ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. C

    JamiiForums Tanzania Kadri CCM wanavyoikandamiza CHADEMA, ndivyo wanavyozidi kuifanya CHADEMA izidi kupiga hatua na kupendwa zaidi na mioyo ya Watanzania

    Dear all.. la pace sia conte. Nimefanya utafiti na kugundua kuwa kipindi hiki Chadema kimepata uungwaji mkono mkubwa saana kutoka kwa wananchi kwa sababu ya political sympathy sambamba na baadhi ya matukio ya sintofahamu yanayojitokeza kwenye nchi yetu. Chawa kunufaika na...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Bado ni CHADEMA tuu.. CCM inazidi kufutika kwenye siasa za Tanganyika

    Mmekiona CHAUMMA? na vile kinavyopewa push na ccm kwa mlango wa nyuma? 99% ya wanachama wapya wa CHAUMMA ni wana CHADEMA walioondoka CDM kwa njaa zao... LAKINI ndani yao wamepandikizwa mashushushu wa kutosha sana.. Kwahiyo hakuna kinachofanyika CHAUMA, CDM isijue..! Tena mapema kabisa hata...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tukisema sisi labda mtafungia mada zetu sikilizeni huko Kenya wanachokisema

    Wakenya wana uhuru wa kuhoji embu sikilizeni hii video mpaka mwisho.
  4. G.T.L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kuipa Majimbo CHAUMMA na kukifanya chama kikuu upinzani Bara

    Wakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025. Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya...
  5. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru bado Watanzania tunafanyiwa haya mazingaombwe? Mnayofanya CCM nani aliwaambia tunayataka?

    Nina tumaini wote tu wazima wa afya, Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Matukio yanaendelea nchini Tanzania, hasa katika kipindi hiki tunapoelekea uchaguzi; mambo mengi ni meusi, yanafichika na kuendelea kwa kweli! Chama Cha Mapinduzi kimeisha toa ratiba yake, moka ya agenda ni uzinduzi...
  6. Replica

    JamiiForums Tanzania Nadharia (Technical): Kilichotokea mpaka akauti nyingi zikadukuliwa

    Jana May 20 ulitokea mshtuko baada ya akaunti nyingi za mitandao ya kijamii kudukuliwa kwa pamoja idadi kubwa ikiwa taasisi za Serikali. Watu hawa wametumia kurasa za mtandao wa X na youtube. 1. Mitandao hii miwili ya X na youtube inarusu third party app kustream. Mfano nataka kuweka tukio...
  7. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM ilishinda, inashinda na itashinda Chaguzi zijazo zote!

    Wakuu hizi ni sababu kadhaa za kuaminika na zimefanyiwa kazi kwanini CCM watashinda kila wakati 1. Aina ya wapiga kura. Hii ni sababu mojawapo, vijana wengi na wasomi ambao pengine ndio wangeweza kuitoa CCM madarakani sio Wapiga kura!! Kwahiyo CCM ina mtaji wa watu wengi hususani wazee na...
  8. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Kwanini vyama vilivyoshika madaraka kwa kusaidiwa na CCM vinageuza nchi zilizokuwa na nafuu ya Uchumi kuwa masikini zaidi?

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilihusika moja kwa moja katika kusaidia vyama vya ukombozi kama: 1. ANC ya Afrika Kusini, 2. ZANU-PF ya Zimbabwe, 3. MPLA ya Angola, 4. FRELIMO ya Msumbiji na 5. SWAPO ya Namibia, kwa misaada ya kisiasa, kijeshi na kiitikadi wakati wa harakati za kupigania uhuru...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kuna Mtanzania anayeelewa msingi hasa wa hii CCM ya sasa! Ina simamia nini hasa?

    Kuna Mtanzania anaye elewa msingi hasa wa hii CCM ya sasa! Ina simamia nini hasa? CHADEMA tunajua inasimamia demokrasia, maendeleo, HAKI (Uhuru wa upigaji kura, Tume huru, mikataba ya uwazi, na haki za Watanzania) CCM ya zamani kilikuwa chama cha wakulima, ujamaa na maendeleo. Je, CCM ya sasa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, vyama vyote vya siasa Tanzania ni mali ya CCM isipokuwa CHADEMA tu?

