ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CCM msitumie Machawa kumjibu LISSU, ni Heri kua kimya, Ubaya wa Lissu anazungumza Ukweli na Haki, ni ngumu mno kujibizana naye

    Ukubali, Ukatae, Huyu LISSU ni Gifted, Brilliant, ana akili Nyingi mnoo, ana upeo Mkubwa sana alafu Ndani yake ana Nguvu kubwa ya Kiroho. Haingii Akilini Risasi 16 MTU anatoboa ,alafu bado umchukulie poaa, watu Huwa wanaondoshwa na Risasi Moja au Mbili !!. LISSU hatua alofikia ni ASOOGOPA...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hatimaye! Lissu na CHADEMA wafanikiwa kuwashika CCM pabaya!

    Kuendekeza njaa na maslahi binafsi kwa wana CCM kumekifanya chama hicho kuwa kwenye wakati mgumu sana kupingana na hoja ya CHADEMA na Lissu kuwa No Reform No Election. Utafiti wangu umeonesha kuwa suala la No Reform No Election lilitangazwa na CHADEMA linawapa wakati mgumu sana CCM kwa sababu...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti UWT Taifa: Lissu asiitishie serikali ya CCM "atulizane"

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Pius Chatanda amewataka Watanzania kuyapuuza maneno ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na wawe na imani na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi. Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  4. K

    JamiiForums Tanzania CCM ni kama Wasira na Chadema ni kama Heche

    CCM ni kama Wasira chama kilicho zeeka lakini kinafikiri bado ni kijana. Chama kilichojisahau na kufikia wakati sasa wanaona hata chaguzi sio lazima kama una Polisi na Usalama. Chama ambacho kinafikiri vijana wote ni wasanii! yaani wakiweka wasanii machawa watapata support. Chadema ni kama...
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Ahmed Djellal,

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Ahmed Djellal, ambaye alifika ofisini kwa Balozi Nchimbi, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, kwa ajili ya kuaga, Jumatano tarehe 12...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanahoji uteuzi wa wagombea wa CCM?

    Mwl. Nyerere aliwahi kusema, "kama CCM ikimtangaza mgombea wake huyo ndiye atakaekuwa Rais". Hivyo alitaka wagombea wa CCM wajulikane mapema ili watu wapate muda wa kuwajua na kuwajadili kwa muda mrefu kabla ya kuteuliwa na kabla ya siku ya uchaguzi. CCM wamefanya hivyo alhamdulilah kwa wagombea...
  7. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu anaipa ushindi CCM mapema sana

    Kwanza,kwenye chama chake tu kuna watu zaidi ya 40% hawamkubali,hiyo imethibitika kwenye uchaguzi mkuu wa chama,hata kama atapambana kuwarudisha, hutawarudisha wote.wengine atakua nao ila hawatakua upande wake abadani,na huo ndio ukweli akubali ukatae! Hoja ya kugomea uchaguzi na kutangaza...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliyefukuzwa CCM baada ya kupinga Rais Samia kupitishwa mgombea pekee urais agoma kuondoka CCM

    Kada wa Chama cha Mapinduzi, Mchungaji Godfrey Malisa amesema hatambui uamuzi uliofanywa wa kumfukuza uanachama kwa kile alichodai hakuvunja Katiba ya CCM hivyo maoni aliyoyatoa kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee wa Urais yako sahihi. Soma: Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili...
  9. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mabeberu wanaisadia CCM au CHADEMA?

    Serikali ya Tanzania kwa sasa inaendeshwa na CCM. Kwa ivo kila jambo linalotendwa na serikali hapa nchini ni lazima iwe ni matokeo ya maelekezo ya CCM. Hivi karibuni Serikali ya Marekani chini ya uongozi wa Donald Trump imezuia misaada Kwa nchi mbali mbali duniani kupitia shirika lake la...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Wasira ana haki ya kusinzia, tusimlaumu. Asema CCM inarejesha Viongozi waliochoka

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira ana haki ya kusinziaa kutokana na umri wake mkubwa na kuwataka wananchi wasipoteze muda kumjadili. Akizungumza katika...
  11. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Joseph Mahando: Kisheria CCM hawajakosea kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea pekee

    Wakuu Wakili wa kujitegemea Joseph Mahando atoa ufafanuzi wa kisheria kwa mujibu wa katiba ya nchi na katiba ya CCM ni kuwa chama hicho hakijakosea hata kidogo kumpitisha Rais Samia kuwa Mgombea pekee wa chama hicho kwenye uchaguzi mkuu 2025 katika ngazi ya urais. Pia, Soma: Aliyefukuzwa...
  12. milele amina

