Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Najiuliza wajibu wa MA DED na DC ni kulazimisha wanachama kubaki CCM?
Chadema mliingia kwenye Maridhiano kichwa kichwa, haya lazima yawatokee puani 2025 kama ilivyokuwa 2020.
Bila kukomaa na Katiba mpya msahau uchaguzi huru na haki.
Maelekezo kutoka ngazi za juu soon yataanza kutekelezwa; tuliona Shinyanga ilivyotumika nguvu kubwa kuwakatisha tamaa wananchi lakini wakashindwa.
Huwa mara nyingi upepo wa kisiasa ukionekana unawaendelea vyema CHADEMA kinachofuata ni vurugu na ghasia ambazo uandaliwa na viongozi wakuu wa...
Viongozi wetu wanapatikanaje?
Na tunapimaje uwezo wao wa kuongoza? Je tuna mfumo wa kuwatengeneza? Job Description ya Kuwa Rais, Waziri Mkuu, Spika kwa Tanzania inataka vitu gani?
Nimekumbuka hayo kutoka kwa hawa Nguli wawili. Mwaka 2015 baada ya vikao vya CCM DODOMA, Prof na Mwalimu wangu...
Sakata la Bandari na kashifa nyingine zinaziendelea kuibuliwa kama hii ya kuwapa Waarabu hifadhi za misitu yetu na nyinginezo kama ya Ngorongo, zinakwenda kuimalliza vibaya CCM pamoja na mgombea wao wa uraisi ambae bila shaka atakuwa ni Mama Samia kwenye uchaguzi mkuu ujao wa 2025.
Kashifa...
Kwanza kabisa naulizaa! Hivi, Shirika letu hili hatarishi Tenesco linao wasomi wanaoweza kuona tukiondokana na usumbufu huu?
Miaka nenda rudi ya utawala wa CCM na wataalam wake wa Tenesco, uwezo wao wa kufikiri unaishia tu pale Mungu anapoleta kiangazi chake, na akili za wataalam hao wa Tanesco...
Ukikaa vijiweni, baa au kwenye maofisi ya umma, mjadala ni namna CHADEMA wanavyopambana kulinda rasilimali za Tanzania.
Utasikia watu wakisema nilikuwa naichukia CHADEMA ila kwa hili.
Nilikuwa namchukia Lissu ila kwa hili.
Mwisho kabisa wanakamilisha mjadala kwa kusema. Mama anatumiwa na ...
Eleweni hili na ikiwezekana msipoteze muda kuweka Wagombea akina Lissu na Msigwa sijui na yule wa Tarime au Mbowe mwenyewe.
Labda mkatafute mgombea kutoka CCM, tutawaazima hata yeyote mnaemtaka ili angalau mthubutu lakini kwa wapinzani hawa nao wajua majina yao hakuna mwenye uwezo wa kushika...
Akiwa jijini Dar es Salaam, Manispaa ya Ubungo, Ndugu Kawaida ambaye ni Mwenyekiti wa UVCCM Taifa amerekodiwa akisema CCM ndiyo iliyopigania uhuru na pia imehusika na mapinduzi ya Zanzibar. Na baada ya hapo ndo ikaleta muungano.
Ikumbukwe uhuru wa Tanzania ulipatikana 1961 kupitia chama cha...
Nawaza nje ya box...CCM ni ileile.
CCM ni waoga sana kutoka madarakani, inapokuja hoja inayotishia uwepo wao madarakani watafanya lolote hata ikibidi kudhulumu ili wabakie.
Wakati CUF inajipantia nguvu Zanzibar miaka ya 92 kwenda 95 walieneza habari nchi nzima kuwa CUF ni chama cha dini flani...
Kwa wale mnaoijua nguvu ya roman Catholic duniani.
Papa wa Roma ana nguvu sanaa Kwa wafadhili wetu huko duniani. Kingine Cha kujitafakarisha kuwa TEC kwanini wameamua kujilipua bila woga wowote ule. Nini kipo nyuma yake?
