Ni dhahiri sasa, kuwa unaweza kumunywesha sumu mtu lakini hauwezi kabisa kunywesha sumu ukweli aliokuwa anaufundisha.
Unaweza kumteka mtu anayewafundisha watu ukweli lakini hawezi kuuteka ukweli uliowaingia mamilioni ya watu.
Kwa Magufuli mlishangilia na kula nyama mkidhani mmeshinda, kiko...