Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Nauliza tu kama Uchaguzi wa 2025 tutakuwa na Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi mbona CCM hawatoi hamasa yoyote kwa wanachama Wao!
Je, Katiba Mpya siyo kipaumbele cha CCM?
Jumaa kareem!
Naomba radhi kwenye uzi, nitatumia majina ya viongozi ambao naamini wamefutwa kwenye ramani ya siasa si kwa kushindwa hoja, bali kwa matumizi makubwa ya mfumo uliokuwa imejichimbia kwenye shimo la uzalendo.
Tuliambiwa matajiri wataishi kama masikini, tukashangilia; huku mataifa yaliyoendelea...
Hii nchi Chama ndio tunasema Dola, lakini katika jambo la kustaajabisha ni pale ambapo CCM imeamua kufanya ubabe na kujimilikisha sehemu ya Barabara yaani mtaa na kufanya ni njia ya kuingia katika jengo lao la makao makuu na kupaki magari.
Yaani sehemu ya Barabara ya Mtaa wa Mwangaza hapo...
Nitakuwa naleta mfululizo wa story za madhila ambazo viongozi wa upinzani walikuwa wanapitia enzi za Awamu ya 5. Story hizi zinasimuliwa na aliyekuwa Meya wa Ubungo kwa tiketi ya CHADEMA, Boniface Jacob.
Je, wajua katika maandamano ya CHADEMA kutoka Mwananyamala kwenda kwa Mkurugenzi wa...
Haipo tena haja ya kumung'unya maneno:
Ukweli ni mchungu lakini inabidi usemwe.
Wizi wao ni wapi usikoonekana?
Ni NHIF, LATRA, TRA, Polisi, Immigration?
Wapi penye unafuu?
Godbless Lema anapenda kujipa ukubwa au umuhimu ambao hana. Lissu ilikuwa auawe ni kweli na sababu ni pale alipoanza kutoa siri za ndani kwa wageni. Halikuwa jambo sahihi hata hivyo. So siungi mkono kumuua.
Lema hakukuwa na kusudio hilo hata wazo halikuwepo. Sema Lema anapenda sana ku trend na...
SWALI tajwa lahusika. Tupo hapa masaa machache RC anamaliza kukagua mradi wa MAJENGO usiku wa saa 2 kasoro usiku.
Je, kama zipo kasoro katika MIRADI hiyo au MAJENGO.
Je, zitabainika kweli au ndio utaratibu wa ilani na sera ya chama?
Hiyo ndio hali halisi niliyoiona kwa CHADEMA, misafara yao wanapoingia mijini hupokelewa na mapikipiki na kila aina ya mikwara wenzao CCM wanajijenga vijijini huko kuna vikosi vinapita!
Ninyi jidanganyeni na hizo nyomi!
Nasikia umeshauriwa na Mtu unayemuamini na kumsikiliza mno kuwa ili mwaka 2025 upate Uungwaji mkono na wana CCM wote hakikisha kila mara unawapa Ulaji ili Waibe na Wajitosheleze kisha unawapa na Fursa hiyo hiyo na Wengine ili wapige na hadi hiyo 2025 wasije Kukulaumu.
Nimedokezwa kuwa kati ya...
Wakati umefika kwa chama kikongwe Afrika kubadilika. Ni miaka 61 TANU/CCM kipo madarakani huku ikitumia mifumo ya chama kimoja cha siasa wakati nchi ipo kwenye Mfumo wa Vyama Vingi.
CCM na Serikali yake imekuwa ikiendesha nchi kwa kutumia Katiba ya Chama Kimoja kwa Vyama Vingu vya Upinzani na...
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Masoud Othman amesema Chama chake cha ACT Wazalendo kinataka Muungano utakaoitambua Zanzibar yenye Mamlaka kamili
Masoud amesema hayo kwenye mkutano wa Chama chake huko Nungwi
Chanzo: ITV habari
Kila nikimsikia mwana CHADEMA simsikii akinipa mikakati yenu ya kuitoa (kuing'oa) CCM madarakani bali nasikia tu wakijisifia kujaza watu (nyomi) katika mikutano yao huko mkoani/mikoani.
Nilishawahi kuwashaurini huko nyuma kuwa jiimarisheni sana katika kujijenga ngazi za chini ila nasikitika...
Mabilioni ya pesa za umma mnatafuna.
Mnajenga madarasa hewa kwa tril 1.3
Watoto wanafariki wakivuka mto kwa mtumbwi kwenda shule. Mnakula pesa.
Hamjali maisha ya wananchi mpaka wafe.
========
Serikali kujenga daraja mto uliouwa wanafunzi Kigoma
Kigoma. Wakati miili ya wanafunzi wawili kati...
Tozo za Watanzania zinatumika kwa mambo ya ajabu
Kuwaridhisha mabeberu ili waone kuna demokrasia wakati ufisadi umetamaraki
Huu ni uzandiki wa kisiasa.
Hizi pesa wanazopewa Chadema na CCM bora zingejenga mashule.
Tusidanyane!
Vijana wote ambao hamko kwenye cheni ya ulaji na kupeana nafasi kwa Juana ndani ya ccm, bila kuiondoa ccm na kuikataa, wote mtakufa masikini na hamtafikia ndoto zenu abadani
Hata hapa CCM inalindwa na wanaokula kupitia mfumo mbovu iliojitengenezea na wengine kulipwa kwa kazi ya...
Kipindi cha uongozi wa Kikwete nchi ilikuwa na mwelekeo wake hali kadhalika kipindi cha Magufuli kulikuwa na mwelekeo mwingine mpya ambao nadhani kila mtu ulimuweka katika mazingira ambayo hakuyazoea
Kipindi cha JK, mafisadi waliogopewa kuguswa kwa sababu ya serikali kuhofia kuwa nchi itayumba...
Habari jf ,kwanza niweke Wazi Mimi ni mfuasi wa lile kundi linalosemwa vibaya la Hayati JPM na msimamo wangu utabaki pale pale ndiye best president to rule this country .
CHADEMA kiuhalisia ukiwatoa Wilbroad slaa na Tundu Lissu hakuna kiongozi aliyewahi kuwa serious na kuchukua Nchi ,ni huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.