• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

cc. paschal mayalla

 1. CalvinKimaro

  Leo nimeona post ya ndugu yangu Ado Shaibu wa ACT. Inadai wanawake wa ACT wanamtaka (hawaombi) raisi aitishe kikao cha maridhiano!

  Leo nimeona post ya ndugu yangu Ado Shaibu wa ACT. Inadai wanawake wa ACT wanamtaka (hawaombi) raisi aitishe kikao cha maridhiano! Mwisho Ado akaongeza "takataka" binafsi za kudai tume huru na katiba mpya! Yaani kichekesho! Kumbe walisusa huku kiroho kinauma? Walidanganyana wataitwa? Kiongozi...
 2. CalvinKimaro

  Viroja vya CHADEMA havina ukomo

  Awali ya yote niwape pole wale wote watakaofuata agizo la kutoshiriki uchaguzi kwa kutopiga kura. Watakuwa kwa hiyari yao wenyewe wamejinyima haki yao. Hakuna mwingine atakayeumia isipokuwa wao wenyewe na chama chao. Nadhani CHADEMA wanadhani kwa kususa mpango wao wa kuonyesha kuwa TANZANIA...
 3. M

  Nini kimepelekea Kadinali Pengo kuondolewa kwenye tovuti ya Jimbo Kuu la D'Salaam?

  SOURCE: Website ya Jimbo Kuu la D'Salaam Nimeshtushwa kuondoloewa kwa Kardinali Polycarp Pengo kwenye website ya Jimbo Kuu la D'Salaam. Ukiisoma inaonyesha Jude Thadaeus Ruwa'Ichi ndiye Askofu Mkuu wa Jimbo hilo na Eusebius Nzigilwa ni Askofu Msaidizi. Jamani nikumbusheni. Je, inawezekana...
 4. N

  Hivi redio hizi za Kimataifa BBC, DW, VOA na RFI zinanufaika na nini?

  Wadau naomba kuuliza hivi redio za Kimataifa kama vile BBC, DW, VOA na RFI zinanufaika na nini kwakurusha matangazo hasa kwa hizi nchi za Maziwa makuu, (Kiswahili) kwani hazirushi matangazo ya biashara kama zilivyo redio zetu. Mfano BBC imefungua Studio kubwa naya kisasa nchini Kenya,
Top