Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Hii hata hao TEC au Shura ya Maimamu , Wasomi ,Taasisi mbalimbali hawataruhusiwa kuingilia Au kujaribu kushawishi Maamuzi ya Wananchi.
Wameua Ndugu zetu Maelfu , Wameteka Kila sauti iliyosimamia Haki, hakika Hawa ni watanzania ambao HATUTAWASAMEHE.
Jakaya Kikwete na Familia yake.
Rostam Aziz...
Utekaji na mauaji ya wanaomkosoa Rais, Utengenezaji wa mifumo bandia ya Uchaguzi, tume huru bandia ya uchaguzi, utangazaji wa Rais na wabunge ambao hawakuchaguliwa na wananchi, na kisha mauaji ya kiharamia ya Maelfu ya Watanganyika, vyote vimefanyika chini ya Serikali ya CCM.
Ushetani huu wote...
Kuna video fulani nimeona uko instagram limenipa maswali kweli
Mwanajeshi ana simama kuimba nyimbo ya kumsifia rais na kumfurahisha kweli 🤣🤣🤣 hizi ni dharau hata jeshi la Burundi haliwezi kufanya upumbavu wa namna hii
Katika nchi hii tunahitaji revolution kwa aina yeyote ile kuondoa hawa...
Kwa sasa ikipigwa kura ya vyama vinavyopendwa Tanzania, CCM itashika mkia. Huku mitaani chini kabisa mashinani hata wale waliokuwa CCM vindakindaki hawataki kukisikia kabisa.
Kosa la karne mlilolifanya mwaka huu ni kukubali kuzidiwa akili na CHADEMA. Ni rahisi sana kupambana na chama pinzani...
Baada ya ushindi wa kishindo tofauti na chaguzi zilizopita, siwaoni wana CCM wakisherehekea ushindi wala simuoni Mkiti wao akizunguka mikoani kuwashukuru wana CCM na wapigakura.
Ni yeye tu na msemaji wa serikali ndio wanasikika sioni wengine wakihangaika kumtetea.
Simuoni Makamu Mwenyekiti...
Hawa wanahusika na mipango mingi miovu ya kubagaza nchi hii na kubananga. Wanahusika pakubwa na uporaji na ununuzi wa maeneo ya Umma ambayo miaka ya nyuma walikataliwa kuuziwa.
Hawa mnajua wamenunua eneo kubwa la Kurasini mpaka shule na ofisi za Uhamiaji Kurasini? Mnajua kuwa kuna maeneo...
Kabla ya MO 29 huyu mzee alikuwa ndiye sura ya CCM na alichomoza kama think tank na strategist mkuu wa CCM mara nyingi akitoa maneno ya dharau mpaka kujitapa kuwa CCM kitatawala mpaka Yesu atakaporudi.
Siku ya maandamano nasikia vijana wazalendo walipita pale nyumbani kwake Bunda kumsalimia na...
CCM wataachia nchi kama Nyerere kwa kushindwa kupata Mikopo, misaada na utalii kujifia.
Na viongozi watakimbilia uhamishoni kuomba hifadhi
History tends to repeat itself
Maandamano ni VITA ya watu wajinga in this era.
Wao wanaogopa nchi kukwama kiuchumi na kukosa misaada hilo tu. The rest...
CCM kwa sasa ni sehemu ya serikali kandamizi.
CCM hainaushawishi kwa sasa na haiwakilishi wananchi wa kawaida kabisa.
Imepita takriban wiki tatu baada ya mauaji ya wananchi wa kawaida hasa vijana.
Mauaji, kuteka watu sasa katika utawala wa CCM kwa sasa ni mambo ya kawaida na CCM IMEYARUHUSU...
Polepole alipambania chama kurudi kwenye misingi ya Huanzishwaji wake chama cha wafanyakazi na wakulima kiwatumikie wananchi lakini mkaona mkikabizi chama wakini Seth IPTL na na mabwanyenye wengine...
Maelezo machache sana bila kuathiri mikakati ya msingi .
Siku moja nyuma kabla ya jana nilikuwa na uadui wa wazi kabisa na kila aliyekuwa mwanaccm ,niliamini kila mwanaccm ni mnufaika wa huu upuuzi ,hali nitofauti sana wazee.
Sikuwaza kabisa kusikia na hata kuona kwa ushahidi wa wazi kuwa...
Wana CCM sasa hawana amani na chama chao, wamekochukia chama chao,wameishiwa kiherehere wamekaa hawaamini yanayo endelea wamebaki kulalamika chinichini tu
Hii ndio faida ya kile mnacho sema na kuimbiana kwamba chama kwanza taifa badae mkiaminishana mnawakomoa CHADEMA huu ni mfumo mlio uasisi...
Dhambi ya uuaji huwa ni kama kama mchawi tu akianza kula nyama za watu kuna wakati ataua hata watoto wake. Tunapowaambia watu hawa wanaojipendekeza kwa Serikali kuwa watanzania hawapo salama wanadhani wao hawataguswa.
Kama ungemwambia huyo MC Kipilipili kuwa yaliyomkuta Ungo ni Kibeku...
Najua Gen Z wanawapa Heartbreak na kuwatoa vijasho haswa vipara . Mmeshindwa kuyatambua mahitaji yao na mkasahau ni kizazi ambacho kimeshajitengenezea standard zao za maisha pamoja na mtazamo wao ambao ni far behind ya kwenu ya ki conservative.
Mmesahau hili swala na ndio maana mnaamua...
Katika kampeni za mwaka 2020 uchaguzi mkuu aliyekuwa mgombea mwenza wa Hayati Magufuli ambaye kwa sasa ndiye Rais Samia alisikika akisema, Nendeni mkapige kura kwa CCM, kwa sababu hata mkipiga kura mahali pengine, CCM bado itaunda serikali
Yani CCM kauli zao zinawafunga wenyewe kwa wanayo yafanya.
Alipokuwa kuwa anafanya ziara za kunadi ilani ya chama chenu . Nasema ziara maana zilikuwa sio kampeni mlimdanganya na kula pesa za chama chenu bure.
Mlisomba watu kwa malori, matrekta , mabasi na semitela ili kujaza watu kwenye ziara zake. Lakini kumbe watu hawamtaki.
Nasema kuwa mna dhambi...
Picha ndio kitu wanachotafuta, baada ya hapo Utaona Vijana wao walowasambaa MITANDAON wakizitumia picha hizo na maneno yao.
Hilo likishindikana TEC wawe tayari kujibu kupitia Vyombo vya habari pale ambapo Picha hizo zitatumiwa vibaya.
Ni haki ya Kiongozi wa Dini Kukataa kupiga Picha na...
Rais Samia akizindua Tume Huru ya Uchunguzi ya Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi
https://www.youtube.com/live/pPI4FheVabM?si=j0ZyGRkWY0MtLpRm
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka akizungumza Ikulu Chamwino mkoani Dodoma wakati wa uzinduzi wa Tume Huru ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.