ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kwa muda Mchache uliobaki, CCM itaweza kuunganishwa makundi yote Ili kuingia uchaguzi wakiwa wamoja?

    Shalom,Salaam!! Huu mtikisiko ndani ya chama Dola unaendelea, unatoa wasiwasi juu ya mustakabali wa chaguzi zijazo, Ikiwa Hadi muda huu, coach hajapata Bado muunganiko wa team yake kuelekea uchaguzi, muda uliopo utamtosha kupata team Imara ya kuaminika kuipa ushindi timu yake Kwa haki? Na...
  2. JamiiForums Tanzania Kila ukitaka walaumu wazungu/mabeberu kuhusu Afrika kuchezewa basi usisahau kwamba kuna CCM ,Katiba mpya ni sasa

    Nimekaa nimewaza sana nikafika mpaka kuwalaumu Wazungu na Mabeberu kwa propaganda na mambo yanayoendelea Africa.. Mwisho nikakumbuka tatizo ni Wa Africa wenyewe kila Nchi viongozi wake hupambana kwa Ajili ya Wananchi wake kwa Namna yoyote ile . Kwa Tanzania nitakuwa mnafiki kama sitatupia...
  3. JamiiForums Tanzania Natabiri Paul Makonda atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2030

    Habari Wana JF Nisipende kuzunguka Sana Ni Kwamba PAUL MAKONDA anaenda Kuwa Raisi Wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania mwaka 2030 tuombeni uhai Ukweli Ni kwamba Paul makonda anapitia wakati mgumu sana ila huwa anakuwa na uvumilivu wa Kuyabeba wengi Wenu Mnamchukia sana Huyu Mwamba naamini Mungu...
  4. JamiiForums Tanzania Wahuni wa CCM wana nguvu kuliko nguvu ya umma? Mbona kama wao ndio wanaamua mustakari wetu?

    Ziara za makonda alipokuwa bado ni mwenezi wa CCM ziliibua mambo mengi. Kero na uonevu wa kila namna. Ambao kimsingi ni aibu kwa serikali tawala ya rais Samia. Rais Samia mwenyewe akatoa tamko kuwa sababu kuna uonevu na madudu mengi dhidi ya Wanannchi basi atakuwa akisikikiza kero za kila...
  5. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM taifa ni bora ikafutwa tu, haina faida kwa sasa

    Utakubaliana na mimi kuwa CCM inayumba sana kwa sasa kutokana na nafasi ya katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo taifa. Kila aliyeshika hiyo nafasi, kama hakupwaya basi aliishia kuwagawa wanaCCM katika makundi ya kuwania urais ama kutengeneza chuki dhidi ya wananchi. Tatizo lilianza kuonekana...
  6. JamiiForums Tanzania Tumsaidie Rais Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

    Nafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama! Tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake! Wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
  7. JamiiForums Tanzania CCM Ujamaa vs CCM Upebari

    CCM imara ni imani ya kiitikadi ndani ya mioyo ya Wananchi Watanzania,Awamu ya kwanza ya CCM iliyoongozwa na Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ilikuwa ni ya kijamaa,kiongozi wa CCM akifanya ziara eneo fulani, basi Wananchi wanyonge walioonewa waliamini amekuja mkombozi wetu, na kwa hakika...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Ushauri: January Makamba apewe nafasi ya uenezi wa CCM

    This man is intelligent, smart and eloquent. Once mama appoints him to fill this post, she will rest a bit and see things moving.
  9. JamiiForums Tanzania CCM iweke hadharani ukaguzi wa hesabu katika ziara za Makonda nchi nzima, ubadhirifu usifumbiwe macho!

    Nashauri ile taarifa ya mkaguzi wa hesabu wa CCM iwekwe hadharani, najua imejaa madudu ya kutisha sana. Haitoshi tu kumuondoa Mwenenzi na kumpeleka Arusha, Mwenezi awajibishwe kwa matumizi mabaya ya fedha za chama
  10. JamiiForums Tanzania Je, Makonda kuteuliwa kama mkuu wa mkoa kutoka kuwa katibu wa halmashauri kuu CCM taifa (itikadi na uenezi) amepanda cheo ama ameshuka?

    Baada ya Makonda kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha leo hii, kumeibuka maswali na mijadala mbalimbali ikiwemo, Je amepanda cheo ama ameshuka?. Hapa nitajitahidi kieleza kadiri ya ninavyo fahamu. Ipo hivi, katika mfumo wa utawala wa Tanzania, Mkuu wa Mkoa ni mwakilishi wa Rais katika mkoa na...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anataka mtu wa namna gani kwenye nafasi ya Uenezi wa CCM?

