ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania CCM ni kichwa ngumuu au ni jiko la kupika fitina?

    Leo nauliza swali fupi tu CCM ni kichwa ngumu...au ni jiko la kupikia fitina? Tangu mwanzo kabisa, kelele hizi za Bandari zetu na wawekezaji toka Emirate yaani DPW , tumekuwa tukikataa ubovu wa mkataba na siyo kumkataa mwekezaji, kwa nini ccm hamuelewi??? Matokeo yake sasa, CCM wamekuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Ally Bananga Katibu Mwenezi CCM Dar adai atamshawishi Freeman Mbowe na wenzake kuhamia CCM

    Wengi tulimfahamu alipokua diwani wa Chadema kata ya Sombetini Arusha mke wake ni mmoja kati ya wale COVID-19 wa Chadema. Ally Bananga(MARIOO WA CCM)
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa arudishwa kituo cha Polisi Oysterbay kutoka Mbeya. Wakili wake aambiwa akashughulikie dhamana

    Mpendwa Baba Askofu Mwamakula! Jana baada ya ku-file maombi ya kulitaka jeshi la Polisi kuwapeleka Dr. Slaa na wenzake mahakamani ambapo leo tungepangiwa jaji atakayesikiliza maombi yetu na kupewa wito wa mahakama (Summons) ili kuwaita wajibu maombi yetu . Mimi nilisafiri kurudi Dar kwa ndege...
  4. JamiiForums Tanzania CCM Yamteua Bahati Keneth Ndingo kuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Mbarali, Mbeya

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM a Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, imekutana katika kikao chake maalum, kilichofanyika Ikulu ya Chamwino, jijini Dodoma, leo Alhamis, Agosti 17, 2023. Pamoja...
  5. JamiiForums Tanzania Bendera ya Rais kwenye kikao cha CCM imefuata nini?

    Kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa ni marufuku kwa vyama vya siasa kutumia majengo ya Umma na serikali kuendeshea shughuli zao za kisiasa. Lakini CCM pamoja na kupora majengo kadhaa ya umma na kuyageuza ya kwao, bado wanatumia IKULU yetu kufanyia vikao vyao. Mbali ya hayo kwenye kikao cha...
  6. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt. Samia aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya CCM Ikulu, Dodoma

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe 17 Agosti 2023 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
  7. JamiiForums Tanzania Jana ndio nimeelewa kwanini GSM, MO, ASAS, BAKHRESA wote ni CCM

    Naskia huko Mwanza kuna Bar moja imefungiwa kwa kukwepa Kodi kwa miaka miwili na ipo kwenye halmashauri ya Ilemela. Basi nikajiuliza miaka miwili wameweza vp kukwepa ila kumbe ishu nyuma ya pazia ni mambo ya Bandari. Matajiri wakubwa nchini wote ni CCM unadhani wamependa kua CCM wapo ili kulinda...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mbali na Mkataba wa Bandari ni mkataba gani mwingine ulipitishwa na vikao vya CCM?

    Wanabodi, Naomba ufahamu kidogo Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) ilijadili na kupitisha Mkataba wa Bandari kwamba ni mzuri na una maslahi mapana ya Taifa. Naomba kufahamu katika Historia ya nchi yetu ukiacha mkataba wa Bandari ni Mkataba gani mwingine ulijadiliwa na NEC na kupewa baraka...
  9. JamiiForums Tanzania Ni wazi kabisa CCM Wameshapuuza Mawazo na Maono ya Mwl Nyerere

    CCM heshimu busara za wazee tofauti na hapo hakuna mtakachofanya kikawa na baraka. Bora hata magufuli alijaribu kufuata nyayo za huyu mzee. Nasikia hata huko TBC wosia wa baba unakuja kwa machale sana maana ni mwiba kwa CCM ya samia iliyo jaa wezi za mali ya umma..
  10. JamiiForums Tanzania Akisimama 2025; Narudisha kadi ya CCM hadharani

    Niwahakikishie tu kutoka huko jikoni ndani kabisa. 2025 anaachia ngazi, washauri wameshamusihi iwe hivyo; Baadhi ya wanufaika na uwepo wake wanamtaka asiachie ngazi. Nami nasema; Akisimama tu narudisha kadi. Kwako Mwalimu KASHASHA - r.i.p
  11. JamiiForums Tanzania CCM endeleeni kupandikiza chuki, kaeni tayari kuvuna matunda yake pia

    CCM wanchokifanya najua hata wao kuna muda wanajistukia sasa upandacho ndicho utakachovuna. Watanzania wa sasa siyo wa mwaka 70. Siasa za CCM ni za kishamba sana. Kwa kuwa watanganyika washajua mbinu zenu zote za uovu basi njiandae kwa lolote huku mtaani kila mtu kanuna mikoani ndo balaa zaidi...
  12. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu sakata la Bandari na mkataba mbovu; Wananchi wamewaelewa CHADEMA kuliko CCM. Kila kona wananchi wanasema Mama anauza Tanganyika