    Ukicheki CCM inavyoendesha hii nchi asilimia zaidi ya 90% ni mfumo wa kijamaa hasa ikijiegemeza sana na kukopi CCP ya China. Mara nyingi CCM imekuwa ikiwapiga change la macho mabepari kwa kuwahadaa na kuweka kaubepari kwa mbali kidogo( najua hata wao wanalojua hili). Nchi ina vyama vya...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kuliko Kufungia Mitandao ya Kijamii Tanzania, Serikali, CCM na Polisi Tanzania jitoeni kwenye hiyo mitandao, Msiitumie, Acheni kuwatesa Wananchi

    Unakereka na Machapisho ya X jiondoe ili Usiwe unayaona, na watu wasikuite uone !!. Kwa mf, Kurasa za Rais Samia, CCM, Jeshi la Polisi, Kurasa zote za Serikali Kuu ,Tamisemi ,Taasisi za Serikali n.k ,Jiondoe kwenye mitandao kijamii !!. Mnashindwa Kuajiri Vijana makini wenye Uwezo katika...
  12. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Haya yatatokea kati ya Juni na Disemba 2025

    JUNI 2025 Matukio yanayotarajiwa: Kutakuwa na majadiliano ya kina kuhusu katiba au mageuzi ya sheria fulani, hasa upande wa haki za kiraia na uhuru wa vyombo vya habari. Kutaibuka mjadala mkubwa kuhusu maadili ya vijana na matumizi ya mitandao ya kijamii. Sekta ya kilimo itaathirika na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM ilijikanyaga vibaya kukubali agenda ya dharula kupitisha jina la Rais Samia kuwa mgombea Urais

    Kwanza hakubaliki na kukiwa na tume huru isiyoegemea kwake, atapigwa asubuhi na mapema na wapinzani wake, hana meno kwa mafisadi na wafuja kodi za watanzania na anayoyafanya anayajua mwenyewe na yanamfurahisha yeye pekee, hawezi kudhibiti watekaji wala kukemea uharifu huo Ni mbinu gani ambayo...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Halikuwa chaguo la Mungu wala utabiri, bali kusudi la CCM 2015 kuchanganyikiwa na kusimamisha Makamu wa Rais na Rais sababu hizi hapa

    Wenye kuelewa ndio mtaweza kuelewa hili jambo. Mnakumbuka ndani ya chama cha CCM kulikuwa na upinzani mkali sana na kila mwenye nguvu alitaka kusimamisha mtu wake anayeweza kumfanya remote. Jambo lilotokea CCM kuweka makamo wa raisi mwanamke baada ya kuona kuna mgombea mwanamke raisi kupitia...
  15. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mrema: CHAUMMA inaenda kupambana na CCM kweli kweli na kuwa sauti ya UMMA

    Kwa sababu huijui Katiba ya Chaumma unaweza kujiandikia chochote , Katiba iko wazi kuwa kama Mwenyekiti akitoka upande mmoja wa Muungano,Katibu mkuu lazima atoke upande wa pili wa Muungano ,period . Mmezoea kuishi kwa kutunga sana uongo, acheni kuwa waongo na wazushi . Chaumma next level...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa sijui ni kwanini Simba SC, Serikali, TFF, CCM na Wanachama wa Simba SC walikuwa wanalazimisha Fainali ya CAFCC ipigwe kwa Mkapa

    Tafadhali anayezijua sababu hizo aniwekee hapa.
  17. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania CCM na Serikali yake hawatauweza muziki wa CHADEMA wa No Reforms No Election

    https://youtu.be/nZdbTs9hGDE?si=4y56jbEOeiau6b2P
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania CCM Yatoa pongezi kwa Mkurugenzi Mteule wa WHO kanda ya Afrika Dr. Yakub Janabi

    CCM Inamtakia mafanikio mema katika majukumu yake mapya.
  19. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ipi ni CCM 'B' ACT Wazalendo au CHAUMMA?

    Wana chadema tuliamini CCM B ni ACT Wazalendo Sasa Leo baada ya CHAUMA ya Hashim Rungwe Mzee wa Ubwabwa kupokwa waasi wa chadema na kuwapa madaraka, hii inatuchanganya Awali upinzani wa ACT Wazalendo ulitiliwa shaka yaani ulikuwa upinzani wa zuga tu, binafsi naona hii kasi ya CHAUMA Kuna nguvu...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Ushauri wa Bure kwa Rais Samia, achana na hii kesi Haina maslahi yoyote kwako, CCM, wala nchi!

    Kwako rais Samia: Aibu hii ya nini? Lissu ni kama Yesu mbele za Pilato. Hana hatia. Wanaopaswa kukushauri kuachana na kesi hii wanasubiri uangukiwe na jumba bovu. Utakuwa mgeni wa nani kwa mwendo huu? Achana na kesi hili la kubumba. Wawajibishe wote wasiokutakia mema. Acha haki...
Back
Top Bottom