camera

A camera is an optical instrument used to record images. At their most basic, cameras are sealed boxes (the camera body) with a small hole (the aperture) that let light in to capture an image on a light-sensitive surface (usually photographic film or a digital sensor). Cameras have various mechanisms to control how the light falls onto the light-sensitive surface. Lenses focus the light entering the camera, the size of the aperture can be widened or narrowed to let more or less light into the camera, and a shutter mechanism determines the amount of time the photo-sensitive surface is exposed to the light.
The still image camera is the main instrument in the art of photography and captured images may be reproduced later as a part of the process of photography, digital imaging, photographic printing. The similar artistic fields in the moving image camera domain are film, videography, and cinematography.
The word camera comes from camera obscura, which means "dark chamber" and is the Latin name of the original device for projecting an image of external reality onto a flat surface. The modern photographic camera evolved from the camera obscura. The functioning of the camera is very similar to the functioning of the human eye. The first permanent photograph was made in 1825 by Joseph Nicéphore Niépce.

View More On Wikipedia.org
  1. DEALFORREAL

    JamiiForums Tanzania Sony Alpha a6500 camera plus lenses and accessories plus zhiyun crane 3 lab gimbal

    Sony GMaster 18-105mm e-mount lens Sigma 16mm prime lens Zhiyun Crane 3 lab Rode VideoMic several batteries, 5 memory cards with holder, variable ND filters and a lowepro sling bag to carry it all in.
  2. Farolito

    JamiiForums Tanzania Je, Kamera ya Simu inaweza kuizidi Kamera ya kawaida kwenye ubora wa Picha?

    Habari wakuu, Kuna uwezekano Picha zinazopigwa na Smartphone hizi za kisasa zikaizidi kiwango kamera ya kawaida? (Sio professional camera) Nimeuliza kwa sababu simu hasa hizi High end zinakuja na maboresho sana upande wa Kamera huku zikiongezwa lenzi,zooming na Megapixels na idadi ya camera...
  3. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Mstari wa Uhai na kifo unaponaswa kwenye camera

    Siku moja Mwaka 1975 mpigapicha na mwandishi wa habari bwana Stanley Forman alinasa tukio ambalo limebaki katika kumbukumbu ya moja ya matukio mabaya zaidi kuwahi kurekodiwa tangu teknolojia ya uvumbuzi wa camera duniani. Tukio hili alilolinasa bwana Stanley lilikuwa likimuonesha...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Phone camera stand kit inauzwa!

    Habari za mda huu ndugu zangu ✅ Imara na rahisi kubeba ✅ Inafaa kwa simu ✅ Bora kwa content creators, wapiga picha na video 🎥 💰 Bei: 15,000/= tu! Nunua sasa ujiongezee ubora wa picha na video zako! 0781 493401 nicheki sasa
  5. G.T.L

    JamiiForums Tanzania House4Sale Mwenye Camera Kali aje nimpe dili week end hii

    Kuna mtu anahitaji kupiga picha zaidi ya 60 Jumapili ya kesho kutwa asubuhi na mapema sanaa. Location ni Gongo la mboto. Hakikisha una Camera ya viwango. Njoo inbox niku connect
  6. Gerald1

    JamiiForums Tanzania Karibun tunauza camera haina zote

    Comment ni hipi we wahitaji
  7. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Nataka nifunge camera chumbani kwa kijana wangu! Nina wasiwasi anafanya vitu visivyofaa

    Nina kijana mdogo kama miaka 17 hivi yuko form 4. Hivi karibuni amekua na tabia sizielewi kabisa na amekua akijishtukia kila tukikutana na kuficha vitu nisivyo vielewa. Muda mwingi pia yuko na simu (nilimnunulia ya kumsaidia mawasiliano na kusoma) lakini nikitaka nione anavyosearch na kusoma...
  8. music mimi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta digital camera na printer nzuri kwa ajili ya biashara ya passport size photos

    Wadau wa technology. Naomba msaada wa mawazo yenu, najua mpo wenye experience ya kutosha kwenye hivi vifaa. Nataka kununua digital camera na printer mahsusi kwa ajili ya kazi ya picha za passport. Nahitaji kwa ajili ya kutoa passport za haraka zile za dakika 3. Nachoitaji ni kusaidiwa jina...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Simu kwa bajeti ya Tsh. 500k yenye kamera nzuri, betri chaji muda mrefu

    Kwa budget hiyo nitapata simu ya aina Gani nzuri yenye camera ang'avu quality, betri yake itakayokaa na chaji muda mrefu, na storage yake capacity nzuri
  10. M

    JamiiForums Tanzania Budget ya 500k-700k Samsung mpya version ipi nzuri camera quality,betri chaji mda mrefu,fast charging

    Habar wakuu nataka kuhama kutoka kwenye Xiaomi kuja sumsung ,naombeni msaada wenu nitoleo jipi hasa matoleo mapya naweza pata Samsung yenye camera quality,betri kukaa na chaji mda mrefu,na iwe fast charging na je maduka Gani Hasa kariakoo napata mpya fullbox,
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ngoma agombana na Pin Pin Camara wakati wa mapumziko

