ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Vijana wote iwe Chadema au Ccm wanakimbilia siasa ili kutafuta unafuu wa maisha .

    Huyu jamaa anajiita Mdude . Kwanza hana Elimu ya darasani , pili haelewi Kwa kina kuhusu siasa. Muda anaoutumia mitandaoni kuponda na kubeza wanasiasa bora angeutumia kuboresha Kazi zake za ufundi wa Simu na computer. Hao akina Mwambukusi sio wenzake hao wana Elimu kubwa Sana na wamempita...
  2. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Tundu Lissu ajibu hoja za Freeman Mbowe kuhusu Maridhiano na CCM/Serikali, Mahusiano yake na M/Kiti na hoja za Wenje kuhusu rushwa ya Abdul

    Uchaguzi wa mwenyekiti CHADEMA (T) safari hii na awamu ni very unique... Ni wa kipekee kwa sababu awamu nne (2004, 2009, 2014 na 2019) ambazo mwenyekiti wa sasa Mh Freeman Mbowe alikuwa akishinda kwa ulaini kwa sababu ya udhaifu na prominent ya washindani... Awamu hii, mwaka huu hali ni ngumu...
  3. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania Zito kulamba dume tena?Tundu Lisu + ACT wazalendo (Zito), Kuwa chama mbadala wa CCM? Ukawa kurejea kivingine?

    1.Pata picha Tundu Lisu akasepa na Kijiji chake ACT Wazalendo, wataungana na Zito, Lisu akagombea uraisi akashinda, Zito waziri mkuu, Zanzibar Jusa Raisi Visiwani, hakika itakuwa serikali mbadala kabisa kwa utawala wa muda mrefu wa chama cha kijani. 2. Wasiposhinda uchaguzi wa Rais ACT...
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Kulingana na hotuba ya Mbowe na body language inaonekana bado alikuwa na ndoto kuwa maridhiano hayajavunjika

    Lissu anasema Mbowe alivyokuwa anaongea kwenye hutuba yake inaonekana bado anataka maridhiano. Anasema toka amerudi hakukuwa na mabadiliko yoyote kisera. Yote yaliyofanywa kwa upande wake yalikuwa ni masharti ambayo CCM walitakiwa kufanya kabla ya kuingia kwenye maridhiano. Pia soma: Pre GE2025...
  5. econonist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kitendo Cha CCM kupata Asilimia 99% za wizi kilitosha kumstaafisha Mbowe

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Mbowe ndio aliyetoa tangazo na agizo la kwamba CHADEMA ikashiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa. Pamoja na madhaifu yaliyokuwepo ila bado alikioeleka chama kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa. Mwisho wa siku chama kikapata Asilimia 0.78 na CCM kikapata Asilimia 99...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM na CHADEMA wote wanagombana, tofauti yao kubwa ni uzingatiaji wa wakati wa kugombana na wakati wa kuwa pamoja

    Hali ya migogoro ndani ya vyama vya siasa Tanzania, hususan CHADEMA na CCM, inaonyesha mifumo tofauti ya usimamizi wa migogoro na mshikamano wa ndani ya vyama hivi viwili: CCM: Licha ya migogoro na malumbano ndani ya chama, hasa kati ya wanachama au makundi yenye maslahi tofauti, wanapofika...
  7. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM ijazwe kutatua changamoto ya ajira nchini

    Hellow !! Tatizo la ajira nchini ni kubwa, Si vyema nafasi iliyoachwa na Mzee Kinana iendelee kuwa wazi Hadi sasa, Mtaani kunajengeka taswira mbaya kwamba tatizo la ajira nchini halizingatiwi Kwa kuacha wazi nafasi Ya Makamo Mwenyekiti upande wa Tanganyika Hadi sasa kana kwamba hayupo...
  8. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa punguza kisebusebu wewe ulinunuliwa na CCM kuhujumu CHADEMA

    Huyu amekuwa akijiona ni mkamillifu sna na mjuaji kinoma yeye ameusika moja kwa moja kuhujumu chadema na hata saulika Leo amekuja naanza kuleta chuki zake na ukatoliki wake kwenye siasa za chadema huku akiwa ni msaliti namba moja Akumbuke alihongwa pesa ili kuivuruga chadem Leo ameibuka amenza...
  9. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Vijana: Tukitaka kuibadiri nchi hii tujiunge na CCM

    Japo nafasi ni chache ndani ya ccm lakini hadi sasa kwa haya yanayo endelea chadema, chama pekee ambacho hakina maslahi binafsi ni CCM. Sikuwahi kuamini kelele za watu kwamba chadema ni chama cha familia ya mbowe hadi juzi alipo chokonolewa na kusema ukweli. Chadema is a very good business kwa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kupitia kinachoendelea ndani ya CHADEMA ni dhahiri CCM itaendelea kuwa chama dola kwa muda wa miaka mingi ijayo

    Ndugu wana JF, Ni ukweli usiofichika mpaka sasa CHADEMA imeshaingia kwenye mtego wa CCM na kazi nzuri iliyofanywa na watu ambao ni very smart na kwa uangalifu mkubwa ni kama imeshamalizika ikiwa na athari hasi kwa miaka mingi sana ijayo kwa CHADEMA na athari chanya kwa CCM. Kete muhimu za...
  11. Mag3

    JamiiForums Tanzania Kwa kumbukumbu...yanayotokea kwa Chadema mwaka huu, yalitokea kwa CCM mwaka 1994!

