Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
"Tukikubaliana na haya yanayoendelea yanayopelekea kwenda kuharibu amani ya nchi yetu tutakuja kujuta watanzania, kwasababu tangu wazee wetu wametengeneza amani kwenye nchi hii na kuruhusu uwepo wa vyama vya siasa tulikuwa vizuri na amani tele ila hizi chaguzi tatu za 2015, 2020, 2025 kumekua na...
UJENZI WA OFISI YA CCM NEMBA .
Mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa amewaunga mkono wanaCCM wa kata ya nemba na Diwani wao Mh Mihayo Miganyalo katika kujenga ofisi ya kisasa ya kuwatumikia wanaCCM katani nemba .
"Hili ni jambo kubwa sana nampongeza Diwani wenu Mihayo Miganyalo kwa hili...
Ni dhahiri kwamba ule upendo wa dhati kutoka kwa wakuu wa dini kuipenda CCM unaweza kufikia .kwa inavyoonekana kuna mafarakano kati ya CCM , na wakuu wa dini.
Hii ni hatari kwa chama tawala .hivi leo wakuu wote wa dini kwa umoja wao wa wazi na wa siri wakaamua kuwaambia waumini wao...
Moja kabisa ni utata juu ya kifo cha Shujaa Magufuli na wasaidizi wake wa karibu. Hii itakuwa mjadala mkubwa kipindi cha uchaguzi.
Ufisadi na wizi wa pesa za umma. Sasa hivi pesa za umma zinatafunwa kama njugu sio kama kipindi hayati JPM shujaa wa Afrika yupo.
Utekaji ubambikiaji kesi. Hii...
Naomba kuuliza, mbona wakaguzi wa miradi ni wengi sana na bado miradi mingi ufanisi wake ni wa hovyo.
Hizo pesa zinazotumika kwa ajili ya ziara za kukagua miradi si bora zikafanya kazi nyingine tu na miradi ikawa inakaguliwa na taasisi moja maalumu baada ya hapo inapeleka ripoti kwa wengine.
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed amewataka Watanzania na WanaCCM kumkingia kifua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan dhidi ya mashambulizi yoyote anayoyapata kupitia mitandao ya kijamii
Jawadu ameyasema hayo Jumanne Juni 3, 2025 Jijini Dodoma...
Kwa maoni yangu hapa nchini ni vyama viwili tu vilivyokomaa na ni vigumu kuvitikisa kwa sababu zifuatazo:
CCM ni chama kikongwe kimepitia misukosuko mingi kwa takribani miaka 30 pili ni chama chenye mizizi hadi vijijini kina wanachama almost 12m, tatu kina mifumo inayoeleweka na raslimali watu...
Ndugu zangu Watanzania,
CCM ni dude Moja Kubwa sana, ni dude ambalo mtu binafsi na genge lako au kikundi chako cha uchumia tumbo au usaka tonge au uroho wako wa madaraka huwezi kupambana nalo wala kushindana nalo wala kulidhoofisha wala kulihujumu wala kulidodosha wala kulitikisa wala...
Kwenye mkutano wa Chama Cha Mapinduzi uliofanyika tarehe 29 na 30 Mei, 2025 ulihudhuriwa na wasanii mbalimbali ambao waliulizwa ajenda zilizojadiliwa kwenye mkutano huo, lakini cha kushangaza hawafahamu kitu chochote majibu yao inazilisha kinawapeleka kuchukua pesa tu!
Ukitafakari kwa kina, utagundua huu ndio ukweli . Mwanza hawajaikaa CHAUMMA, bali wameikataa CCM inayotuhumiwa kuifadhili CHAUMMA ili kiwe chama kikuu cha upinzani badala ya CHADEMA.
Hasara ya CHAUMMA ni kupoteza hata ile imani kidogo watanzania waliokuwa nayo juu ya chama hiki.
Somo...
Ni dhahiri kabisa ccm watu hawapendi hata kidogo kabisa wiki iliyopita nilikuwa geita basi nilikuwa nikifika kijiweni natupia tu Ccm Haina mashiko/ushawishi kabisa Kwa Sasa halafu natulia kuskilizia....mada ilikuwa inadakwa juujuu na inakuwa ya moto kweli....
Japo kwenye kundi la mamba kenge...
Akizungumzia dhana ya kuwa tarehe ya Uchaguzi Mkuu haiwezi kubadilika, Mdau wa Siasa, Profesa Azaveli Lwaitama amesema si kweli na kwamba tarehe inaweza kubadilika kwa sababu mbalimbali ikiwemo mlipuko wa ugonjwa au vita au Wananchi wakiamua iwe hivyo.
Amesema hayo alipohojiwa na Haki TV ambapo...
Huenda yakawa maandalizi ya kujitosa kwenye ubunge nini?
===
Wazee wa mila wa Kabila la Wahehe mkoani Iringa, wakiongozwa na Chifu wa Kihehe, Adam Abdul Sapi Mkwawa, wamemsimika kimila Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM (MCC), Salim Abri Asas, kwa kumvisha vazi maalum la kichifu na kumkabidhi jina la...
Naibu waziri wa Afya na Mbunge wa jimbo la Siha Dkt. Godwin Mollel akichangia kwenye wasilisho la Bajeti ya Wizara ya Afya anasema kuna wana CCM wenzao ambao wameanza kuwageuka.
Ilikiwa video na mabaya zaid nipiga kura mahiri wakinamama
Hawa wanawake wameamua kutoa kama tangano sasa hapa ni ngumu kuwapa Imani na chama tena.
https://www.instagram.com/reel/DILfS7shYyA/?igsh=MXV1dnQyc2FtbWR6cA==...
Tuliahidi tukatekeleza
1. SGR from Dar To morogoro: usafiri umerahisishwa sana.Biashara zinasonga sana
2. Bwawa la Nyerere : mgao wa umeme umekwisha kabisa
3. Daraja refu kabisa africa ,kigongo busisi aka JPM brigde : kitovu cha utalii wa luingiza fedha za kigeni,usafiri umerahisishwa sana...
Mtu huyo ni Rais Samia!
Nashawishika kabisa kuamini kuwa huyu Samia alichaguliwa kutokana na jinsia yake tu [kama ilivyojuwa kwa Kamala Harris…the word salad queen…kule Marekani]. Ref: Uchaguzi 2020 - Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Chama langu la kupigania HAKI za Watanzania.
Majuzi Dikteta aliitisha Mkutano Mkuu Dodoma na ajenda zake Moja wapo ikiwa ni Kuongeza Mjumbe wa Bodi ili kukidhi Idadi ya Wadhamini Kwa namba isogawanyika Kwa Mbili.
Leo Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini Mmoja wapo kajitoa .
Mh Cheche kamati kuu ya...
CCM KUFADHILI KITABU CHA MZEE SONGAMBELE KUENZI HISTORIA YA NCHI, CHAMA NA SERIKALI
- Balozi Nchimbi atoa neno, akimwakilisha Dkt. Samia msibani
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kitabu alichoandika Alhaj Mzee Mohamed Mustafa Songambele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.