    Sijajua nini shida mpaka CCM wameshindwa kutoa elimu na kuwahakikishia wananchi kama kama kweli mkataba sio mbovu. Lakini Chadema kupitia Tundu Lissu walikuwa wanafafanua ibara mbovu zisizofaa Majaji watatu huko Mbeya High court wamekiri kuwa mkataba ni mbovu kwa baadhi ya vipengele ila...
  13. JamiiForums Tanzania CCM imfanyie utafiti Katibu wake wa wilaya ya Hai huko Kilimanjaro, anadaiwa hajui kuandika matokeo yake siri za chama ziko mitaani

    Chama cha Mapinduzi Taifa au Mkoa ninawaomba mfanye uchunguzi wa kina kama sio utafiti kumwangalia au kumfuatilia Katibu wa CCM Wilaya ya Hai Kilimanjaro., kama kweli hajui kuandika. Kuna kila Dalili mtu huyo hajui kuandika hivyo ili kuandika siri au taarifa za chama anafanyia kazi hizo...
  14. JamiiForums Tanzania Watanganyika Wenzangu Kuanzia sasa Popote atakaposimama Mwana CCM Kuongea ni kuzomea Mwanzo Mwisho

    Tanzania ya sasa inatia hasira kuliko wakati wowote ule. Kuna ukandamizaji wa wazi wa haki za binadamu pale ambapo watu tunataka kuhoji maswala ya msingi. Ikumbukwe Tayari kuna wenzetu wameshaanza kutiwa nguvuni. Ili kuonnyesha tuko nao pamoja. Itabidi tuwaonyeshe CCM nguvu ya umma ni real...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwa makada wenzangu tu wa CCM nini kinachotusababishia umaskini?

    Nikiwa kama kada maarufu na mtiifu wa CCM na nina imani kwelikweli na Rais wangu Samia, hivi huu umaskini tulionao toka tulipopata uhuru, na tumekuwa tukiongoza inchi wenyewe, ukitegemea tuna kila aina ya rasilimali, kuanzia bahari, utari, madini, ardhi bora, amani aliyotuachia baba wa Taifa...
  16. JamiiForums Tanzania Kamata Kamata ya Wakosoaji wa Suala la Bandari: Nani anafuata kukamatwa?

    Jana wamekamatwa Mdude Nyagali na Mwabukusi. Leo kuna tetesi kukamatwa kwa Dr. Slaa tena akiwa nyumbani kwake. Naanza kupata wasiwasi wakosoaji wengi wa suala la bandari watawekwa kolokoloni. Je nani anafuata kukamatwa? Lakini pia hili sio la kwanza kufanyika hata Hayati Magufuli alifanya...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM ina nguvu sehemu zenye umaskini wa fikra na mali?

    CCM inazidi kukosa nguvu kwenye majiji na makao makuu ya miji; hakuna mtu anayevaa kofia na t-shirt kama ishara ya uzalendo tena....wazee nao wamepungua kwa kasi huku idadi ya vijana ikiongezeka. Idadi kubwa ya vijana wanahama kutoka maeneo yasiyo na ajira na kukimbilia mijini. Dar es salaam...
  18. JamiiForums Tanzania CCM wameshapanik, zama zile za giza zinarudi tena!!

    Kuna wakati niliwahi kusema kuwa hakuna CCM "ya kistaarabu" tangu zama za ASP na TANU. Ukiona CCM inaonekana ni ya kistaarabu jua kwamba hapo hofu ya kutolewa madarakani inakuwa haipo. Angalia kwenye Kila chaguzi, ukiona hakuna mapambano kati ya vyombo vya Dola na vyama pinzani Kwa CCM jua...
  19. JamiiForums Tanzania CCM tumemaliza risasi zote tetevu za Mkataba wa Bandari. Tunatokaje?

    Mwanzoni, sikuwa namwelewa Wakili Mwambukusi. Alisema kuwa suala hili la Bandari halitaisha kirahisi kama ilivyozoeleka. Akasisitiza kuwa suala hili litapingwa mahakamani na siasasi. Ingawa nami tangu mwanzo naupinga bila kuvunga Mkataba wa Bandari wa DP World, niliitazama kwa wepesi kauli ya...
  20. JamiiForums Tanzania Mbowe: CCM hawana ugomvi na vyama vingine vya siasa, wana ugomvi na CHADEMA

    Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kuwa CCM haina ugomvi na vyama vingine vya siasa zaidi ya CHADEMA kwasababu wanajua CHADEMA ni chama cha watu, na mimi nilimwambia Hayati Magufuli kuwa ukimuua Mbowe unaweza lakini huwezi kuiua CHADEMA, kwasababu CHADEMA ni imani ya watu. Pia amewataka wanaMagu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…