Confederation of African Football (CAF) is The administrative and controlling body for African association football, futsal, and beach soccer. It represents the national football associations of Africa and organizes major continental tournaments, including the Africa Cup of Nations (AFCON), the CAF Champions League, and the CAF Confederation Cup.
Uliahidi mwenyewe August 2021 kwamba kambi mwaka huu ni washington Dc USA huku Dc utd wakiwa team mwenyeji na tutashiriki mashindano maalumu yanayoshirikisha teams za MLS na za South America.
Please timiza ahadi yako siyo baadaye kuja kusikia sijui team iko south au spain na kupata mechi za...
Jana wambeya na wasiotakia mema klabu bingwa tarajiwa ya Afrika yaani Yanga sc walifurahia sana taarifa kwamba CAf wamepost huko twitter wakisema team hiyo bora kabisa kwa viwango hapa afrika mashariki itaanzia round ya awali yaani preliminary round
Lawama zote zikaenda kwa msemaji msomi au...
Kitendo cha mpira wa adhabu ndogo waliopata Niger kupigwa juu sana na bila kuguswa na mchezaji yoyote na ukatoka nje na kwa maajabu ya kila alietazama mechi ya Niger na Tanzania na Niger kupewa kona kimetia aibu mno waamuzi wapumbavu wa kiafrika wanaobeba timu zao bila aibu.
Leo kila mchezaji...
Habari hii ndugu zangu wana jukwaa hamtaisikia ikiongelewa kwenye "media" zetu za HOFYOHOFYOOOOOO makanjanja huko yalipo yamekunja hadi sura maana week hii wamejaribu kufanya yooote kutingisha wana simba waapiiii raia wamekausha tu kimya lengo lao la kuleta mgogoro limeshindikana
Team kushika...
unakumbuka awamu iliyopita Mr Membe alipokuwa anatakiwa ale shavu la ukatibu mkuu jumuiya ya madola jina likaondolewa na host country yaani wakubwa wa awamu ya tano?
Basi hayo yamejitokeza kwenye soccer ,kama unadhani walimsamehe Barbara Gonzalez kwa kuidindia ile deal ya kitapeli ya...
Tuna tatizo la kujadili mambo mabaya na kuacha mazuri.
Ni kweli lile ni kosa na limeshafanyika na Simba imeshapigwa faini limekwisha na kama kujifunza tumejifunza. Kuna mambo mengi sana kwenye soka la Afrika. Ila hatupaswi kuiga mambo mabaya. Kosa limeshatokea na tumeadhibiwa kwa kosa hilo...
dah siamini aisee, kutoka 12 hadi 14 anyway dah naona namungo bado wako palepale 56, hapo ndo mwisho wa list kama team yako hauioni pole sana
Shida ni kwamba kwenye zile top 10 za kuanzia round ya kwanza naona kama safari hii ni ngumu maana kuanzia namba moja hadi 13 , teams ambazo kwenye nchi...
Hili wananchi lazima tulielewe.
Ni kweli straiker wetu amekuwa tishio kubwa kwa vilabu vya ndani lakini tukirudi kimataifa bado naona kuna kazi ya ziada inatakiwa ifanyike Ili kufanya vizuri mashindano haya.
Mechi na Simba ilikuwa kipimo kizuri sana kwa yanga kuonyesha ni vipi wanaweza...
Katika ukurasa rasmi wa CAF klabu bingwa na shirikisho wakiwatakia kheri WAISLAMU wanaosherehekea EID EL FITR siku ya leo wameweka picha yenye wachezaji wa timu nane zilizofuzu nusu fainali ya klabu bingwa na shirikisho wakaweka na picha ya mchezaji mmoja tu kutoka katika timu ambayo haipo nusu...
Nimekuwa mfuatilia kiasi kwenyw mijadala ya page za CAF mtandaoni nimekutana sana na hili neno snake kuwahusu Mamelod.
Na leo kuna mtu amewashauri Orlando waazime snake wa Mamelod wakija kucheza na Simba kwa sababu Simba kwao wanatumia African magic witchcraft iliyosababisha Kaizer Chief...
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limepitisha kuwa Mkutano Mkuu wa 44 wa Kawaida wa CAF utafanyika Agosti 10, 2022 Jijini Arusha, Tanzania.
Katibu Mkuu wa CAF, Veron Mosengo-Omba amesema kuwa kwa mujibu wa Katiba ya CAF kifungu cha 17(4) na 17(5) Mkutano huo unafanyika mara...
Habari wana jukwaa. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu, Mnamo tarehe 22/02/2022 shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA) lilizipiga marufuku nchi za Kenya na Zimbabwe kujihusisha na shughuli zozote za soka kutokana na Serikali zao kuingilia mashirikisho ya soka ya nchi hiyo kitu...
Kwa kuwa Simba wameingia nane bora ya Caf confederation cup si vibaya tukawaambia kuwa wao siyo wa kwanza kuingia na Mwaka 2016 Dar es salaam Young Africans waliingia nane bora kisha yakapangwa makundi mawili
katika hatua hii Yanga walibahatika kumchapa MWARABU Mo Bejaia ya Algeria bao moja...
Yaan siku ambayo Wakristo wanaadhimisha mateso, kufa na kufufuka kwa Mwokozi wa ulimwengu Yesu Kristo, wenywe wameamuru zichzwe mechi kati ya tareh 15 - 17 mwezi huu. Hii ni dharau ya waziwazi kwa Wakristo.
Simba isipofuzu Kateni rufaa.
Droo ya Robo fainali ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho kufanyika leo saa 10 jioni.
Simba Sports Club wakiwa Wawakilishi pekee wa Tanzania Wanataraji kukutana na timu moja ya TP Mazembe ya DR Congo, Al Ahly Tripoli ya Libya na Orlando Pirates ya Afrika Kusini. Soma...
The knockout stage draw for the 2021-22 TotalEnergies CAF Confederation Cup will be conducted on Tuesday 05 April 2022 in Cairo.
You can watch the draw live on CAF platforms at 15:00 Cairo local time (13:00 GMT).
Eight teams won their ticket for the knockout phase: Al Ahli Tripoli...
Al ahly Tripoli ilikuwa ni timu ya kwanza kufuzu robo fainali caf confederation cup mwaka huu baada ya kuichapa pyramid 1-0 kwenye mchezo wa raundi ya tano
Lakini cha kushangaza Al ahly Tripoli hao hao walichezea kichapo cha bao 2-0 kwa biashara united kwenye hatua za mwanzo mwanzo na...
Yes hii ni kwa wale wasiojua, utopolo 1983 walijaribu kuwahonga waamuzi wahabeshi wakaripotiwa CAf na kukutan ana rungu zito la kufungiwa, ni rekodi ya kipekee ambayo hawa jamaa hadi leo wanaishikilia.
Jisomee mwenyewe hekima za msemaji wa team hiyo akikumbushia jinsi team yake ilivyoweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.