ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. iMart Discounts Kariakoo

    JamiiForums Tanzania Muda wa Kuanza Kurudi kwa Wajumbe Umekaribia; This time usiende kizembe!

    Aisee, Comrade! Unajua fashion ya kitaa ni identity yetu, right? Sasa, iMart Discounts Kariakoo wameleta kitu kitamuuu, hii kitu ni ! Jezi hii ya kipekee, yenye picha ya Rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan, inapatikana hapa Kariakoo. Hii sio tshirt ya kawaida, ni moto sana! Ni kielelezo...
  2. 4

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 No Reform no election, CCM mtashidana ila hamtashida

    Wakuu amani ya Mungu ikawe juu yenu na kila mmoja kwa Imani yake. Mungu ananiambia ,akili yenu yote mmejikita namna ya kutoka kwenye hili la no reform no election. Sasa Mungu anawambia wazi mipango yenu ya giza au ya kheri ipo wazi , na rada ya Mungu ipo popote pale mpangapo maovu juu ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukitaka kujua CCM haifai na inatakiwa kuondolewa madarakani, tembelea nchi nyingine

    Ukitaka kujua CCM haifai na inatakiwa kuondolewa madarakani tembelea nchi zingine na wala usiende mbali, nenda tu hapo Zambia utajifunza yafuatayo 1. Bando la elfu moja Zambia ni Gb 1 na utatumia kwa muda mrefu kwani haliishi haraka na nter net ni ya kasi. Tanzania kwa elfu moja unapata...
  4. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri kwa walimu wenzangu: uchaguzi 2025 tuikatae CCM na iwe fursa ya kuiadhibu

    Miaka mingi tumekuwa tukifanywa mawakala wa Nec kwenye chaguzi. (Wasimamizi) na tumekuwa tukitumika kama kondomu . Huku tukificha maovu na ujanja ujanja wa CCM. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Kigoma yapiga marufuku kampeni za mapema kabla ya Uchaguzi Mkuu

    Chama Cha Mapinduzi CCM kupitia kwa Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo Deogratius Nsokolo kimepiga marufuku wanachama wote walioanza na wanaotarajia kuanza harakati za kujinadi kuelekea Uchaguzi mkuu kabla ya muda kutangazwa Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu...
  6. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Viongozi wa CHADEMA wamekiri kushindwa Uchaguzi, waogopa, wakubali ushindi wa kishindo CCM

    Wakuu Je, Ni kweli viongozi wa CHADEMA wamekiri kushindwa Uchaguzi, waogopa, wakubali ushindi wa kishindo CCM
  7. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu wa CCM Iringa awataka Viongozi kudumisha Umoja na Mshikamano kuelekea Uchaguzi

    Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa, Saidi Goha, akiambatana na wajumbe wa Sekretarieti ya CCM mkoa, ameendesha semina kwa viongozi wa chama na jumuiya zake kuanzia ngazi ya matawi na kata katika Wilaya ya Iringa Vijijini. Katika mkutano huo, Goha alieleza kufurahishwa na...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Bukoba Vijijini Jasson Rweikiza: Rais Samia ametuheshimisha sana. Kuna nchi zinakuja kujifunza vitu hapa Tanzania

    Wakuu, Mbunge wa Bukoba Vijijini (CCM), Dk Jasson Rweikiza amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza miaka minne madarakani iliyosheheni mafanikio lukuki ikiwemo ukamilishaji wa miradi muhimu ya kimkakati. Akizungumza na Nipashe Digital kuhusu mafanikio ya Rais Samia, Dk. Rweikiza...
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Ruvuma awahimiza vijana kugombea nafasi za juu katika Uchaguzi Mkuu

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Ruvuma, Kelvin Charles, amewahimiza vijana wa mkoa huo kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu. Soma pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Dodoma: Wana CCM msiogope kuitwa chawa

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba, amesema vyama vya upinzani vimekosa msimamo kwa kubadilisha hoja zao mara kwa mara, kutoka kudai Katiba Mpya hadi kaulimbiu ya "No Reform, No Elections" (Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi). Kupata...
  11. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kuna watu walitudanganya CCM imeimarisha TZS thidi US dollar

    Great Thinkers. Wale ng'ombe wako wapi walikuwa wantupigia kelele hapa ko ko ko ko ko ko ko Mama kaupiga mwingi hadi kashusha thamani ya dollar huku mataifa mengine ikipanda. Tuliwaambia kilichokuwa kinafanyika ni retracemnt tu then iruke kama kawaida. Wahuni walinunua dollar za kutosha...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANZIA Katibu wa CCM Wilaya ya Rombo, Marry Sule, Afariki Dunia akipatiwa matibabu

    Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro, Marry Sule amefariki dunia jana usiku Machi 18, 2025 akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Huruma. Taarifa za kifo chake zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii usiku huohuo zikieleza kuwa Katibu huyo amefariki...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kamati ya Ulinzi na Usalama inakutana na CCM pekee na si vyama vingine?

