Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
CCM sasa ni dhahiri, haina sera za kuwaunganisha wananchi wote.
Kwa sisi makada wa siku nyingi, Unifying Ideology kwa wanachi wote wa Tanzania, tena wa rika, jinsia au misimamo ya kisiasa yoyote, CCM lazima iwaunganishe wananchi wote.
Zamani tulikuwa na hata matembezi ya mshikamano, iliyokuwa...
CCM walikuja na kauli mbiu yao "Zima zote washa kijani" wakimaabisha wafute ushawishi Wa vyama vyote wabakie wao CCM.
Lakini Kwa Sasa tangu CHADEMA ianze harakati zake za "No reforms No Election" CCM imechachawa na kuzima akili zao zote na kuwasha ushetani.
Hivi inawezekanaje mtu mzima na...
Wanachadema katika eneo langu hawajajiandikisha katika daftari la kupiga kura baada ya kiongozi wetu Lissu kutuelekeza tususie uchaguzi.
Wagombea wenzangu walikuwa wamerltunza hela wafanyie kampeni, sasa wameamua kuzinywea pombe na kufanyia shughuli nyingine. Wenzetu CCM wanajisuka mashinani...
Kesho tarehe 26/3/2025 Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Mh. Tundu Lissu atafanya mkutano mkubwa wa hadhara mjini Sumbawanga kuendeleza kampeni ya No Reforms No Election. Kitu cha kushangaza ni kuwa jioni hii CCM inapitisha matangazo hapa mjini Sumbawanga kuwa na wao watafanya Bonanza katika uwanja...
Kwa sasa CCM ni kama chama ambacho kimechoka na kukata tamaa kabisa.
Kimebaki kuendesha mikutano yake kama matamasha na kuzungusha watu Dar kwenda kujaza mikutano ya viongozi maeneo mengine.. Kama vile wasanii.
Kwa kiasi kikubwa wasanii ndio wanakiendesha chama. Sio mbaya kwa sasa ni wananchi...
Kijana Riz1 ni the next president in the making.
Kuna kipindi alikuwa kwenye kashfa mbali mbali za Ufisadi na mambo mengine. Alikuwa hakauki kwenye midomo ya wengi dhidi ya Ufisadi.
Kwa sasa Kijana ametulia na ameshaweka mizizi ya mbuyu; na wazee wa familia wameshampika ….. usitokee kwenye...
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza, Omari Mtuwa, amewaonya viongozi wa chama hicho kuacha tabia ya kuwa madalali wa siasa badala ya kukitumikia chama kwa uaminifu.
Akizungumza na wajumbe wa Sekretarieti ya Kata na matawi katika Jimbo la Buchosa leo, Mtuwa alisema kumekuwepo na...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kuelezea alichobaini wakati wa mchakato wa Chama Cha Mapinduzi hadi kupatikana kwa mkombea wake wa nafasi ya Urais akidai kuna ukiukwaji wa Katiba ya Chama hicho ulifanyika.
Amesema hayo...
Mwili wa aliyekuwa Katibu wa chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro Mary Sulley umezikwa
, Machi 22, 2025 katika makaburi ya familia yaliyopo kijiji cha Mangafi,Wilaya ya Karatu mkoani Arusha.
Mary Sulley alifariki Dunia Machi 18,2025 katika Hospitali ya Huruma iliyopo...
Katibu wa NEC organaizesheni na Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Issa Gavu amezindua mradi wa Maduka ya chama Cha mapinduzi yaliopo stendi kuu ya Zamani huku akiwaasa wanachama pamoja na wafabiashara kuitunza milango (flemu) hizo.
Akizungumza wakati wa Kuzindua na kuweka jiwe la msingi flemu hizo...
Wasalaam
Awali eneo lote hili lilikuwa mkoa mmoja mpaka hapo Katavi ilipotangazwa mkoa enzi ya utawala wa Kikwete Pinda akiwa waziri mkuu
Kama umekulia Kilimanjaro...Mbeya ...Arusha...Dodoma bila kutaja Dar na Mwanza...ukienda mikoa hii unaweza kufikiri imeanzishwa hivi karibuni
Ukiambiwa...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Mkoa wa Mara, Mary Joseph amewataka vijana kuacha kujihusisha na vitendo vinavyochafua picha ya umoja huo, badala yake wawe sehemu ya ulinzi wa amani na mshikamano.
Mary ametoa kauli hiyo leo Machi 24, 2025 alipokuwa akizungumza na vijana katika Wilaya ya...
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza, Omari Mtuwa, amewaonya viongozi wa chama hicho kuacha tabia ya kuwa madalali wa siasa badala ya kukitumikia chama kwa uaminifu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu amekabidhi pikipiki sita kwa ajili kuwawezesha viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutekeleza majukumu yao hasa wakati huu chama hicho kikijiandaa kwa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba, 2025.
Mbali na pikipiki hizo, Kingu pia amechangia vifaa...
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya kutoweka kwa Ndugu Daniel Chonchorio Nyamhanga, ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambapo hadi sasa, hajapatikana, na juhudi za kumsaka zinaendelea.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu Kamanda...
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Iringa Mjini kupitia CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa, ambaye ni Kada wa CCM kwasasa, ameweka wazi msimamo wake wa kisiasa huku akiwataka wananchi kupuuza taarifa zozote zinazosambazwa kuhusu mustakabali wake.
Kupitia ujumbe wake X (zamani Twitter), Msigwa amesema...
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa Bw. Daniel Chonchorio Nyamohanga, Mkazi wa Nyakato Jijini Mwanza anadaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha majira ya asubuhi siku ya jana.
Kwa mujibu wa Familia wanasema aliondoka Nyumbani kwake tarehe 23 majira ya Saa 2 Asubuhi akiwa anaenda mazoezini...
Rejea sheria mpya ya uchaguzi, Rais Samia, Serikali ya CCM na Bunge bandia la CCM, waliwadharau na kuwapuuza Watanzania wote.
Vyama vya upinzani, taasisi za dini, chama cha wanasheria Tanganyika, watetezi wa haki, na asasi za kiraia, wote walishauri:
1. Kuwe na Tume Huru ya uchaguzi ambayo...
Msajili yupo Kwa ajili ya CHADEMA tu ??.
Kwamba Msajili hata Kuionya CCM kupitia viongozi wake kuacha kutoa matamko ya Taharuki , haonekani!!.
Ama KWELI, No Reforms, No Election
Deo Mushi kada was CCM na Diwani wa zamani wa Kata ya Kibosho Magharibi amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Moshi Vijijini kuacha mzaha juu ya uuzwaji wa shamba la Shule ya msingi WERENI.
Shamba hilo ambalo miaka mingi limekuwa likitumiwa kwa ajili ya kulima mahindi kwa ajili ya wanafunzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.