camera

A camera is an optical instrument used to record images. At their most basic, cameras are sealed boxes (the camera body) with a small hole (the aperture) that let light in to capture an image on a light-sensitive surface (usually photographic film or a digital sensor). Cameras have various mechanisms to control how the light falls onto the light-sensitive surface. Lenses focus the light entering the camera, the size of the aperture can be widened or narrowed to let more or less light into the camera, and a shutter mechanism determines the amount of time the photo-sensitive surface is exposed to the light.
The still image camera is the main instrument in the art of photography and captured images may be reproduced later as a part of the process of photography, digital imaging, photographic printing. The similar artistic fields in the moving image camera domain are film, videography, and cinematography.
The word camera comes from camera obscura, which means "dark chamber" and is the Latin name of the original device for projecting an image of external reality onto a flat surface. The modern photographic camera evolved from the camera obscura. The functioning of the camera is very similar to the functioning of the human eye. The first permanent photograph was made in 1825 by Joseph Nicéphore Niépce.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania LATRA tumieni technolojia kudhibiti madereva barabarani kabla ya kuongeza sheria nyingine.

    Kama madereva wana uwezo wa kutumia teknolojia ya kidigitali kuhamasishana kugoma nchi nzima kwanini nyinyi LATRA mnashindwa kutumia teknolojia hiyohiyo kuwadhibiti madereva wasifanye makosa barabarani yanaosababisha ajali?. Badala yake bado mnatunga sheria zitakazofanyakazi manually kuwapa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwenda Kizimkazi sasa ni kiki. Wanajali camera sio kumuona Mama

    Kwenda kumuona Mama sasa imekuwa ni kama kiki na sio kwenda kumpa pole. Imekuwa ni kulazimishana lazimishana hivi. Cha ajabu wanajali zaidi waonekane kwenye picha zaidi ya kujali kusalimia. Camera za nini yaani huyo Mama siku nzima ni kukaa kwenye kiti na kupiga picha na watu. Hivi afya yake...
  3. JamiiForums Tanzania Mbona Paul Makonda hayuko frontline kwenye camera kama zamani

    Tunakumbuka kuwa Paul Makonda alikuwa mtu wa Main stream, ilikuwa ni ngumu kupita miezi bila yeye kuonekana kwenye media, alikuwa yuko radhi atangaze kuwaletea Arnold Schwarzenegger na Sylivester Stallone a.k.a John Rambo... lakini ni muda sasa haonekani kwenye media. Je kaamua kuwa low key au...
  4. JamiiForums Tanzania Camera Panasonic lumix fz 300. On sale

    Panasonic lumix fz 300.
  5. JamiiForums Tanzania Camera Panasonic lumix fz 300. On sale

    Panasonic lumix fz 300.
  6. JamiiForums Tanzania Panasonic Lumix S5II 24.2MP Mirrorless Digital Camera Bla+Panasonic Lumix S Pro 50mm f/1.4

    Nauza digital camera aina ya Panasonic Lumix S5II 24.2MP Mirrorless Digital Camera Black pamoja na Panasonic lumix s pro 50mm f/1.4 lens. Kama unavyoonekana katita picha imetumika kidogo sana ipo kama mpya kabisa bei ni 6.5 million TZS The Panasonic Lumix S5II (24.2MP Mirrorless Camera) paired...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Video ya CCTV camera ikionyesha utekaji wa Peter Richard Mushi Kariakoo

    Huyu kwenye video Anaitwa Peter Richard Mushi ni fundi simu Kariakooalipigiwa simu tarehe13/8/2026 na mtu aliyejitambulisha kuwa ni mteja anahitaji kutengenezewa simuAlimwelekeza alipo lakini mteja akataka ndugu peter amfuate maeneo ya china plaza alipofika china plaza Alikutana na huyo mteja...
  8. JamiiForums Tanzania Cctv camera cable

    Habari wakuu. Eti wakuu HDMI cable ajili ya cctv camera kuna zinazouzwa kwa mita? Kama ndio,mita moja ni bei gani hapo kariakoo. Kuna fundi kaniambia haukatwi unakuja na vichwa vyake na mwingine anasema unaweza katiwa mita unazotaka then unanunua vichwa Im confused please help hasa bei kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Camera failed error Samsung S25

    Wakuu kwema? Wale wazoefu simu yangu ya Samsung aina ya S25 muda mwingi inaniambia camera failed hivyo haioperate chochote na baada y masaa mengi kupita hurudi na kuoperate normaly walau kwa muda mchache nimejaribu kufuata njia mbalibmali za online kusolve tatizo lakini bado lipo naomba...
  10. JamiiForums Tanzania POTOSHI Hii video camera inadondoka ni kutoka kombe la dunia au ni mechi gani? Tusaidie kuthibitisha

