hali ya maisha inayowakabili wananchi wa kawaida ilivyo. Kupata mlo mmoja kwa siku ni tabu. Lakini waziri wa kilimo anaona sawa tu kuuza mazao ya chakula holela nje ya nchi bila udhibiti. Angalia hali ya maisha ilivyo ngumu tozo za kila namna zinawaathiri watanzania wa hali ya chini...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CCM vs Kamati Kuu ya CHADEMA

    Kuna mjadala mpana nimeukuta mahali kuhusu mgawanyo wa nafasi za Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kama umezingatia umoja wa kitaifa bila ubaguzi wa dini, jinsia, kanda na makabila. Kwa upande wa CCM...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kinana aendelea kukutana na mabalozi wa nchi mbalimbali rafiki wa CCM, akutana pia na Balozi wa Algeria kwa mazungumzo Ofisi ndogo ya CCM Lumumba

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amekutana na kufanya Mazungumzo na, Balozi wa Algeria nchini Tanzania Ahmed Djellal alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari 17, 2023.
  15. JamiiForums Tanzania CCM hatutakubali taswira ya Rais kuchafuliwa, kuruhusiwa mikutano isiwe kisingizio

    Wana JF salaam, CDM, CUF, NCCR, ACT na vyama vingine vya siasa nchini, fahamuni kwamba kufunguliwa kwa mikutano nchini si sababu ya kutumia lugha za ajabu na zinazochafua image ya Rais wetu Samia Suluhu Hassan. Wataokashindwa kutumia Uhuru wa kutoa maoni, kukusanyika na kuanza siasa za...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi vikundi vinavyoanzishwa ndani ya CCM vinakwenda kuleta mgawanyiko ingawa mama anavifurahia

    Kumezuka mtindo sasa hivi ndani ya CCM vya watu kuanzisha vikundi vinavyojifungamanisha na mama na kujidai vinampigania. Yeye mwenyewe anasikia rahaaaa akijijua anapendwa na kutetewa kumbe lengo la vikundi hivi ni kutibu njaa zao na kutafuta ipendeleo wa madaraka na kuwatenga wengine. Sasa hivi...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini CCM inafanya haya?

    Rejea ya hiki ninachotaka kuweka hapa Ni kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Rombo. Baada ya mikutano ya vyama vya siasa kuruhusiwa tena, CCM na washirika wake wanafanya Mambo ambayo kimsingi hayakubaliki. Nikiwa Rombo kuna kitu kinaitwa maagizo ya Waziri Mkuu kwenda kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya...
  18. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini Rais Samia na CCM wamemtosa mazima Shaka katika nafasi ya Uenezi?

    Je,..... 1. Hatoshei Kiushawishi? 2. Mnafiki? 3. Mpika Majungu? 4. Muongo? 5. Hana Mvuto / Mvutoless? 6. Si Mpayukaji? 7. Usoni Mama na Rohoni January? Kazi yangu Kubwa ( Kuu ) leo GENTAMYCINE ni Kutulia na Kusoma Kiumakini mno Comments zenu na naamini hamtoniangusha.
  19. L

    JamiiForums Tanzania Ipo siku wapinzani watakubali ukweli kuwa CCM haina mbadala wake

    Ndugu zangu Watanzania, Siku yaja na miaka yaja ambapo wapinzani watakubali kuwa CCM ndio chama pekee kinachopaswa kuungwa mkono na kupewa ushirikiano katika kuliongoza taifa letu, watakubali kuwa Sera ajenda Dira na muelekeo wa CCm ndio sahihi na unatosha kutuvusha Watanzania kuelekea nchi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Taifa na CCM yako hongera kwa Kuachana na ‘afadhali’ Shaka na Kutua kwa ‘Potelea mbali kabisa’ Sofia

    Endeleeni tu Kudhani kila mahala Mwanamke anafaa na kwamba Watanzania wa mwaka 2025 ili wapige / wampigie Mtu Kura wanataka kuona Lundo la Wanawake katika kila Sekta. Bora kule Kwingine kwa Wapokea Mishahara kila tarehe 21 au 22 ya Mwezi na ile ya Chakula kila tarehe 30 au 31 ya Mwezi ulishtuka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…