    Mwaka 1994, wana CCM waliokuwa wakifaidika chini ya utawala wa Rais Mwinyi, kwa kuogopa mabadiliko, hawakutaka ang'atuke baada ya kumaliza kipindi chake. Kampeni kubwa ilifanywa ya kutaka Katiba ifanyiwe mabadiliko Mwinyi awe mgombea pekee kwa kuogopa nguvu na moto waliyokuwa nao wapinzani na...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kipimo sahihi cha CHADEMA sio CCM

    Watu wanaoilinganisha CHADEMA na CCM wanakosea na wana uelewa duni wa siasa . Kimuundo au kiutendaji huwezi kuipima CHADEMA dhidi ya CCM, haifai kulinganisha hivi vyama kwa mambo hayo. Utofauti wa hivi vyama huko hivi CCM ni sawa na serikali au dola, ni vigumu kuchora mstari wa kutenganisha...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nini ccm wamefurahi zaidi Mbowe kuwa mwenyekiti kuliko Lissu?

    Nimeona mitandaoni na kwenye vyombo vya habari inaonekana ccm pamoja na serikali wana matumaini makubwa sana na Mbowe kuliko Lisu. Wako tayari kumpigia kampeni Mbowe na kupiga kampeni dhidi ya Lisu. Haya mahaba na Mbowe yanatoa picha gani!?
  14. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kati ya CCM Serikali na Watanzania nani mwenye roho mbaya zaidi hasa kuhusiana na uraia pacha?

    Kumekuwa na mjadala unaoibuka na kufa kila mara. Nao si mwingine bali wa kuruhusu uraia pacha katika Tanzania. Serikali imekuwa ikipiga danadana wakati huo ikipigia chapuo uwekezaji wa watanzania waishio ughaibuni nchini. Kuna dalili kuwa serikali ina uchu na pesa ya watu hawa lakini haiwataki...
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wale mnaotoka upinzani wahini muhamie CCM Mapema kunakaribia kujaa

    Mda ndio huuu Msisubiri sijui uchaguzi ufanyike Wale mnaotoka CHADEMA hamieni CCM. Nafasi zimebaki chache Na hiii kujitoa sijui kwenye kamati flan iendane na uhamisho WA jumla Unajivua uongozi na Badoo uko kama mwanachama sijaona manufaa yake Fanyeni maamuzi magumu sasa Gdnyt
  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kwanini hamna Mwana CCM aliyempongeza LISSU au kumsema vibaya Freeman Mbowe?

    Am still trying to figure out why ? Wanachama wa CCM asilimia Kubwa kama sio wote wanapambana kuhakikisha FAM anabaki kua Mweyekiti. Ninawaza tu yaan katika Siasa ya Vyama zaidi ya 15 vyenye lengo la Dola , wanatokea Wafuasi wa Cha Dola, wakakuambia , Mwenyekiti komaaa ,uendelee kua...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mnamsakama Mbowe ila kuna wabunge wa CCM wamekalia viti tangu 2005 (2005---2025) 20yrs

    Hawa wakina Job Ndugai, Zungu, Shabiby, Olesendeka,na Simbachawene mbona hawaongolewi hawa tangu 2005 ni wabunge hawataki kung,atuka kama ni CCM ni wapenda demokrasia mbona wamekalia viti. Why double standard kwa Freeman Mbowe
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wazazi na ndugu zangu ni CCM, walikuwa wakinishangaa kwa nini siwaungi Mkono. Jana sabato wakaniuliza kichokozi vipi mwanamageuzi!

    Hahahaha! Nimeona niwasalimu kwa kicheko. Miaka kadhaa iliyopita, ndugu zangu ambao baadhi Yao ni wananafasi za uongozi huko CCM walikuwa wakichukizwa Sana na Tabia yangu ambayo kwao waliona haina Tija. Mara kwa mara walikuwa wakinishinikiza niwe upande wa CCM kama wao walivyo. Robert huko...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Mkoa wa Iringa imepiga marufuku Wanachama wanaoanza kufanya kampeni kabla ya uchaguzi

    Kwani walikuwa awajui kwamba kuna wanachama wao wameanza kampeni? Lakini mbona kama njia zao maana tumeshuhudia baadhi ya viongozi wakubwa nao wakijipigia kampeni mapema! ================ Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa kimepiga marufuku Wanachama wanaoanza kufanya kampeni mapema...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Je, kwanini wanaomshabikia Mbowe wengi wao ni wana CCM?

    Wakuu habari zenu. Nimefuatilia majukwaa ya kijamii kadhaa wa kadhaa na kuona kua,wengi wanaompigia chapuo Mbowe na kumpamba ni wale ambao tulikua tukisuguana wakati tunaipinga CCM. Kwa wale wataalamu wa mambo ya siasa za Tanzania, naomba wanisaidie kujua kwa nini Mbowe amependwa ghafla hivi na...
Back
Top Bottom