Au ni bomu limetegwa?
KUUZA LANGO LA UCHUMI WA NCHI AU KUTAFUTA WANAHISA NI USALITI MKUBWA KATIKA KUVUNJA KATIBA YA NCHI: BANDARI NI MALI ZA WATANZANIA WOTE HATUNA WANAHISA (SHAREHOLDERS) NA HATUHITAJI WANAHISA.
WARAKA WA WAZI KWA WAHESHIMIWA WABUNGE
NAKALA KWA WAHESHIMIWA VIONGOZI WA DINI
NAKALA KWA TAASISI YA...
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashimu Rungwe, ametoa kauli inayotia msukumo kwa mchakato wa kuboresha demokrasia nchini Tanzania. Akizungumza katika mkutano wa wadau wa demokrasia ulioratibiwa na TCD hii leo, Rungwe amesisitiza umuhimu wa kuhakikisha kuwa uchaguzi...
Moja kwa moja kwenye mada.
Ulipoanza mjadala kuhusu bandari waliopinga mkataba tuliambiwa wanapotosha. Mjadala haukuishia hapo wapingaji wakazidi kupata nguvu. CCM nao wakaanza ziara nchi nzima kutoa elimu kua mkataba hauna tatizo. Ajabu zaidi wakaanza kitudanganya waziwazi kuwa ule sio mkataba...
Asalam,
1. Ninaipenda CCM na Ni Mwanachama wa CCM
2. Ninaipenda Nchi yangu na ni mzalendo hasa.
3. Ninaulewa wa itikadi na misingi ya saisa ya CCM
4. Ninapinga Mkataba wa sasa wa DPW, nitauunga ukirekebishwa.
5. Ninawaheshimu viongozi wa Chama, ninawakosoa wanaokosea (rejea mwongozo wa CCM WA...
Kama ni kusali nenda kasali ukipewa nafasi ya kusalimia waumini toa fungu la biblia au msitari wa Quran lkn ukianza kuongelea siasa au kuwananga wanasiasa kwenye kibweta na wewe unaingiza siasa kanisani. Nyerere kila Jumapili alikuwa anahudhuria misa St. Peter’s lkn ilikuwa nadra sana kupanda...
GENTAMYCINE sijawahi kuona Shughuli yoyote ile ya Kiserikali na hata ya Chama Tawala CCM ambayo huwa haiwatumii Viongozi wa Dini Kimaombi / Dua.
Leo hii namshangaa kumuona Mtu ambaye aliharibu kwa kiasi Kikubwa Misingi imara ya nchi (Rais Mstaafu Kikwete) kwa tabia yake ile ile ya Unafiki...
Leo naomba niwaambie CCM kuwa kwa muda sasa, wamekuwa wakipata misukosuko inayotishia uhai wa CCM na CCM kuendelea kubaki madarakani huku wao wakiwa hawaelewi. Wasichokijua CCM nii kuwa, mitikisiko wanayoipitia, ni sawa na yale mapigo 10 alioyopitia Farao aliekuwa Mtawala wa Misri kabla ya pigo...
Kwa dhati kabisa ninawasihi wanaCCM tusije tukafanya kosa la kuwafananisha TEC na CHADEMA. Nimeona uzi wa ndugu Sir John Roberts akidai wanaCCM tuachiwe TEC kukabiliana nao. Naheshimu mawazo yake kama mwanaCCM mwenzangu ila siungi mkono hoja yake kwa 100%. Sir John labda haijui kiundani TEC...
MWENYEKITI UWT AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO WILAYA YA KALIUA
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa Ndugu Mary Chatanda Ametembelea Hospital ya Wilaya ya Kaliua na kuridhishwa na Ujenzi wa Hospital hiyo ambapo ametoa wito Kwa Wananchi na Viongozi kuishi vizuri na...