Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Habari wanJF.
Hivi huwa najiuliza TBC ni ya Serikali au ni ya chama Fulani, mbona huwa wanazungumzia habari za chama kimoja tu kwani vyama vingine havina haki kutangazwa? Kama ni hivyo vyama pinzani fungueni na nyie media zenu.
Niwaombe sana viongozi na makada wa CCM ngazi za wilaya na kata, msijifichie kwenye mwamvuli wa kufuatilia utekelezaji wa ilani ya chama kwa kunyanyasa wengine.
Jueni mipaka yenu makada wenzangu, nimestaajabu leo mahali fulani mwenyekiti wa CCM wilaya eti nae anatoa amri ya kumsimamisha kazi...
Ni habari mbaya kwa nchi yetu inaendelea kuwa na hadhi mbaya ndani /nje ya mipaka yake. Maisha ya waandishi wa habari, wanasiasa na wanaharakati yamekuwa ya mashaka.
Mwanahabari Ansbert Ngurumo aliyewahi kuwa mhariri wa Magazeti ya Tanzania Daima na Mwanahalisi, amekimbilia nchini Finland na...
VIONGOZI CCM TAIFA MNAFANYA VIZURI SAANA KUTEMBELEA MIKOANI NA KUYASOMA MABANGOBAADA YA HAPOTURUDI OFISINI TUWE NA TAFAKURI NZITOKISHA TUCHUKUWE HATUA ZA KUFANYA MAAMUZI MAGUMU
Nilisikika nikiunguruma Kama Simba Katika Ulimwengu wa kiroho huko Ndotoni kukemea Maovu ya kuzisigina katiba Kanuni...
Chadema mnakwama wapi? Naangalia Channel Ten, ni habari za CCM tu!
Tunakumbushana tu! Jamani publicity ni muhimu sana katika propaganda za Siasa.
Piga ua chadema mnahitaji TV na Radio.
Erythrocyte , rafiki tunakwama wapi?
Pia Soma
- CHADEMA anzisheni kituo cha television kabla ya uchaguzi...
Kwa kuthibitisha hilo tazama yanapofanyika vikao au press conference za mabadiliko ya viongozi ndani ya CCM au ndani ya serikali sikivu ya CCM au vinapofanyika vikao vya kamati kuu ya CCM.
Yaani, macho, maskio na shauku kubwa mno ya wana ccm, vyama vya upinzani, wananchi na waTanzania kwa...
Ngome ya CCM ipo Dodoma, Tanga, na Pwani. Mikoa hii inathaminiwa na CCM, kwani wanapewa fadhila kwa kuwapa wabunge wao nafasi za uwaziri.
Katika kipindi kijacho, tunaweza kuona viongozi kama:
2025: Samia Suluhu Hassan
2030: Kassim Majaliwa
2040: January Makamba
2050: Ridhiwan Kikwete...
1. Viongozi waliopo madarakani kujilimbikizia mali na kutumia mali za umma kwa ANASA.
2. Viongozi waliopo madarakani kutosikiliza na kuzifanyia kazi shida za wananchi(kuwachukulia wananchi kama WAJINGA)
3. Viongozi waliopo madarakani kuwalinda MAFISADI na MAJIZI na kuwakandamiza wanaowafichua...
Kwa miaka kadhaa Mimi natafakari mambo mengi juu ya nchi yangu Tanzania
-Mkapa alibinafisisha viwanda vyote nchini je hao wawekezaji nini walichofanya
Mkapa alibinafisisha mgodi wa Bulyannhulu kwa mda wote wao walikuwa wanapata hasara jiulize NI mwekezaji gani anayeweza kuchimba kwa miaka yote...
Haya ni maneno yanayosemwa na mwana CCM, kwamba wao wakifanya kosa, watashughulikiwa tofauti na CHADEMA, hata ikiwa polisi ataonywa tu asirudie basi, ila kwa wengine kama CHADEMA ni tofauti, lazima ahenyeshwe sawa sawa!
Na hili ni kweli kabisa, si tunaona yanayotokea? Mwenyekiti UVCCM Kagera...
We Mama Njoo
Njoo Uone Nchi Ilivyobadilika
Tanzania Ya Leo Oooh!
Imejengwa Imejengeka
Pita Ubungo Tazara
Za Juu Barabara
Tayari Zinatumika
Reli Yenye Viwango Bora Standard Gage
Karibu Inakamilikaa!
Tanzania Ya Sasa Mama
Aii Mama!
Ya Magufuli Mama
Aii Mama!
Ina Wakawaka Mama
Aii Mama!
Inapendeza...
Mimi nampenda Rais Samia kwa dhati yeye kama Rais ila mfumo uliomuweka hapo ambao ni ccm kwakweli sikubaliani nao. Naamini tuko wengi wa aina yangu ndio maana nitabaki kuwa mwana chadema mwaminifu ili nijitofautishe na itikadi na hulka za CCM. Mama Samia Mungu akubariki wewe ila mfumo wako...
Kuna wakati inakera lakini ndiyo aina ya maisha waliyoamua kuishi CCM.
CCM tangu mwaka 1995 wamekuwa wanaongoza nchi hii. Kwa ivo umaskini wa watanzania chanzo chake ni wao kuwepo madarakani.
Kinachokera ni jinsi Kila wakiona umaskini wa watanzania huwa wanajifanya kusikitika au kushangaa...
Vijana wa upinzani Tanzania hasa kupitia vyama vikubwa vya chadema na act wazalendo ,wamejikita twita! Wanadhani kwa mabishano na kelele za twita wanaweza kuleta mageuzi yoyote katika nchi hii !! Watu wenye akili na weledi na wapiga kura wa kweli hata twita hawapo na wengine hata hawaijui kabisa...
📌📌 MWENYEKITI WA CCM MKOA WA CCM AMESHIRIKI KATIKA TAMASHA LA UTAMADUNI NA UTALII.
🗓️ 07, July, 2024
📌 Bariadi - Simiyu
Mwenyekiti wa CCM Mkoa Simiyu, Ndugu Shamsa Mohammed ameongoza kwa mfano wa uongozi katika tamasha la Utamaduni na Utalii lililofanyika Leo Tarehe 07/07/2024 Katika viwanja...
Tangu ufanyike mkutano wa 18 wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti ikiongozwa na Xi Jinping, imekuwa ikitoa mawazo mapya, mitazamo mipya na hatua mpya za kuongoza kazi ya kimataifa ya Chama.
Chama cha CPC pia kimefanya ujenzi wa Pendekezo la ‘Ukanda Mmoja...
Ila CCM imejaa viongozi wengi wajinga, badala mtilie mkazo kwenye uadilifu, kukemea uchawa na wizi, rushwa na ufisadi, mnakuja kujitia aibu kwa ujinga kama huu! kwani nani hajui kukosolewa kwenu ni matusi? Kukosolewa kwenu ni uchochezi? Kukosolewa kwenu ni kuleta machafuko?
Yaani kama hamtoshei...
Wengi walishangaa Shujaa Magufuli kuwavalisha Kofia za CCM Diamond na Kiba
Wengine wakashangaa Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kuhudhuria Birthday party ya Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi aka Sugu
Aidha walishangaa CCM kuwaandalia BAWACHA mkutano Mkuu pale mkoani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.