    Salaam Wakuu wa Mikoa na Wilaya ndio Wenyeviti wa Kamati za Ulinzi na Usalama. Ila kila siku naona wanahudhuria Vikao na Mikutano ya Kisiasa ya Chama cha Mapinduzi lakini si vyama vya Upinzani. Kwanini vyama vya Upinzani havishirikishwi kwenye vikao vya Ulinzi na Usalama wa Nchini? Je...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wilaya ya Mlele imefanya hafla ya kupongeza miaka minne ya Uongozi wa Rais Samia

    Wilaya ya Mlele imefanya hafla ya kupongeza miaka minne ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, iliyofanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Ibelamafipa iliyopo Kijiji cha Ilunde Halmashauri ya Mlele mkoani Katavi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  15. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Ushahidi; ndani ya CCM bado kuna watu makini, "smart"

    Wasalaam Huu ndio ukweli mchungu.
  16. U

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nimebubujikwa na machozi ya shangwe kupata ujumbe wa simu wa Mwenyekiti wa CCM kujikumbusha kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura

    Nimebubujikwa na machozi ya shangwe kupata ujumbe wa simu wa Mwenyekiti wa CCM kujikumbusha kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura Wadau hamjamboni nyote? Kwangu Mimi niheshima kubwa sana na nimebubujikwa na machozi ya furaha na shangwe baada ya kupokea ujumbe wa sms kutoka...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli mbiu ya ccm ya 'kazi na utu tunasonga mbele' inalenga kuwaunganisha watanzania kama familia moja kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria Oct 2025

    Ni muendelezo wa nia na dhamira njema ya CCM na mbeba maono wa waTanzania wote Dr.Samia Suluhu Hassan katika kuliunganisha taifa kua imara zaidi katika umoja, amani na mshikamano, na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu kwa maslahi mapana ya waTanzania wote. Kwa wakazi wa mkoa wa...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ni kichaa pekee tu ataamini kuwa CCM haitapata tena ushindi wa zaidi ya 97% kwenye uchaguzi mkuu October 2025

    Mama anaupiga mwingi, CCM imeupiga mwingi miaka 64 ya uhuru, rasilimali zinarinwa vizuri na matunda yake mnayaona. 2019, 2020, 2024 CCM wamepita kwa zaidi ya 98%. Ni kichaa pekee tu ataamini kuwa CCM haitapata tena zaidi ya 97% kwenye uchaguzi mkuu October 2025. Watapata zaidi ya 97% kwa njia...
  19. Heci

    JamiiForums Tanzania Kwenye vituo vya kujiandikisha kwenye daftari la maboresho la wapiga kura tunaambiwa kadi zetu tuzipeleke kwa mjumbe wa nyumba kumi wa CCM

    Kituoni hapa tunaambiwa twende kwa mjumbe wa nyumba kumi ambaye ni kada wa CCM tupeleke kadi zetu ili wachukue namba. Huu ni UPUMBAVU mwingine, CCM wameanza kuchezea rafu mapema. CHADEMA, ACT Wazalendo, hakikisheni uchaguzi huu haufanyiki kwani tayari una makandokando mengi.
  20. D

    JamiiForums Tanzania Natoa wito VETA ifutwe haraka mana ni kichaka cha ccm kikwepa jukumu la kuwapa ajira vijana. Watanzanua tuamke tunapelekwa mbio sana.

    Baada ya ccm na serikali kuharibu kila kona hasa kuanzia awamu ya tano, sasa ccm imekuja na a very constructive strategy ya kuwahadaa vijana kwamba mpaka waende VETA baada ya kumaliza degree, phd au uproffesor ndo iwaajiri. Hi ni danganya toto ukweli ni kwamba ccm imeshindwa na inatafuta pa...
Back
Top Bottom