cag

  1. TAKUKURU yaanza kuichunguza CHADEMA kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imeanza kuchunguza tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, inazokikabili Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). “Kwa mujibu wa taarifa tulizo nazo, kuna matumizi mabaya ya fedha za michango ya wanachama, ambayo kwa mujibu wa...
  2. Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za serikali za Mitaa[LAAC] - Ripoti ya CAG

    Bunge la Bajeti ,mkutano wa 19 kikao cha 38 limeendelea kujadili hoja ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za serikali za Mitaa[LAAC] kuhusu ripoti ya Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa Hesabu za Serikali[CAG] huku serikali ikishauriwa kuanzisha chuo cha Wizi ili kukabiliana na ubadhilifu wa mali...
  3. Askofu Bagonza: CAG vs TAKUKURU

    CAG na TAKUKURU Watanzania wanapenda sana kushindanisha. Vijiwe vingi utakuja mijadala nani zaidi kati ya DC na DED, Waziri na RC, CAG na DG-PCCB, nk. Wanaweza hata kushindanisha hata visivyo na uhusiano kama nani zaidi kati ya Askofu na Mtendaji Kata, Nabii na Sangoma fulani, rubani wa ndege...
  4. Mazito ripoti ya CAG - Janeth Rithe: Matrilioni yatumika ‘juu kwa juu’... Serikali hoi kwa madeni! Ahofia ‘EPA’ nyingine BoT

    Zitto aibua mazito ripoti ya CAG • Matrilioni yatumika ‘juu kwa juu’ • Serikali hoi kwa madeni • Aifananisha na mchana • Ahofia ‘EPA’ nyingine BoT SERIKALI ya Tanzania imevunja Katiba kwa kutumia kiasi cha shilingi trilioni 1.7 bila ya kupitia Mfuko Mkuu ambao hukaguliwa na Ofisi ya Mdhibiti...
  5. GE2020 Ufisadi uliobuliwa na CAG umeiondolea sifa (credibility) Serikali ya awamu ya 5. Wapinzani sasa mshindwe wenyewe!

    Ni ukweli usiopingika sasa kuwa upigaji (ufisadi) ambao umekuwepo miaka nenda rudi serekalini bado kabisa haujapatiwa dawa, na serekali ya awamu ya 5 iliyojinasibu kama mkombozi katika eneo hili ni dhahiri imeshindwa kufurukuta kinyume cha matarajio ya sisi wananchi. Kuna uwezekano mkubwa kuwa...
  6. CAG aibua ufisadi TPA ya Deus Kakoko, Ni mbaya kuliko wa Kigwangalla

    Kwa wiki zima mitandao ya jamii imemshupalia Dr Hamis Kigwangalla kwa ufisadi wa kutumia Tsh bilioni 2.58 bila idhini ya Bunge. Pengine Kigwangalla yuko kwenye "spotlight" kwa vile siku zote ni mtu wa majibizano kwenye mtandao ya jamii. Sasa kuna manunuzi ya Tsh bilioni 22.69 yaliyifanywa na...
  7. Prof. Lipumba atoa maelezo ya CAG kuhusu CUF chama cha wananchi

    Tarehe 26 March 2020, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere aliwasilisha ripoti ya ukaguzi wake ya 2018/19 kwa Rais John Magufuli katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dodoma.Pamoja na Mambo mengine CAG Charles Kichere alisema: "Mheshimiwa Rais, nilibaini...
  8. Rais Magufuli futa Halmashauri za Wilaya zinafuja pesa na kurudisha nyuma maendeleo. Report ya CAG ya 2018-2019 inaonesha wazi hili

    Tumekuwa tukishauri kwa muda mrefu sasa kwamba Halmashauri za Wilaya zifutwe kwa kuwa hazina tija kwenye maendeleo ya wananchi. Hii haitakuwa mara ya kwanza kuzifuta halimashauri hizo, kwa kuwa huko nyuma kitu kama hicho kilishafanywa na Mwalimu Nyerere, ambapo alizifuta mwaka 1972 na...
  9. K

    Ukweli kama hii report ya CAG ingesomwa na mpinzani kama Lema angeshikwa na kushitakiwa

    Tanzania tumefikia sehemu kwenye siasa zetu mpaka tumesahau tofauti ya siasa, vyama na kuona kila kitu uadui. Nilikuwa namwangalia leo CAG akisoma repoti na kusema mwenyewe. Je, hayo anayosoma yote angesoma mtu wa upinani kama Lema serikali ingechukulia kama ni mawazo au ingechukulia kama ni...
  10. J

    Kwanini Jumuiya za CCM zimekubuhu kwa unyang'au na Ufisadi? Kila ripoti ya CAG ni lazima watajwe wao

    Hizi jumuiya za CCM yaani UWT, UVCCM na Wazazi zimekuwa zikihusishwa na ufisadi unaokichafua chama mara kwa mara. Last year ilikuwa UVCCM ambapo CAG Prof Assad alifoka sana leo ten Jumuiya ya wazazi imerudia yale yale na kukemewa vikali na Kichere. Kama vipi hizi Jumuiya zivunjiliwe mbali ili...
  11. Lipumba na Mutungi waumbuka , tuhuma zao za kutafuna hela za CUF zathibitishwa na CAG

