ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Rashidi Jololo

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM imetutapeli Wavuvi pesa za mradi wa IFAD, mabilioni ya Samia YAYEYUKA

    Wanabodi, kama ilivyokuwa katika awamu ya mwisho ya Kikwete, vilianzishwa vikundi na vyama vya ushirika na kukopeshwa mamilioni ya shilingi bila riba. Baada ya utawala wa Magufuli kuingia, vikundi na vyama hivyo vya ushirika vikafutiliwa mbali na kutokomea na kodi zetu. Mchezo huo ni kama...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameiheshimisha CCM mitaani

    Ndugu zangu Watanzania, Mwenyekiti wa CCM na Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama Samia Ameiheshimisha Sana CCM Mitaani, CCM kinaonekana ni chama Cha Amani, maridhiano, haki, kizalendo na kinachopigania maslahi ya Taifa na ustawi wa Watanzania, mwana CCM ukiwa katikati ya kundi na...
  3. D

    JamiiForums Tanzania CCM kujibu Hoja kwa Hoja ni Uongo tusidanganye; Tunachoweza kukifanya sanasana ni Kukanusha

    Mambo ya Hoja kujibiwa kwa Hoja CCM haiwezi tusidanganyane! Kinachowezekana Ukileta Hoja iwe ya kweli au uongo ITAPINGWA Kwa KUKANUSHWA bhaasi! Ndo imeisha hivyo! Mfano! 1. Sakata la ndege kubeba wanyama na blah blah blah za kutoroshwa wanyama! Jibu lake ni HAPANA! HAKUNA MNYAMA ALIYEIBIWA...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Nitakuwepo hapa kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM kwa lengo la upotoshaji. Wapinzani jiandaeni maana nimejipanga vya kutosha

    Silipwi wala sijatumwa na yoyote lakini nimejitoa kwa moyo na akili yangu yote kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM wakianza mikutano ya hadhara. Historia inaonesha majukwaa ya kisiasa huwa yanatumiwa kutengeneza siasa za chuki na upotoshaji na kwa kufahamu hilo sitamani...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Nimeshtuka sana baada ya kuona wanachama kindakindaki wa ACT na CHADEMA wakijiunga na CCM. Hongera Dkt. Samia kwa kuwarejesha kundini kondoo

    Mimi binafsi ni mdau mkubwa sana na muumini mzuri wa siasa za CCM na mara nyingi napenda sana kutembea kwenye matawi ya CCM kujua yanayoendelea. Katika kipindi cha wiki moja tangu lile zuio la kutofanya mikutano ya hadhara ya kisiasa kutenguliwa nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu kujua mtazamo...
  6. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CCM mnafeli wapi? Hiki kizazi cha nyoka mlichotengeneza ndiyo mkishawishi kuacha kulima na kubeti?

    Mmeharibu elimu, leo hii mtoto anamaliza Form Six hawezi kusoma na kuandika. Hawezi kufanya reasoning. Leo kama kijana hawezi kureason na kuwa na general knowledge mbagemea atakuwa mvuvi, mkulima au mfugaji? Mmesahau enzi zile kulikuwa na Sayansi, maarifa na Hesabu ilisaidia vijana kupata...
  7. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Hizi ni sababu tatu kubwa CCM itaongoza milele

    Ni kweli lengo kubwa la chama chochote cha siasa duniani ni kushika dola. Ukweli mchungu kwenye hili ni kwamba kwa hapa kwetu Tanzania, bado sikioni hata chama kimoja kati ya vyama vyote 18 ukitoka CCM, ambacho kina msuli wa kuongoza dola. Zipo sababu kadhaa ambazo kwa maoni yangu, naziona kama...
  8. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania 2025 CCM haitapoteza jimbo hata moja, CHADEMA tulieni

    WanaJF, Heri ya Mwaka Mpya 2023! Kwa wapenzi wa siasa nchini niambieni Jimbo gani liko hatarini kupotea mwaka 2025. Kwa mtizamo wangu naona wabunge wote waliochaguliwa majimboni 2020 wako vizuri na sioni hata jimbo moja litakalipotea. CDM chagueni kazi zingine za kufanya ila mkidhani 2025...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mdude CHADEMA: Nilipotekwa na Polisi madaktari walinihudumia bila Pf 3, Mungu awabariki

    --- Nilipotekwa 2019 polisi walikataa kutoa PF3,lakini haikuzuia madaktari wa hospital ya kanda Mbeya kunihudumia tena kwa emergency kulingana na hali mbaya niliyokuwa nayo mpaka nikapona. Binafsi naona madaktari wana mchango mkubwa kuliko sekta zingine. Mungu awabariki madaktari.
  10. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz alivyoihonga CCM Channel Ten kumnusuru mdogo wake asifungwe na Hayati Magufuli

