FT: Zalan 0-4 Yanga | CAF Champions League | Uwanja wa Mkapa | 10-09-2022

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,910
5,996
FULL TIME: Yanga imefanikiwa kupata ushindi wa mabao 4-0, timu hizo zitarudiana wikiendi ijayo

Mayelee anafunga bao la nne na la tatu kwake

88' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

Mayeleeeeeee
GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

82' Zalan wanajaribu kufanya shambulizi la kushtukiza inashindikana

80' Fei Toto anamiliki mpira mbele ya lango la Zalan lakini kunakuwa hakuna faida

63' Kasi ya Yanga imepungua kiasi, Zalan wanaonekana kutokuwa na presha

59' Yanga wanafanya mashambulizi mengine kwa kasi

Fei Toto anafunga bao la pili kwa Yanga akimalizia kazi ya Mayele

55' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

50' Yanga wanaongeza kasi ya mashambulizi

Mayele anaipatia Yanga bao la kwanza

46' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

Kipindi cha pili kimeanza

MAPUMZIKO

45' Inaongezwa dakika moja ya nyongeza

43' Mpira unawekwa wavuni kwa Zalan lakini inakuwa offside

38' Yanga wanamiliki mpira muda mwingi lakini hayajawa na mafanikio katika kugusa nyavu.

29' Fiston Mayele anaweka mpira wavuni lakini mwamuzi anasema ni offside

27' Mpaka sasa shujaa wa Zalan ni kipa kutokana na kuokoa mashuti kadhaa ya hatari

18' Mayele anapata nafasi inaokolewa inakuwa kona

10' Yanga wanapata nafasi kadhaa za wazi lakini wanashindwa kutumia nafasi vizuri.

4' Yanga wamefanikiwa kufanya shambulizi kali lakini kipa wa Zalan akauwahi mpira.

Mchezo umeanza hapa kwenye Uwanja wa Mkapa.

Vikosi vya timu zote vinaingia uwanjani muda huu

Ngoma inapigwa leo Jumamosi Septemba 10, 2022 na inatarajiwa kuanza saa 10:00 Jioni kwa Tanzania.

Kikosi cha Yanga kuelekea mchezo huu, tayari timu zipo uwanjani kwa ajili ya kupasha misuli.
FcSvXDsWQAAm3Er.jpg

Salaam kwenu;

Timu mbili za Kariakoo zitashuka dimbani katika mechi tofauti za kufuzu CAF Champions League.

Yanga watawakaribisha Zalan katika dimba la Mkapa.

Big Bullets watawakaribisha Simba huko nchini Malawi.

Mechi zote kupigwa Saa 10:00 alasiri kwa saa za hapa nyumbani

Mechi zote zitakuwa live kupitia Azam Sports 1&2

Karibu hapa kwa live updates za mechi zote mbili...
 
Hawa zolan mtani atajipigia tu, aanze kujiandaa na st George vs al hilal ni aheri apite st George ila yule hilal namuhofia..

Natamani tz kwa mara ya kwanza tupeleke timu 2 makundi champions league
Na kule chini azam nae afike makundi
Itapendeza saana
 
Twende kazi
 
Huyu mtoto Msheri mbaya kweli kweli ameshampiga misumari ya kutosha Alhaj wa watu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hawa zolan mtani atajipigia tu, aanze kujiandaa na st George vs al hilal ni aheri apite st George ila yule hilal namuhofia..

Natamani tz kwa mara ya kwanza tupeleke timu 2 makundi champions league
Na kule chini azam nae afike makundi
Itapendeza saana
Hayo ndiyo matamanio ya kila mpenzi wa mchezo wa mpira wa miguu

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom