ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kinachotokea CHADEMA Kamwe hakiwezi kutokea CCM

    CHADEMA kutokana na uimara wake ndiyo maana inapitia hii misukosuko ya kiuchaguzi na itavuka salama. Ila kwa kuwa CCM ni chama dhaifu kinachotegemea dola kujiendesha, hakiwezi Kamwe kupitia njia hii ya kidemokrasia inayopitia CHADEMA. Unaweza kuwaza Majaliwa Kassim aseme hadharani kuwa na yeye...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mkandarasi atimuliwa, "anajinasibu ana cheo kikubwa kamati ya CCM mkoa"

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera ameelekeza uongozi wa jiji la Mbeya, kusitisha mkataba wa mkandarasi anayejenga vyumba vitatu vya madarasa na vyoo, katika shule ya msingi mafanikio kata ya Itezi jijini Mbeya kwa kushindwa kukamilisha madarasa hayo kwa wakati. Madarasa hayo yanayojengwa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Hivi Chadema wana Mtunza Hazina kweli kama ilivyo CCM na ACT Wazalendo?

    Nauliza tu kwamba Fedha za Chadema na accounts zake zinatunzwa na nani? Na Malipo ya Posho Kwa Wajumbe mbalimbali yanasimamiwa na nani? Kwako CPA Ruge Nimekaa pale 🐼
  4. milele amina

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini aweka historia Mitaa ya Kata ya Miembeni

    MBUNGE WA MOSHI AWA GUMZO MITAA YA MIEMBENI UTANGULIZI Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa Moshi Mjini Mhe. Priscus Tarimo amekuwa gumzo katika mitaa mbalimbali ya Miembeni na Njoro baada ya kuhudhuria misiba miwili iliyokuwa jirani na kufanya jambo lililotafsiriwa kuwa sio la kiungwana...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania HItimisho: Hayati Magufuli alikuwa tatizo ila shida kuu ni CCM

    Baada ya kuendelea kwa vitendo vya utekaji na mauaji ya watu walio na mawazo mbadala kuhusu uongozi wa nchi na demokrasia kwa ujumla hata baada ya kifo cha Magufuli swali kuu ambalo wanajiuliza watu wenye akili ni kwa nini matukio haya yanaendelea? Sote tunakubaliana kuwa Magufuli alikuwa...
  6. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure! Ukiwa mwanaharakati dhidi ya CCM usikimbilie nchi za Afrika Mashariki au Urusi au China. Nenda Marekani, UK au Nchi ya Umoja wa Ulaya

    Nawaonea huruma sana wanaopingana na madhalimu CCM alafu wanakimbilia nchi za Afrika Mashariki au China au Urusi. Kwa kifupi hutakuwa salama nchi yeyote ya Afrika au kwenye hizo nchi marafiki wa CCM. Nchi za Kiarabu ndo kabisa maana majasusi wa nchi mbalimbali ndo wanafanya field zao hata...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hivi Umeme wa JNHEPP hautoshi kuendesha SGR? Mbona kama ni maajabu?

    Chuma Hayati Magufuli, Alipigaga tu Marufuku Umeme kukatika katika, kweli banaaa Biashara ya Majenereta ikafa. Baada ya Mama kushika Hatamu, Licha ya kua ana JNHEPP Umeme bado unakatika tu. SGR yenyewe ndo mnajionea, Wamiliki wa Ma Bus hao 🤣. Sio kwamba Hana Taarifa, anazo sema anazipuuza ...
  8. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Njia pekee ya kuwatisha CCM ni kwa maandamano na sio vinginevyo, sio kwa maneno makari wala Press conference, Keybord worriors tusidanganyane

    Kuna watu wamekaa kiti cha mbele na wanaamini kwamba Lisu kwa sababu ana ongea sana maneno makari sana basi watawala watatishika sana au atakuwa anatoa press conference kari kari na CCM watatishika sana. Hio haipo na haijawahi tokea Duniani labda ianzie Tanzania kwa mara ya kwanza. ni sawa na...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Cyprian Musiba: Muunganiko wa Heche na Lissu itatupa tabu CCM, Mbowe sio mgumu

    Mwanaharakati huru Cyprian Musiba akitoa maoni yake kuhusiana na uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). "Freeman Mbowe sio tough (mgumu) vile, sababu Mbowe mnaweza mkazungumza, Wenje mnaweza mkazungumza na mambo yakaenda na mkapeleka nchi yenu mbele." "Lakini wale jamaa...
  10. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Nyerere alianzisha CCM akawapisha wengine

    Nyerere aliianzisha CCM. Baada ya Nyerere CCM imeongozwa na Mwinyi,Mkapa, Kikwete, Magufuli,Samia. Na katika miaka hii yote Familia ya Nyerere imeendelea kuwa na uhusiano mzuri na Chama Cha Mapinduzi. Sasa sioni Mbowe anatoa tatizo gani kuacha uongozi wa Chama kama ikibidi. Kwa hiyo lolote...
  11. M

    JamiiForums Tanzania CCM, mnawaona CHADEMA walivyo na akili kubwa na ujasiri?

    Wagombea uongozi wa CHADEMA wanafanya sana midahalo. Mimi nimewapenda sana kwa kufanya hivyo. Ninachokiamini ni kwamba, CCM walivyo waoga, hata ukimwambia mgombea ubunge wa CCM afanye mdahalo na mwanafunzi wa darasa la pili, huyo mgombea ubunge ataogopa na atakimbia mdahalo. CHADEMA mmeonesha...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wadau washangazwa na Kitendo cha Mkutano Mkuu wa CCM kupuuzwa, huku wa Chadema ukiwa Gumzo

    Wengine wanasema kwamba tangu wazaliwe hawajawahi kuona hamasa kubwa ya Chama cha Upinzani kwa kiwango cha kufunika ccm kwa kiwango hiki Taarifa zingine zinadokeza kwamba hata hili la Mrithi wa Kinana limechomekwa tu ghafla ili kujaribu kutafuta Kiki na labda kufifisha uchaguzi wa Chadema...
  13. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM mnaye mbadala wa Samia Suluhu Hassan kugombea Urais 2025?

    Wanabodi, hili nimekutana nalo mahali kwamba kuna uwezekano Samia Suluhu Hassan akajiondoa kugombea Urais 2025. Hapa ndipo ninajiuliza ikitokea hivyo ninyi wana CCM mnaye mgombea wa akiba? Ni nani na anastahili kwa kiwango gani?
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wapo CCM huwezi kuwa chama cha upinzani Afrika ukajiita Mwanasiasa. Wewe ni mwanaharakati tuu

    Salama kabisa! Inashangaza Sana. Au ndio Elimu za kikasuku. ELIMU za kukariri. Unakuta mtu na elimu yake Kabisa umri umeenda lakini anashindwa kutofautisha Mwanasiasa na Mwanaharakati. Anashindwa kuelewa MUKTADHA WA mtu kuwa mwanasiasa na kuwa Mwanaharakati. Kwa mazingira ya nchi nyingi za...
  15. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanataka upinzani wenye nguvu ili serikali ifanye kazi yake vizuri

    Gap limekuwa kubwa kati ya wenye nacho na wasio nacho kwa sababu ya Upinzani dhaifu Kutekwa watu hovyo Rushwa kila kona Kupotea kwa watu Mauaji bila sababu Viongozi walarushwa Viongozi wazembe Viongozi mafisadi Jamii ya kichawa Huduma za kijamii mbovu
  16. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jokate awapa tano vijana kwa maandalizi mazuri ya mkutano mkuu CCM

    ✳️JOKATE AWAPA TANO VIJANA KWA MAANDALIZI MAZURI YA MKUTANO MKUU CCM. Na Mwandishi Wetu KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Jokate Mwegelo amesema jumuiya hiyo imeridhishwa na kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na vijana wa chama hicho ya kuandaa ukumbi kwa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Magufuli aliniambia niachane na CHADEMA, na atanirudishia kila kitu changu kilichopotea au cheo chochote

    "Akaniambia Mbowe achana na CHADEMA, kwa sababu alinisukuma sana nihamie CCM nikamwambia hilo katu sitaweza kwenye maisha yangu" "Akinipelekea ujumbe nikiwa gerezani akaniambia achana na Chadema nitakurudishia mali zako zote zolizochukuliwa na utake biashara au cheo chochote nitakupa" - Freeman...
  18. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti Mbowe, sisi wananchi hatutaki tena siasa za Ki UNCLE TOM tunataka siasa za kuwapelekea CCM moto. Huelewi wapi?

    Ndugu Freeman Aikael Mbowe nakusabahi. Nakuandikia huu waraka huu ili ujue sisi wananchi huku kitaa tunataka nini. nifuatilie kwa makini. 1. Mosi umefanya blunders nyingi ila chama kilikulinda kwa mfano. *Ulipomleta Lowasa CHADEMA wakati ukijua chama kilikuwa na msimamo thabiti dhidi yake...
  19. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kijana Mzalendo CCM: Tundu Lissu na Heche Ndio Majabali wa siasa Tanzania, ni Game Changers. Wananchi wote tuwaunge mkono bila kujali vyama

    Huyu jamaa anayejiita Kijana Mzalendo amethibitisha uzalendo wake kwa kuweka siasa za maji taka pembeni na kujikita kwenye siasa za Tija. Ameongea mambo mengi Muhimu sana kuhusu siasa za Tanzania lakini moja ktk mahojiano yake yamevuta Attention Kubwa Nchini. Kwanza izingatiwe kuwa huyu si...
  20. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzee Makamba aliwahi kusema 'Ukifanikiwa kuwaondoa Mbowe na Dkt. Slaa CHADEMA itakufa'

    Kipindi cha Yusufu Makamba alipokuwa Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi (CCM) Alipata kusema kuwa akiondoka Mbowe na Dr. Slaa kwenye chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) chama hicho kitakufa Makamba alisema muhimuli wa CHADEMA uko kwa Mbowe na Dr. Slaa kwamba watu hawa ndio nguzo ya...
Back
Top Bottom