    2017 Hayati JPM anaunda timu kuhakiki mali za Chama cha mapinduzi chini ya Bashiru Ally Kakurwa. Kunagundulika matatizo katika hisa za CCM na Rostam ndani ya African Media Group. Wamiliki wa Chanel 10 na magic Fm Rostam anapigwa mkwara anakomaa. 2018 Toyota landcruiser iliyotumiwa na Nape...
  11. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kiongozi yoyote wa chama cha siasa akikaa madarakani zaidi ya miaka 20 bila kuleta mafanikio hafai, anajaza tumbo lake

    ~ Miaka 20 na usheee bila ofisi ya makao makuu yenye hadhi. ~ Miaka 20 na ushee bila kukamata dola. ~ Wabunge wanapatikana kwa mbinde. Hufai kuwa kiongozi.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dodoma karibu wote ni CCM ikiwemo watu wa kijiji cha Mpwayungu

    Yaani nimeshangaa kumbe ndiyo maana hiki kijiji ni maskini na wananchi wa hivi vijiji hawajielewi ikiwemo kijiji cha Mpwayungu. kijiji cha Mpwayungu watu wote ni wanachama wa CCM. CCM imeshika mizizi mkoa wa Dodoma na vijiji vyake vya mkoa huo ikiwemo kijiji cha mpwayungu. CCM imeshika mizizi...
  13. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Nimejiridhisha kwamba CCM imekita mizizi, kama vyama vya kikomunist vya China na Korea Kaskazini

    Hii ni baada ya kuzunguka kwenye taasisi kubwa za kielimu hapa nchini na kubaini kwamba asilimia kubwa ya hawa tunawaita wasomi wa ngazi za juu ni wana CCM kindakindaki na bado wana imani kubwa na dola iliyopo. Ukitembea kwa walala hoi mikoa mbali mbali, huwaambii kitu kuhusu CCM. Ukija kwenye...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Aweso aridhishwa na utekelezaji wa mradi wa zaidi ya bilioni 23 Morogoro vijijini

    Waziri wa Maji Mheshimiwa Jumaa Aweso (Mb), ameridhishwa na utekelwzaji wa Mradi wa Maji wa Morong’anya unatekelezwa na RUWASA Morogoro Vijijini. Mradi wa Maji Morong’anya ni miongoni mwa miradi mikubwa 2 ya maji iliyosanifiwa na watumishi wa RUWASA na inayoendelea kutekelezwa na ofisi ya...
  15. Leak

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na CCM msaidieni Anthony Diallo jahazi linazama

    Kwa habari nilizonazo ni kwamba Kampuni ya Sahara Media inayomilikiwa na ANTHONY DIALLO iko katika kipindi kigumu kuelekea kufilisika au kupigwa mnada kutokana na madeni makubwa yanayo mkabili mmiliki wake hasa kutoka kwa wafanyakazi wake wa vituo vya Star TV, Radio Free Africa na KISS FM...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Ninatamani sana niwepo kwenye kikosi kazi cha CCM cha kuhakikisha na kufanikisha ushindi wa Dkt. Samia 2025

    Nimejitoa kukitumikia Chama Cha Mapinduzi kwa moyo na nguvu zangu zote. Ni muumini wa siasa za CCM na ninaamini bila CCM hakuna siasa safi wala viongozi bora na kwa mantiki hii nitajitoa kuhakikisha kinasalia madarakani. Baada ya siku ya leo kutenguliwa kwa zuio la kutofanya mikutano ya...
  17. Mystery

    JamiiForums Tanzania Je, wahafidhina ndani ya CCM, wameafiki Kwa shingo upande, maamuzi ya Rais Samia kuruhusu mikutano ya kisiasa, Kwa vyama vyote?

    Nimeisikiliza Kwa makini Sana hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan, aliyoitoa Leo, huko Ikulu, wakati anaongea na viongozi wa vyama vya siasa nchini. Kwa kweli Sina budi kumpongeza Rais wetu Samia Suluhu Hassan, Kwa msimamo wake Kwa kueleza kuwa kama Taifa, inabidi tujenge mshikamano, umoja na...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sisi ndani ya CCM tunaamini kwenye kukosolewa na kujikosoa

    Rais Samia amesema kwakuwa CCM ndiyo waliyoweka serikali basi wakosolewe. Asema anaamini akikosolewa anaoneshwa changamoto ilipo na akiifanyia kazi changamoto ile watu wakamuamini ataendelea kubaki. Na kutokana na hilo haviiti vyama vingine kama vyama vya upanzani bali vyama vya kumuonesha...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM itaendelea kuwepo madarakani kwa miaka mingi Kutokana na usikivu na utumishi wake uliotukuka kwa watanzania

    Ndugu Zangu Watanzania, Serikali nyingi Barani Afrika na Duniani kwote kwa ujumla ziliangushwa au kupinduliwa kijeshi au kuondoshwa kwa Kura za wananchi wake au kukosa uungwaji mkono kutoka kwa Wananchi wake baada ya Viongozi wake kuwa miungu watu,kuwa na kiburi,dharau,,jeuri kwa watu wake...
  20. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Kumbe Halotel ni CCM?

    Halotel Ni CCM
Back
Top Bottom