    JamiiForums Tanzania Utafiti wa Uchaguzi wa Madiwani: Changamoto na Sababu za Kutokuchaguliwa kwa Madiwani wa CCM October 2025

    Katika utafiti uliofanyika nchini, kupitia kila kata, imebainika kuwa madiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliochaguliwa chini ya utawala wa Rais Magufuli, meaka 2020, kwa asilimia 90 hawataweza kuchaguliwa tena katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Hii ni kutokana na sababu mbalimbali...
  13. kichongeochuma

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Waondoleeni wananchi hofu dhidi ya matendo ya CCM,vitisho na kusakamwa na CCM

    Ukikaa na wananchi wengi wanaunga mkono mabadiliko na wanatamani sana madadiliko nchini, wamechoshwa kabisa na mambo ya CCM pamoja na ubinafsi wa CCM , ila tatizo kubwa ambalo kama chama mnatakiwa kulifanya ni kutafuta namna ya kuiondoa hofu iliyopo ndani ya wananchi dhidi ya matendo ya CCM...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza anaiponda CCM na wanasiasa wa siku hizi kupitia Sauti ya Ujerumani muda huu

    Anaponda kauli ya CCM wanayosema CCM itakaa madarakani hadi Yesu atakaporudi Wanasiasa wanaoelewa nini maana ya siasa wamekwisha sasa Anazungumzia hofu kubwa za kutekwa kwa watanzania kutokana na kuwa na mawazo tofauti na serikali 4R imetekwa na hakuna utekelezaji tena Walio madarakani...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Deo Sanga: Wanaosema CCM tulikosea kumpitisha Samia, waende Vyama vingine bado havijateua wagombea huko

    Mbunge wa Jimbo la Makambako Mkoani Njombe Deo Sanga (Jah People) amesema kuwa wale wanaosema CCM kumpitisha Samia, waende Vyama vingine bado havijateua wagombea wakashauri huko Amesisitiza CCM chama kimeamua kwa kauli moja kumuunga mkono Rais Samia.
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Hai asema Wananchi wanasema Rais Samia apitishwe bila kupingwa kama walivyofanya CCM Dodoma

    Wakuu Wananchi tumekubaliana lini Rais Samia kupita bila kupingwa? Hivi huyu Mbunge anawazungumzia wananchi gani? Au anaongea kwa niaba ya vikao vyao vya kificho? Tena aelewe, si kila anayeshangilia kwenye ukumbi wa chama ni sauti ya Watanzania wote. Kama ana ndoto za kufundisha historia ya...
  17. Ndebile

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Tarime azomewa na Wananchi

    Huyu ni MwenyeKiti wa Wilaya ya Tarime. Anaitwa Marwa Ngicho, hapa alikuwa msibani anawaambia Wananchi wana maisha mazuri kupitia CCM. Wananchi walimzoea msibani bila kuogopa. Soma Pia: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Hizi sio dalili nzuri kwa Chama...
  18. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mapokezi ya makamu mwenyekiti wa CCM Ndg.Stephen Wasira mkoani wa Simiyu

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, Aungana na Wanachama wa CCM Katika Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM, Ndg. Stephen Wasira , Leo Lamadi Busega. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, ameshiriki kwa furaha katika mapokezi ya Makamu...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Ruvuma yatoa pongezi kwa Viongozi waliochaguliwa kugombea Urais katika Uchaguzi ujao

    Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma kimefanya mkutano maalum na kupongeza azimio la kuwaunga mkono viongozi walioteuliwa na chama hicho kugombea nafasi ya urais katika uchaguzi ujao. Mkutano huo umefanyika chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma, Oddo Mwisho, ambae alikuwa...
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kumfukuza Malisa, CCM imepuliza ili Iwake, Hoja hujibiwa kwa Hoja , watu Sasa watazidi kuhoji kulikoni?

    Kuna vitu maamuzi yake huhitaji Hoja, yaan anasimama MTU makini anaelezea Kwa hoja !. Sasa kumfukuza MTU namna hii, maana yake ni kuifanya habari iwe kuuuuuubwa , embu fikiria vyombo habari vireport " CCM yamfukuza aliyepinga kuvunjwa Kwa Katiba wakati wa zoezi za kuchagua Mgombea Urais'...
Back
Top Bottom