    Tangu mama awe mwenyekiti wa ccm taifa ameteua na kiwatengua watu 4 kwenye nafasi ya uenezi. 1. Alimtengua Humphrey Polepole. Mtu mwenye akili na uwezo mzuri wa ku -connect na hadhira anapozungumza 2. Alimteua na kumtengua Abdul Shaka (mpwa wake kabisa). 3. Alimteua na kumtengua Sophia Mjema...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM ndio hii, angalia anguko lake! Fomu ya Urais iuzwe Milioni 200!

    1. Je, katika kumpata mgombea wake wa Urais kwa muhula wa pili, CCM inataka kurudi kwenye utaratibu wake uliokuwa ukitumika wakati wa mfumo wa chama kimoja ? 1.1 Wakati wa uchaguzi chini ya mfumo wa chama kimoja (1965, 1970, 1975 & 1980) Rais JK Nyerere hakuwahi kujaza fomu ya kugombea Urais...
  13. JamiiForums Tanzania Mbowe kijana wa CCM kwa kivuli cha upinzani

    CCM kama chama dola nchini Tanzania kimefanikiwa sana kujitengenezea upinzani wake na wapinzani wake ambao kwa uhalisia nao ni Ccm nje ya Ccm. Mmoja wao ni Mbowe na chama chake cha Chadema. Historia inatuambia, waanzilishi wote wa Chadema walikuwa Benki kuu. Yaani Mtei, Bob Makani na Mbowe na...
  14. JamiiForums Tanzania Picha: Vyombo vya CCM

    Maandalizi yameshaanza.
  15. JamiiForums Tanzania Nini kitakachowafanya CCM washinde 2025?

    Chama ambacho kimewapeleka wapiga kura wake kuzimu kwa kuwahadaa mengi ya uongo: Chama ambacho kimeruhusu raslimali za Nchi ziuzwe na kugawiwa hovyo kwa wageni bila utaratibu na wakati mwingine utaratibu fichi wizi kabisa. Rejea 1. DP world Kugawiwa bandari zote na kufukuza wafanyakazi kama...
  16. JamiiForums Tanzania Asilimia 100 hujifichia CCM kutenda maovu na haramu

    Kama hujagundua hili bado wewe hufikirii sawasawa. Watu wote hupenda kuwa CCM na kupigania kupata nafasi zaidi na zaidi kama sehemu salama ya kujifichia maovu na haramu. Hii inahusu viongozi wote kuanzia juu mpaka chini. Kuanzia mwenyekiti wa shina mpaka namba moja. Chunguza hilo bila kutumia...
  17. JamiiForums Tanzania Viongozi wa CCM wengi wameacha kutumia JF ukilinganisha kipindi cha nyuma? Sababu ni uwoga

    Miaka ya nyuma JF inaanza kulipamba sana viongozi wa CCM wengine mpaka wakawa wanajinadi kwa wafanyao na kutoa mawazo ya kiutendaji. Ila mambo yamebadilika kama wanao kuwepo hapa JF ni wachache au wamebadilisha ID ambazo kwamtazamo zinaonesha ni watu wa ovyo ID mpya. Tatizo ni uwoga hapa JF...
  18. JamiiForums Tanzania Uhamiaji: Dereva na V8 Iliyobeba wahamiaji Haramu 20 wa Ethiopia Isihusishwe na CCM

    Baada ya Dereva Mtanzania Edward Erihard (31) Mkazi wa Dodoma kukamatwa akiwa amebeba Wahamiaji 20 Raia wa Ethiopia katika gari aina ya Land Cruiser V8 likiwa na bendera ya Chama cha Mapinduzi CCM katika eneo la Minjingu mkononi Manyara, Kamishna Msaidizi wa Uhamiaji Mkoani Manyara Philon...
  19. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Ya uchaguzi wa 2019 na 2020 yamejirudia uchaguzi wa marudio wa madiwani. Tutarajie uchaguzi mbovu tena 2024 na 2025

    Hakika nimeukumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu 2019 na 2020 jinsi Rais magyfuli, CCM tume ya uchaguzi na vyombo vya ulinzi na usalama vilivyo uvuruga uchaguzi ule mpaka wahusani wetu wa nje wakakata misaada na mikopo kutokana na uchaguzi kuwa wa vurugu na mateso makubwa kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Asafirisha wahamiaji 20 kwa V8 yenye bendera ya CCM

    Mtanzania Edward Erihard (31) Mkazi wa Dodoma anashikiliwa na Polisi Mkoani Manyara kwa kosa la kusafirisha kinyume na sheria Wahamiaji 20 Raia wa Ethiopia. Akiongea Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Manyara ACP Lucas Mwakatundu amesema tukio hilo limetokea March 23 2024 ambapo gari hilo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…