ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. milele amina

    JamiiForums Tanzania Pamoja na serikali kutoa maelekezo, kwanini MUWSA wamegoma kuwafungia wateja wake Pre-paid Water Meter?

    Moshi Urban Water Supply and Sanitation Authority (MUWSA) imejikita katika masuala ya huduma za maji na usafi, lakini kuna maswali mengi yanayojitokeza kuhusu uamuzi wao wa kuwafungia wateja wa mita za maji za awali (pre-paid meters). Katika kipindi hiki, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Apewe Lissu atapambana na CCM? Kwa njia ipi?

    Pekee ambae ameweza kupambana na CCM ni maalim Seif. Mpaka anaondoka ktk dunia Maalim amekuwa makamo wa Rais na kukiacha chama chake kikikuwa sehemu ya serekali. Hii imetokea baada ya maalim kukubalika Pemba 98% karibu uhai wake wote. Na kukubalika Unguja angalau 70%. Haikuwa kazi rahisi...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Ukichunguza kwa jicho la ndani utagundua ya kwamba matumizi ya ruzuku ndani ya CHADEMA tangu zamani yana harufu ya ufisadi

    Haya mambo yalianza muda mrefu sana. Hapa chini ni sehemu ya taarifa kutoka waraka uliowahi kuandikwa na Makamu Mwenyekiti aliyewahi kuhudumu ndani ya CHADEMA baada ya kuonja sumu. Taarifa hii inasema kuwa, "Kati ya Januari 1 na Juni, 30, 2008, Tshs. 350,000,000/= zilitumika Makao Makuu ya...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wajumbe hawatakubali CHADEMA iwe CCM B kwa kumchagua Mbowe. CCM wanamuunga Mkono Mbowe hadharani alafu Wajumbe nao wamchague Mbowe labda wawe Nyumbu

    Kwema Wakuu! Kadiri siku ziendavyo mioyo ya watu waliobakia kwa Mbowe inazidi Kufa na wanaamua kujisalimisha kwa kuamua kumpumzisha Mwenyekiti ili kukinusuru chama. Kila siku lazima atoke mwanachama wa CHADEMA aliyekuwa na wadhifa kumuunga Mkono Lisu. Jambo hilo linazidi kuwakatisha tamaa Team...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Atupele Mwakibete Achangia TZS Milioni 10 Ujenzi wa Ofisi za CCM Busokelo

    Mbunge wa Jimbo la Busokelo, Mhe. Atupele Mwakibete, amechangia mchango wa shilingi Milioni 10 kw ajili ya ujenzi wa Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo la Busokelo. "Hii ni kutokana na changamoto ambazo wanachama wanakutana nazo wanapohitaji huduma za Chama, ambapo walikuwa...
  6. Chakaza

    JamiiForums Tanzania CCM Oneni Aibu Hata Kidogo! Fix Hadi Lucifer Mwenyewe Anashangaa!

    Wala nisiseme mengi bali msikilizeni Mbunge wa Kawe na mjumbe wa NEC ya CCM anavyo wapiga fix wakazi wa Kawe na Watanzania akiwa mbele ya viongozi wenzake wa CCM. Uongo hadi Shetani anashika mdomo kwa mshangao!
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Arusha: Wajumbe wa CCM wamkataa Katibu wa chama hicho kwenye Wilaya ya Monduli kisa kupanga safu ya watakaogombea Ubunge 2025

    Wakuu, Baadhi ya Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Halmashauri ya Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha wameungana kumkataa Katibu wa Wilaya wa Chama hicho Rukia Omary kwa kile walichokidai kuwa kiongozi huyo amekua akikiuka kanuni za chama ikiwemo uchonganishi wa Viongozi pamoja na upangaji safu ya...
  8. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Japan wako mbingu ya saba, miaka laki moja mbele ya CCM

    # Tokyo Flood Tunnels, an underground engineering marvel that protects the city from flash floods. # # These tunnels, located beneath Tokyo’s bustling streets, are a stunning example of modern Japanese engineering. # # They not only channel rainwater away from urban areas, but also provide...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Othman Masoud: Mtanzania akilala hajui kama ataamka salama, tumuondoe CCM

    Othman Masoud Othman, Mwenyekiti wa ACT Wazalendo na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, ametoa kauli yenye mashiko kuhusu hali ya kiusalama na haki nchini, akisema kuwa Mtanzania akienda mahakamani hana hakika ya kupata haki yake, na hata akilala, hawezi kujua kama ataamka salama. Akizunguza...
  10. Knock life

    JamiiForums Tanzania Ni mtu mjinga ndo anaweza kusema CCM itatawala milele , jibu ni wakati wa CCM ukifika kuondoka itaondoka kama MBOWE.