    Haya yamesemwa na CAG kicheere leo , ikumbukwe kwamba jambo hili lililalamikiwa sana na Maalim Seif wakati wa Mgogoro wa Cuf uliofadhiliwa na ccm. Mutungi alipuuza kwa vile kulikuwa na viashiria vya ushiriki wake kwenye mgogoro ule . Hakika muda umeongea wenyewe Lipumba afungua akaunti mpya...
  12. Ripoti ya CAG, ufisadi kwenye ubalozi wa Sweden. Je, CAG ameamua kumchafua Dkt. Slaa?

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema katika ukaguzi unaoishia Juni 30, 2019 amebaini Balozi za Tanzania nchini Brazil, Nigeria na Stockholm(Sweden aliko Dr. Wilbroad Slaa) zimetumia Sh1.02 bilioni kukodi nyumba za makazi kiasi ambacho kingeepukika kama...
  13. S

    Zitto afungua kesi ya kikatiba kupinga uteuzi wa CAG mpya

    Kiongozi wa ACT Wazalendo.,Zitto Kabwe, amefungua kesi ya Kikatiba dhidi ya mosi; Sheria ya Ukaguzi namba 11 ya mwaka 2008 kukiuka Katiba na pili Uteuzi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) uliofanywa na Rais Magufuli kuwa kinyume na masharti ya Katiba. Kesi hiyo ya Kikatiba...
  14. CAG tunaomba ukague hizo pesa za wasanii kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii

    Nimefuatilia sana majibishano ya baadhi ya viongozi tukajua n bifu za kawaida. Sasa kwa yanayoendelea kila msanii anakana hajapewa hela jamani tunaomba hii hali ikaguliwe na CAG wetu na jambo hili liwekwe wazi ama bungeni ama kwenye vyombo vya habari. Leo mtaruhusu haya atakuja mwingine...
  15. S

    Maoni ya Zitto kuhusu hali ya shirika la Ndege la Tanzania(ATCL) kulingana na ripoti ya CAG

    Shirika la Ndege Air Tanzania limejitahidi kupunguza hasara kutoka TZS 15b mwaka 2017 mpaka TZS 10b mwaka 2018. Hata hivyo Shirika la ATCL kiuhalisia limefilisika kwani Madeni yake yamezidi Mali zake kwa TZS 177b mwaka 2018 kutoka TZS 173b mwaka 2017. Chanzo: CAG Audit Report Chanzo: Twitter
  16. TAKUKURU na CAG fuatilieni hili la Mkurugenzi wa UCC

    Heshima kwenu wana jamiiforums, Nimepenyezewa taarifa zinazohusu mazingira ya rushwa na matumizi mabaya ya madaraka yanayofanywa na mkurugenzi wa kampuni ya chuo kikuu cha Dar es salaam iitwayo University of Dar es Salaam Computing Centre (UCC), Dr. Ellinami Minja. Nimeona ni vyema niliseme...
  17. Sehemu ambazo CAG haruhusiwi kusogelea: ATCL na Wakala wa Barabara - TANROADS. Unajua kwa nini?

    Mbunge ahoji kwanini CAG hajafanya ukaguzi ATCL, Tanroads. Mbunge huyo amehoji akitaka kujua ukaguzi huo uelezwe kwanini haujafanyika ili isije ikawa hela zinapigwa. Mbunge wa Momba (Chadema), David Silinde amemtaka Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa kueleza...
  18. J

    Serikali yabaini ubadhirifu mabilioni ya fedha za malipo ya korosho. Wakulima wasiolipwa watakiwa kujitokeza na CAG kuikagua bodi ya Korosho

    Waziri wa kilimo mh Hasunga amesema mabilioni ya fedha za korosho yameliwa na wajanja hivyo ameunda tume ya uchunguzi kufuatilia ubadhirifu huo. Pia mh Hasunga amemtaka CAG kuikagua bodi ya korosho kwani kuna kiasi cha zaidi ya sh bilioni 55 hazijulikani ziliko. Kadhalika Waziri amewataka...
  19. Musa Assad aingia mkataba wa ukaguzi na Sweden

    CAG mstaafu;Musa Asad ameingia mkataba wa miaka mitatu (2019-2022) wa kukagua hesabu zote za fedha za misaada inayotolewa na swedan kwa Tanzania. .................... Una maoni gani kwa Asad na kwa serikali ya Tanzania?
  20. T

    Katiba: CAG haruhusiwi kujihusisha na siasa baada ya utumishi wake

    Katiba yetu ipo very clear CAG haruhusiwi kuingia katika siasa baada ya muda wa utumishi wake. Hii inamaana kuwa wale tunafikiri kesho CAG ataingia katika siasa tunapoteza muda na huwenda ndio maana katiba inamlinda sana ili asije nyanyaswa na watawala.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…