ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Nitamtafutia wadhamini Mgombea Urais CCM nchi nzima

    Kwa ridhaa yangu bila kulipwa chochote. Najitolea kuzunguka nchi nzima kumtafutia wadhamini Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia CCM pindi Tu Tume Huru ya Uchaguzi watapotoa Fomu stahiki. OktobaTUNATIKI
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya no reforms no election na ushindi wake mitandaoni dhidi ya CCM, ni picha halisi ya jinsi CCM huiba kura!

    Nguvu ya jambo lolote katika kuamua, ni uwingi wa waamuzi wenyewe Na ndiyo maana, kura nyingi, humpa mtu nguvu ya kuwa mshindi na kutawazwa kuwa kiongozi Tunaona, hata miswaada mingi kwenye mabunge, huamriwa na nguvu ya hoja na kuungwa mkono na watu wengi ndipo inapita, na ikishindikana hivo...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania CCM yawataka watendaji wa Serikali kusambaza neno la "OKTOBA TUNATIKI✔️"

    Hii Nchi inahitaji katiba Mpya. CCM yawataka watendaji wa Serikali kusambaza neno la "OKTOBA TUNATIKI✔️" Ndugu yangu Nimemuuliza kulikoni? Akajibu ni Maelekezo. Je hii ni haki? Watanzania tushakubaliana neno la taifa ni No reforms no Election.
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kada wa CCM: Mnadhani kuna chama cha kushindana na CCM? Achaneni na no reforms no election

    Moja wa kada wa CCM amehoji na kujinadi kuwa Mnadhani kuna chama cha kushindana na CCM? Achaneni na no reforms no election
  5. Sigara Kali

    JamiiForums Tanzania Kulikua na sababu gani ya kuweka bango lenye picha ya Rais Samia na nembo ya CCM kwenye hii boti?

    Hii safari ya Boti kusafirishwa kutoka Mtwara hadi Mwanza naona inatangazwa sana mitandaoni Cha ajabu sasa kwenye hiyo boti kuna bango limeandikwa UOKOZI ZIWA VICTORIA lakini kuna picha ya Samia na nembo ya CCM Je hii ni kampeni dhidi ya CCM? Na Hii safari naona kama ina lengo la kuwatoa...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CCM Mbeya: Mnaotaka kugombea CCM acheni vitendo vya ukatili na roho mbaya

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mbeya Ndg.Patrick Mwalunenge ameweka wazi msimamo wake kuelekea Uchaguzi Mkuu kila mtu anayetaka kugombea ndani chama hicho kuacha vitendo vya ukatili na roho mbaya kitu ambacho si kizuri kabisa. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wacharuka na comment za 'No Reforms, No Election' kwenye page za Viongozi na Taasisi za Umma ikiwemo post ya Eid ya Rais Samia

    Wakuu! Bila uoga, Wananchi wengi wamejitokeza kuandika comments zenye ujumbe wa 'No Reforms, No Election' chini ya post ya salamu za kheri ya Sikukuu ya Eid al-Adha zilizotolewa na Rais Samia kupitia mitandao ya kijamii. Badala ya kusherehekea ujumbe huo wa sikukuu kwa kawaida, baadhi ya...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Vijana wa ccm hapa JF njoni tutete

    Kama kweli hamkubaliani na NO REFORMS NO ELECTION... njoni hapa mpinge ama kama mnaona soni anzisheni uzi wenu.. Msidandie dandie nyuzi za wengine
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inachopitia CCM ndicho Afrika inapitia Urusi. Kudogosha..

    Bara la Afrika ni kubwa kuliko Urusi. Lakini kwenye Ramani inaonekana Urusi ni kubwa kuliko Bara la Afrika. Huku ni kudogosha kwa manufaa ya Wazungu. Kwa upande wa Tanzania, CHADEMA ina wanachama wengi kuliko CCM, lakini CCM wanadai wana Wanachama wengi kuliko CHADEMA. Twende Taratibu. Pamoja...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tumechoka na hivi visa vya watu kutekwa na kupotezwa. Kwa mfano, aliyerekodi msafara na kuchoma picha ya Rais alikuwa na tishio gani kwa usalama?

