caf

Confederation of African Football (CAF) is The administrative and controlling body for African association football, futsal, and beach soccer. It represents the national football associations of Africa and organizes major continental tournaments, including the Africa Cup of Nations (AFCON), the CAF Champions League, and the CAF Confederation Cup.
  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 5-0 Zalan (Agg 9-0) | Caf Champions League | Mkapa Stadium | 17-09-2022

    Mchezo wa pili baina ya Yanga dhidi ya Zalan kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, leo Jumamosi Septemba 17, 2022, ni Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo wa kwanza Yanga ilishinda kwa mabao 4-0. Kumbuka mshindi wa mchezo huu ataenda kukutana na mshindi kati ya Saint George ya...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Dakika 90 leo, kufahamika Geita Gold CAF

    Geita gold walipoteza mchezo wao wa ugenini kwa kuruhusu goli 1-0 dhidi ya Hilal Alsahil, leo ndio siku ya marudiano je? Hilal Alsahil warndeleza moto ama Geita watalala yoooo? tusubiri dakikak 90.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Good news: Wenye nia njema na Yanga huko CAF wamtetea Mayele, kiatu CAFCL ni chake mwaka huu, aibu kwa Karia na Motsepe

    Mungu ni mkubwa sana, baada ya figisu ya kumfungia miaka 2 msemaji aliyeipa ubingwa Yanga baada ya kuukosa kwa miaka 4 ndugu Manara , figisu ziliendelea sana Tukaona wachezaji wa Yanga wakitaka kuvunjwa miguu marefa kimya, adhabu ya Inonga hadi leo kimya, kamati ya masaa 72 huwa ni kuwaadhibu...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nawaomba CAF na TFF waandae kabisa 'Mipira' ya Kumkabidhi Fiston Kalala Mayele leo kwa Mkapa

    Upo Uwezekano leo Predator (hata Henock Inonga ) anamjua Fiston GENTAMYCINE Kalala Mayele leo akafunga kati ya Goli 3 au 6 na wakizubaa hata 9 peke yake dhidi ya Zalan FC Jioni katika Mechi yao Marudioano.
  5. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania FT: Zalan 0-4 Yanga | CAF Champions League | Uwanja wa Mkapa | 10-09-2022

    FULL TIME: Yanga imefanikiwa kupata ushindi wa mabao 4-0, timu hizo zitarudiana wikiendi ijayo Mayelee anafunga bao la nne na la tatu kwake 88' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO Mayeleeeeeee GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO 82' Zalan wanajaribu kufanya shambulizi la kushtukiza inashindikana 80'...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania CAF: Yanga, Simba zipo uwanjani leo Septemba 10, 2022

    Raundi ya Kwanza ya Michuano ya Afrika ngazi ya klabu inatarajiwa kuanza wikiendi hii ambapo timu za Tanzania pia zitakuwa uwanjani ndani na nje ya Nchi. Leo Septemba 10, 2022, Yanga itavaana na Zalan ya Sudani Kusini kwenye Uwanja wa Mkapa, Simba ipo Malawi kucheza dhidi ya Nyasa Big Bullets...
  7. Shark

    JamiiForums Tanzania TFF; Makocha wenye CAF Diploma A hawa hapa

  8. N

    JamiiForums Tanzania Simba, wekezeni kisoka michezo ya CAF. Huku NBC tuhonge pesa tu kama wengine

    Hili suala lichukuliwe serious nawaomba jamani, kina try again fanyieni kazi, leo mmeona wazi ndugu Aragija alivyojizima data akajifanya mwendawazimu hata kale ka nyumba chake huko manyara atakamalizia sasa. Suala la technics, sijui tactics wekezeni kwa ajili ya michezo ya CAF kwa huku NBC...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Karia, TFF, CAF wamfanyia fitna Crispin Ngushi akatwa jina caf

    Ni uleule muendelezo wa vita kati ya karia na yanga sc kwa kutumia ukaribu wake na Motsepe ameagiza Ngushi akatwe jina lake wana yanga amkeni nyie, mnaonewa sana.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Afrika: Kwanini Al Ahly wanacheza CAF CL?

    Afrika inachekesha sana kwa kigezo gani Al ahly wanashirik CAF CL hii ndio maana soka letu Afrika linashida kubwa.
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Utopolo watapeliwa; Kambole ni majeruhi wa muda mrefu

    Hivi mtafanya siri mpaka lini?
  12. Lukub

    JamiiForums Tanzania Je, ratiba ya raundi ya kwanza mtoani CAF champions league itabadilika

    Kule EGYPT team zilizofuzu Club bingwa ni ZAMALEK na PYRAMID japo ligi haijaisha huku umebaki mchezo mmoja ZAMALEK ana point 77 huku PYRAMID ana point 71 , AHLY point 67. Kwenye RATIBA ya club bingwa tayari AHLY alipaswa kucheza raund ya pili ya club bingwa Sasa atapaswa kwenda Shirikisho...
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba Queens Mabingwa CECAFA, kushiriki CAF Champions

    Namna gani hapa naona mashabiki wa Utopolo wanasikitika.
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania TFF na CAF waipe adhabu Yanga kwa kumchezesha Mayele ambaye kiwango chake ni cha kuchezea timu kama PSG, Barcelona, Real Madrid, Manchester

    Huu mpira anaoupiga Mayele sio wa Afrika hii. Kuna namna Yanga wamefanya. Haiwezekani mchezaji hatari kama Mayele achezee timu hizi za Kitanzania. CAF na TFF waimulike Yanga na ikiwezekana waiadhibu . Mayele analeta imbalance uwanjani.
  15. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Manara aunga mkono Barbra wa Simba kuhudhuria mikutano ya CAF, awaambia Yanga waache kuona wivu

  16. Jesus Mlokozi

    JamiiForums Tanzania CAF Women’s Champions League Inaanza kutimua vumbi

    League hii kwa hapa Tanzania inawalishwa na simba. Tunaitakia Simba mafanikio mema.
  17. Jesus Mlokozi

    JamiiForums Tanzania Naona viongozi wa Yanga wanakomalia kualikwa kwenye mkutano wa CAF

    Kila wakati tukisema viongozi wa yanga uwezo wao ni mdogo, watu wengi hamuelewi. Mkutano uliofanyika jana ni General Assembly ya CAF. Ni mkutano unaowakutanisha viogozi wakuu wa mataifa wa mchezo wa mpira wa miguu. Vilevile CAF au FIFA hualika wageni maalum kwenye mkitano huo. Siyo kila mtu...
  18. Joseverest

    JamiiForums Tanzania CAF launches new Super League to boost clubs

    The Confederation of African Football (CAF) on Wednesday launched a new lucrative $100 million Super League aimed at injecting financial muscle to the cash-strapped clubs on the continent. Twenty-four clubs, yet to be decided, will take part in the first edition, which has the backing of world...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa afungua Mkutano Mkuu wa CAF Jijini Arusha, Tanzania

    Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa leo Agosti 10, 2022 amefungua Mkutano Mkuu wa 44 wa kawaida wa CAF AICC Arusha. Mkutano huo umehudhuriwa na Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Gianni Infantino na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) Patrick Motsepe.
  20. Jesus Mlokozi

    JamiiForums Tanzania Nyasa Big Bullet CAF statistcs (Timu itakayocheza na Simba toka Malawi)

    Hii hapa chini ni rekodi ya timu itayayocheza na simba. Naomba tujadiliane vizuri kwa taarifa za uhakika. Tuache michambo na matusi yasiyo na tija.
Back
Top Bottom