    Ngoma ameoneka akimpiga Kwa kumshutukiza Goal keeper Camara Ngoma ameleta masifa, kumfokea mchezaji mwenzake mbele ya mashabiki wakati hayo mambo wangeyaongea chumbani muda wa mapumziko Ngoma sio coach wa captain wa timu, kwanini ajipe mamlaka ya kukoromea wenzake Taarifa nilizozipata ni kuwa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini na camera za kukodi kwa sababu siku hizi kila mtu kawa content creator

    Kwenye events zako bora utumie smart phone kuliko camera ya kukodi kwa Sababu siku hizi kila mtu kawa content creator. Unamualika mtu wa camera aje achukue matukio kwenye harusi yako kumbe mwenzako yupo busy kutafuta content. Atachukua matukio halafu wakati wa editing anaangalia vituko au Nani...
  13. Barackachess

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Panasonic LUMIX GH5 4K Digital Camera TSH 3.7MILLION | DAR ES SALAAM

    PANASONIC LUMIX GH5 – Kamera ya Kitaalamu kwa Picha na Video za 4K INAUZWA 3,700,000/= Ikiwa wewe ni mpiga picha au mtengenezaji wa video unayetafuta ubora wa juu, basi Panasonic Lumix GH5 ni kamera ya ndoto yako. Kamera hii ni ya daraja la kitaalamu, na imeundwa mahsusi kwa ajili ya kazi za...
  14. V

    JamiiForums Tanzania Imarisha ulinzi wa mali zako nyumbani na ofisini kwa kufunga CCTV CAMERA leo.

    Karibu tukufungie cctv camera leo kwa ubora wa hali ya juu na kwa gharama nafuu. Huduma zetu ni za uhakika na tunazingatia mahitaji ya mteja. -Tunazo camera nzuri zinazoonyesha picha nzuri 24/7 Tunazo brand maarufu za Dahua na HIk Vision Tunatoa mafunzo bure kwa mteja jinsi ya kutumia na...
  15. V

    JamiiForums Tanzania Je unahangaika kupata huduma ya kufunga cctv camera kwa ajili ya ulinzi wa mali zako? Karibu tukuhudumie.

    Nenda kidigitali na ishi kwa amani bila kuhofia usalama wa mali zako nyumbani au ofisini kwa kufunga Cctv camera leo. Tunazo camera nzuri za kisasa zinazoonyesha picha nzuri usiku na mchana zenye 2MP Tunao mafundi wazuri wenye uzoefu wa kutosha Tunazo brand maarufu za Dahua na HIk VISION...
  16. V

    JamiiForums Tanzania Funga Cctv camera kwa ulinzi imara

    Ishi bila wasiwasi kwa kufunga Cctv camera nyumbani au ofisini kwako. Tunao ujuzi na uzoefu wa kutosha na tunafunga camera zenye ubora wa hali ya juu. Utaona picha angavu zenye rangi usiku na mchana. Tupigie kupitia simu namba 0764308320 . Karibu tukuhudumie.
  17. ngara23

    JamiiForums Tanzania Bakhresa tajiri asiyependa camera

    Bwenyenye wa Kitanzania, mtu mwenye ukwasi wa maana Bakhresa hapendi mapicha wala kuonekana ovyo japo ana media kubwa, ana ving' amzi vyake, viwanda na timu ya mpira, ila ni nadra sana kumwona huyo tajiri Bakhresa Bakhresa sijawahi kumwona lakini nimeona matendo yake mema, mfano Kuna kipindi...
  18. DEALFORREAL

    JamiiForums Tanzania Ninauza camera ipo kama mpya imetumika kidogo bei ni laki tano tu

    Ninauza camera ipo kama mpya imetumika kidogo bei ni laki tano tu .removu k1 4k 3-axis gimbal all-in-one camera/camcorder in pristine condition. The lcd screen is still protected . Removu k1 camera. Two rechargeable batteries (up to 3 hours each). Full accessory kit, comprising of protective...
  19. V

    JamiiForums Tanzania Karibu ujipatie huduma ya cctv camera

    Imarisha ulinzi wa nyumba ,ofisi au sehemu ya biashara kwa kufunga Cctv camera. Tunazo camera zenye ubora zinaonyesha picha angavu( HD) hata usiku. Pia unaweza kuangalia matukio yote kupitia kwenye simu yako ya mkononi ukiwa popote. Bei zetu ni nzuri na tunao mafundi wazuri wenye uzoefu wa...
  20. Mwanza CCTV CAMERA

    JamiiForums Tanzania FUNDI CCTV CAMERA MWANZA , ELECTRIC FENCE, REMOTE GATE, ALARM SYSTEM MWANZA 0747274532

    Tunafunga CCTV camera, alarm systm, Electric Fence, Remote gates nk Tunafunga camera za ulinzi majumbani, maofisini, mashuleni, hospitali, migodini, mashambani nk. Tunaunga mifumo yote kwenye sjmu ya mkononi hivyo utaweza kuona matukio yote kwenye simu yako ukiwa popote pale. Tunafunga fensi...
Back
Top Bottom