  11. JamiiForums Tanzania DJI wameinzdua OSMO Pocket 4 Pro yenye Camera Mbili!

    Baada ya kuzindua DJI OSMO Pocket 4 mwezi April, DJI pia walidokeza kidogo Pocket 4 Pro, ambayo ilionekana inakuja na lens mbili. Finnaly wamefanya officially launch. Hii pocket gimbal camera imekuja na 1-inch sensor, f/2.0 aperture and 20mm focal length. Sensor ya pili ni telephoto camera...
  12. JamiiForums Tanzania DJI wamezindua OSMO Pocket 4 camera!

    DJI watabe wa drones, gimbals na camera kutoka China, leo officially wametuletea DJI Pocket 4! Kwa mliowahi kutumia Pocket 3, nadhani mtakua mmejua ni kitu gani DJI wamefanya. Alot of upgrades! Nitajaribu kulist upgrades za kutoka Pocket 3 kuja 4 zilizosikika leo kwenye keynote: Sensor size...
  13. JamiiForums Tanzania Uganda is set to launch a space-based climate monitoring camera, ClimCam, with the Falcon 9 launch on Friday, April 10, 2026.

    ClimCam is an Earth observation tool developed through the UN Office for Outer Space Affairs and Airbus program, set for deployment on the ISS to monitor East Africa multiple times daily for early flood warnings, agriculture support, and climate data.
  14. JamiiForums Tanzania iPhone 17 Pro Max tusiichukulie poa likija swala la camera!

    Christina Koch akipiga selfie na Dunia kutoka space. Nasa wameconfirm iPhone 17 Pro Max imehusika.
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Speed Camera Limits in Nairobi

    These are the speed limits to be checked by the speed cameras installed in Nairobi: Safari Park – Thika Road: 110 km/h Jomoko – Thika Turnoff (Thika Road junction area): 80 km/h Allsops / GSU HQ – Thika Road: 80 km/h Pangani / Muthaiga Interchange – Thika Road: 80 km/h Roysambu / TRM area –...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kwa Mrusi: Hizi ni njia mbalimbali za kujua kama kuna Camera za siri Sehemu ulipo

    Mamlaka nchini Kenya na Ghana zinaendelea na uchunguzi kufuatia ripoti nzito kuwa mwanaume mmoja, raia wa Urusi, aliwarekodi kwa siri wanawake wa mataifa hayo mawili wakati wakiwa faragha, na kisha kusambaza video hizo mtandaoni bila ridhaa yao. Vyombo vya habari barani Afrika na nchini Urusi...
  17. JamiiForums Tanzania Nauza camera za AI kama za Russian guy

    AI glass camera ✅Ina Camera ya 8mp na flash kwa ajili ya kupiga picha na kurecord video ✅Ina AI voice assistant kwa ajili ya image recognition na chatgpt ✅Inatumia app unaweza unganisha na simu ✅Ina earphone unaweza kuplay music kupokea simu ✅Unawez ubadilisha glass aina 3 tofauti ✅unganisha na...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara ukifunga camera na hata ukitaka ushinde hapo 24/7 mfanyakazi akiamua kuiba ataiba tu

    Kwa wafanyabiashara ambao hamjui vile mnaibiwa na wafanyakazi hata kama mmefunga camera. Iko hivi, mteja akifika dukani atachagua vitu anataka, wakati wa kufanya malipo mfanyakazi asiyekuwa mwaminifu atamwambia gharama yake halisi mfano 200K kisha atamwambia anaweza kulipia 20K na risiti...
  19. JamiiForums Tanzania Simu ipi yenye camera nzuri?

    Mambo vipi wadau! Naomba mchango wenu kimawazo kuhusu simu yenye camera nzuri kwa ajili ya matumizi ya kupigia picha na video za kupost kwenye page yangu ya biashara ya instagram, tiktok na mitandao mingine ya kijamii. Ni Biashara ya salon ya kike, na kama mnavojua biashsra hii picha zina...
  20. JamiiForums Tanzania Lengo lao la kutaka CCTV camera ziwe na usajili ni nini?

    Turudi nyuma tukio la lissu kupigwa risasi eneo wanapoishi wabunge.CCTv zote ziliondolewa na kulikuwa hakuna usajili. Nilichogundua sehemu zita kazokuwa na CCTv wakifanya utekaji wao wataweza kuzibiti taarifa na kukanusha kama hakuna tukio. Na huu usajili utaweza kujua jirani ,location na wapi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…