Mshambuliaji aliwaua watu angalau wanane na kujeruhi wengi zaidi katika shule ya upili katika mji mdogo wa mlima wa Tumbler Ridge, Canada, siku ya Jumanne.
Mshukiwa ni mwanamke mwenye umri wa miaka 18 ambaye alikuwa ameacha shule hiyo takriban miaka minne iliyopita, polisi walisema. Alizaliwa...
Marekani imetoa onyo adimu na la moja kwa moja kwa Canada, ikisema kuwa ndege zake za kivita zinaweza kupelekwa katika anga ya Canada iwapo Ottawa itapunguza au kufuta mpango wake wa kununua ndege 88 za kivita aina ya F-35 (stealth fighter jets).
Kwa mujibu wa maafisa wa Marekani, uamuzi wa...
Mwaka 2024 Canada ikishinikizwa na Marekani iliweka ushuru wa 100% kwa magari ya umeme ya China kama ilivyofanya Marekani.
The table has turned, hivi karibuni Waziri Mkuu wa Canada Mark Carney alikuwa na ziara nchini China. Katika ziara hiyo alifungua milango ya kibiashara kati ya mataifa hayo...
Lema mjue anamfahamu Wenje mpaka familia yake huko Canada!!! ni snitch mkubwa Canada mwongo na mpenda pesa za deal. Hata jumuia ya watanzania ambako kuna familia ya Lema na Wenje hawataki kumsikia!. Hakuna anayeshangaza kila mtu anajua alikuwa dalali lakini hawakutana kumfukuza ingawa alikuwa...
Nchi nyingi za Magharibi kwa miaka mingi zimekuwa zikikariwa na jamii ya watu wa Dini ya kikristo, Nazungumzia Amerika Kaskazini, Amerika Kusini na Ulaya. Lakini hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la waarabu kutoka Mashariki ya Kati na Waafrika ambao upeleka tamaduni zao katika nchi hizo na...
Here’s what that recognition typically symbolizes:
1. Legitimacy of Palestinian Statehood
It signals that these countries formally acknowledge Palestine as a state (not just as a “territory” or “authority”).
This boosts the international legitimacy of Palestinian claims to sovereignty.
2...
Kituko hiki kimezungumzwa na mgombea mwenza wa Chama cha Demokrasia Makini.
Haya ni matokeo ya kuachia masuala ya siasa mikononi mwa wajinga.
Katibu Mkuu wa Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (Makini), Ameir Hassan Ameir, amesema endapo wananchi watamchagua mgombea wa urais wa chama hicho...
Kwa ile ban ya kutoingia US ni wazi sasa Mheshimiwa Mbunge na Waziri (Mtarajiwa) analazimika kuishia Zanzibar na Juba kutekeleza majukumu yake ya WIZARA YA MAMBO YA NJE.
Wanaukumbi.
Baada ya washirika wake wa Ulaya, Uingereza, Ujerumani. Ufaransa. Canada, kuwaambia Israel kuwa watalitambua taifa la Palestina Netanyahu kaufyata na majigambo yake kuwa atapambana na Hamas hata kama watakuwa peke yao sasa amekubali kumaliza vita vya Gaza.
Waziri Mkuu wa Israel...
Habari
Kwa wale wanaohitaji kwenda kusoma USA na Canada kuanzia Masters na Kuendelea
Unaweza kutimiza ndoto zako kwa kupata mkopo kupitia Taasisi za kimataifa zinazotoa mikopo
No collateral
No Cosigner
Unaweza apply via this link
https://app.mpowerfinancing.com/?ref_code=azizjxiz
Best...
Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), James Mbowe akizungumza kuhusu uamuzi wake wa kuhama chama na kuhamia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) ambapo pia amezungumzia Godbless Lema.
Trump ansema itakua vigumu kufanya makubaliano ya kibiashara na na canada baada ya waziri Mkuu wa canada kusema Mark Carney anapanga kulitambua taifa la Palestin ifikapo September
Canada imetangaza kuwa inapanga kuitambua rasmi Palestina kama taifa katika mkutano wa Umoja wa Mataifa mwezi Septemba, alieleza Waziri Mkuu Mark Carney, hatua inayoongeza shinikizo kwa Israel wakati njaa ikizidi kuenea Gaza
Tangazo hili linakuja baada ya Ufaransa kusema wiki iliyopita kuwa...
Waziri Kombo amuaga Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada baada ya kumaliza ziara ya kikazi nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), ameagana na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada Mhe. Randeep Sarai katika Uwanja wa...
Wanaukumbi.
Tunapinga vikali upanuzi wa operesheni za kijeshi za Israel huko Gaza. Kiwango cha mateso ya binadamu huko Gaza hakivumiliki. Tangazo la jana kwamba Israel itaruhusu kiasi cha msingi cha chakula katika Gaza halitoshi kabisa. Tunatoa wito kwa Serikali ya Israel kusitisha operesheni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.