    Leo mgefikiria mtu Kama Mbowe kukataliwa na kila mtu . Hii ni weak up call kuwa katika kila kitu kuna majira yake . Hivyo ikifika wakati wa Ccm kuondoka wataondoka . Ni swala la muda tu.
  11. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Leo jioni CCM Liti tunakwenda kushuhudia game bora ya msimu kati ya Simba na Yanga B

    Simba itashinda lakini si kwa urahisi yanga B wamepewa maagizo wameahidiwa fedha gizani na mfadhili wao Gsm wana maagizo kutoka kwa waziri wa fedha na mjumbe wa baraza la wadhamini yanga A Simba ipo kwenye wakati mgumu wachezaji wawe makini wanakwenda kuhujumiwa kwa kutiwa majeraha ili...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Propaganda ni Sayansi. Chawa wa CCM mjifunze

    Katika siasa unapofanya propaganda hakikisha hiyo propaganda yako haiwezi kukurudia kinyume nyume na kuwa mwiba kwako. Hivyo proaganda ni lazima zihaririwe vizuri na kuangaliwa katika long term effect yake kwako au kwa wapinzani. Swala la Mbowe kukaa muda mrefu lilianza kama propaganda za ma...
  13. tpaul

    JamiiForums Tanzania CCM wanataka Mbowe aendelee kukaa madarakani kwa sababu hizi hapa

    Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya ndugu wanaJF. Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Baada ya CCM kumpigia Mbowe kelele kwa muda mrefu kwa sababu za kuchakachua katiba ya CHADEMA ili akae madarakani milele, ghafla wamebadilisha gea angani na kuanza kumuunga mkono...
  14. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania CCM ni SACCOS isiyo na Mwenyewe, CHADEMA ni Kikoba Chenye Mwenyewe

    CCM kila mtu anajipigia anasepa. CHADEMA shoo zote anasimamia kamanda wa anga, mjomba wangu kumbukeni kuwa mjomba ni mama. Ambao hamjachangia kadi zenu fanyeni hima tunahitaji kuchoma mbuzi zaidi mwaka mpya.
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mratibu wa Kampeni za Mbowe: Kumtuhumu kushirikiana na CCM ni kumkosea heshima, Tunamhitaji Mbowe kuliko anavyojihitaji yeye mwenyewe

    Mratibu wa kampeni za Freeman Mbowe ametoa kauli kali akiwataka wale wanaomtuhumu Mwenyekiti huyo wa CHADEMA kwa kushirikiana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuacha mara moja, akisisitiza kuwa ni kumkosea heshima kiongozi huyo. Akizungumza na Jambo TV, mratibu huyo ameeleza kuwa Mbowe ameonyesha...
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania CCM Zanzibar yataka chama cha ACT Wazalendo kuacha kuingilia kazi za Polisi

    Wakuu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka viongozi wa ACT Wazalendo kuacha pupa na papara ya kutoa maelezo yanayoingilia uhuru na majukumu ya vyombo vya dola, polisi na mamlaka zinazosimamia upelelezi Matamshi hayo yametamkwa na Katibu wa Kamati Maalum ya NEC Zanzibar, Idara ya Itikadi...
  17. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Dudubaya amshauri Tundu Lissu kuhamia CCM au Vyama vingine akidai hatamweza Mbowe na wala CHADEMA haiwezi kufa

    Dudubaya amshauri Tundu Lissu kuhamia CCM au vyama vingine akidai hatamweza Mbowe na wala CHADEMA haiwezi kufa kwasababu walikuwepo wanachama wakubwa sana akiwemo Chacha Wangwe, Ndesamburo, Lowasa, Alphonce mawazo na walipoondoka CHADEMA haikufifia Tazama Video hii
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA wakubali au wasikubali Mdahalo wa Uenyekiti wa chama? Wenzenu CCM huwa hawakubali Midahalo

    Wanadodi Nimesikia nia ya kuandaa mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema. Huu ni uzi wa swali la ushauri wa bure kwa Chadema, Je wakubali au wasikubali mdahalo wa wagombea Uenyekiti wa Chadema?. Wenzenu CCM huwa hawakubali midahalo!. Kwa sisi tuliosoma zamani, tulikuwa tunafundishwa midahalo...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mipango ya ccm kuisambaratisha CHADEMA inaenda vema lakini wakumbuke kulinda milango yao pia

    Mpaka sasa wamefanikiwa walau asilimia 40 kutengeneza kundi la upinzani ndani ya CHADEMA Kwamba sasa kuna makundi mawili yanayokinzana 1. Kundi la mwenyekiti 2. Kundi la makamu Makundi haya kupitia mamluki wa CCM ndio yatagombanishwa siku ya uchaguzi na mambo mawili yanaweza kutoka 1...
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kama CCM wanadhani ya CHADEMA ni comedy na wanashadadia, basi wasubirie mchelea mwana hubeba jiwe

    Huu moto wa CHADEMA ni Kuni za moto wa kijani ndani ya CCM kati ya Tanganyika na Zanzibar. Tutaongea lugha moja ya kupindua meza na kurejesha mamlaka na kufanya marekebisho ya katiba haraka sana. Embe chini ya mnazi haitatokea Tena. Sio mimi ni malaika wa bwana wameona mbali. Pang Fung Mi
Back
Top Bottom