    Yaan Picha, thamani ya Picha ya MTU Inakua juu ya UHAI wa MTU??. Yaan Video, video ya magari ya Msafara ,inakua na thamani kushinda Uhai??. Sasa tumechoka, watanzania wanasimamia na wote wenye kuitetea Haki. Rais Samia na wengineo wote. Tumechoka! Yaan Kwa mfano, alochoma picha ya Rais...
  11. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hali Tete: CCM watuma vijana Mitandaoni hasa X, Tiktok, Facebook na Instagram. Wawapa bundles kutuma jumbe kuonesha Samia na CCM wanaungwa mkono

    Nimecheka sana, Mdogo wangu yupo Chuo Kikuu Dodoma kaniambia muda huu vijana wa CCM vyuoni wameelekezwa kuingia kwenye pages za Samia, Ikulu Mawasiliano na CCM kutuma jumbe nyingi kuonesha Samia na CCM inaungwa mkono. Jumbe hizo ni pamoja na za kumsifia na kuonesha kuwa anapendwa na atapigiwa...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shemsa Mohamed: CCM Tupo Simiyu Kuhakikisha Serikali Inatekeleza Majukumu kwa Wakati

    SHEMSA MOHAMED: CCM TUPO SIMIYU KUHAKIKISHA SERIKALI INATEKELEZA MAJUKUMU KWA WAKATI Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali kutoka Mkoa wa Simiyu, tarehe 4 Juni 2025 wamefanya ziara ya kikazi katika Wilaya ya Busega kwa lengo la kusikiliza, kushughulikia na kutatua kero za wananchi...
  13. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Angalizo Maalumu kutoka kwa Kigogo kwenda CCM

    ANGALIZO MAHSUSI: Kinachoendelea huko instagram na Facebook na TikTok kama wahusika watadharau na kuchukulia poa basi hawako sawa kiakili!.. Serikali hii ilikuwa so dear to wananchi na wakiipenda sana toka siku ya kwanza!. Swali ni kuwa imekuwaje imefika hapa? Nini kimetokea tena kwa muda...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Njia ambazo serikali ya CCM inazotumia kuzima mijadala au kuhoji

    Kuna njia nyingi ambazo watu hutumia kufifisha mjadala au mazungumzo hasa pale inapobainika kuwa kuna ukweli usiowapendeza au unaoweza kuathiri maslahi yao. Hapa kuna baadhi ya njia zinazotumika: 1. Kubadilisha Mada (Changing the Subject) Wanaweza kuleta mada mpya ya kuvutia au ya kuchochea...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Jamiiforum naomba kujua kuna ukweli gani kwa nini mada ambazo uzushi wa ccm ya serikali zinakuwa jamiicheki ila zikiwa serikali zinafutwa

    Ili jambo naomba kuuliza maana siku hizi unaweza kujaza maneno ukaishia kufutwa uzi. Mfano huu na bado mnaweka mada kudai kama uzushi
  16. Ngongo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla amtangaza Makonda mgombe Ubunge Arusha mbele ya Gambo

    KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla, amewatakia kila la kheri Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda na Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo, katika Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba mwaka huu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  17. technically

    JamiiForums Tanzania Umasikini umetengenezwa na CCM

    Huu ndio umasikini walioutengeneza CCM miaka 64 ya Uhuru Angalia hayo mabanda kilombero ambako panasikika kuzalisha Mchele Bora kabisa duniani.
  18. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yawezekana Boniface Mwangi na Agather Atuhaire wakawa waongo, ila Mbunge aliyesema "Walitakiwa warudishwe wakiwa kwenye gesi" kachukuliwa hatua gani?

    Mjadala mkubwa kwa sasa ni habari zinazowahusu Boniface Mwangi kutoka Kenya na Agather Atuhaire kutoka Uganda walipokuwa Tanzania. Wakati serikali ilikanusha madai ya ukiukwaji wa haki zao, baadhi ya raia na mashirika ya kiraia walitilia shaka mazingira ya tukio hilo. Lakini hata kama...
  19. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Dola na CCM wanaweza kuua Tasnia ya Siasa(Political Industry) pamoja na uwekezaji mkubwa uliokwishafanyika

    Tangu kuanzishwa mfumo wa vyama vingi serikali kupitia mapato ya ndani pamoja na fedha za wahisani Imewekeza mabilioni ya dola na na matrilioni ya shilingi kwenye tasnia ya siasa ili kuikuza, kuiimarisha kwa maslahi ya Taifa. Uwekezaji huo upo katika maeneo mengi sana mathalani 1. Tuzuku kwa...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Shemsa Mohamed Asema CCM Itaendelea Kuwa Daraja Kati ya Serikali na Wananchi

    SHEMSA MOHAMED ASEMA CCM ITAENDELEA KUWA DARAJA KATI YA SERIKALI NA WANANCHI Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu Ndugu Shemsa Mohamed amesema kuwa Chama cha Mapinduzi kitaendelea kuwa daraja kati ya Wananchi na Serikali katika kuhakikisha kuwa changamoto za wananchi zinapatiwa ufumbuzi na wananchi...
Back
Top Bottom