caf

Confederation of African Football (CAF) is The administrative and controlling body for African association football, futsal, and beach soccer. It represents the national football associations of Africa and organizes major continental tournaments, including the Africa Cup of Nations (AFCON), the CAF Champions League, and the CAF Confederation Cup.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Makundi ya CAFCL yatamalizika kama yalivyopangwa.... CAF ni kama wameshavujisha watakaopita na watakaobaki bila kujua

    Baada ya kuyatazama haya makundi zaidi ya mara 10, na kuzifanyia utafiti wa kina club zote kwenye makundi kujua strengths and weakness zao nimefikia hitimisho kuwa, msimamo wa mwisho wa makundi haya yatamalizika kama yalivyotolewa na CAF Yaani CAF wamevujisha watakaopita na watakaobaki bila...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya makundi kupangwa CAF, washabiki wa Simba na Yanga wanaombeana mabaya. Hii ni aibu!

    Kwa heshima kubwa na kwa lengo la kuleta mafanikio kwa soka la Tanzania, ni wakati wa kuangalia mbali zaidi ya migawanyiko ya kiushabiki baina ya klabu na kuanzisha ushirikiano imara baina ya timu kubwa mbili za mpira wa miguu nchini, Simba na Yanga. Katika hali ya mpira wa ushindani kuelekea...
  3. JamiiForums Tanzania CAF: Draw ya makundi: Simba Group B, Yanga Group D

    Majira ya saa 9 alasiri leo kunafanyika draw ya makundi kwa timu zilizofuzu kuingia makundi. Simba na Yanga ni timu pekee kutoka Tanzania zilizofuzu kwenye hatua hiyo ya Makundi. Kaa hapa kupata updates zaidi. Updates Makundi ya Shirikisho CAF CL USMA FUTURE SUPERSPORT Al HILAL Group B...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Draw ya makundi Caf Champions league: Simba ndani ya chungu namba 2, Yanga ndani ya chungu namba 3

    CAF hufanya draw ya makundi kwa kuzigawa timu kwenye pots/vyungu 4 kwa kigezo cha ubora wao. Pot no. 1: Al Ahly, Wydad WC,Esperance, na Mamelodi Sundowns. Pot no 2: Simba, CR Belouizdad, Pyramids na Petro de Luanda. Pot no.3: TP Mazembe, Al Hilal, ASEC Mimosa, na Yanga. Pot no. 4: Etuile...
  5. JamiiForums Tanzania Ihefu hizo sio pigo mlizo leta yaani kikosi cha fainali ya CAF mnakifanyia hivyo

    Ngoja niwasimulie kidogo hii story ya kusikitisha na kughafirisha. Mwaka Jana kipindi yanga ni unbeaten sikuwahi kuwabetia Ila ilivyofika siku wanacheza na ihefu nikajisemea hii yanga unbeaten ndy yakupatia hela Hapa bure bure dadeek nikawapa yanga nikastake elf 50 alafu nikachil bar Sina hata...
  6. JamiiForums Tanzania Utabiri wa Makundi ya CAF CL ya Mwandishi wa Habari MickyJr

    Naona ibaki hivi hivi: ๐†๐ซ๐จ๐ฎ๐ฉ ๐€: โ€ข Mamelodi Sundowns ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ โ€ข CR Belouizdad ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ โ€ข Al Hilal ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฉ โ€ข Medeama ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ ๐†๐ซ๐จ๐ฎ๐ฉ ๐: โ€ข Wydad AC ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ โ€ข Simba SC ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ โ€ข ASEC Mimosas ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ โ€ข Jwaneng Galaxy ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ผ ๐†๐ซ๐จ๐ฎ๐ฉ ๐‚: โ€ข Al Ahly ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ โ€ข Petro de Luanda ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด โ€ข Yanga SC ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ โ€ข FC Nouadhibou ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ท ๐†๐ซ๐จ๐ฎ๐ฉ ๐ƒ: โ€ข ES Tunis ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ โ€ข Pyramids...
  7. JamiiForums Tanzania Yanga isipocheza fainali za CAF champions niiteni zumbulugutu

    Nimeangalia mechi za Yanga na mechi za timu nyingine Afrika na Europe, Yanga hii inacheza vizuri kuliko Manchester United, Chelsea na Al-Ahly.
  8. JamiiForums Tanzania CAF kupanga makundi Afrika Kusini Oktoba 06

    Shirikisho la soka Barani Afrika โ€˜CAFโ€™ linasubiri Oktoba 06 ili kukamilisha mpango wa kupanga makundi ya Michuano ya ngazi ya vilabu iliyo chini ya shirikisho hilo kwa msimu huu 2023/24. CAF imewalazimu kusubiri hadi Oktoba 06, ili kutoa nafasi kwa mchezo mmoja wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika...
  9. JamiiForums Tanzania Uelekeo wa pots za Draw ya CAF Champions League 2023/24

    Pot 1: Al Ahly Wydad AC Espรฉrance de Tunis Mamelodi Sundowns Pot 2: CR Belouizdad Pyramids Simba Petro de Luanda Pot 3: TP Mazembe Al Hilal Young Africans ASEC Mimosas Pot 4: ร‰toile du Sahel Jwaneng Galaxy Nouadhibou Medeama NB: 1. Kuna baadhi ya mechi (tatu) zinaendelea, ila...
  10. JamiiForums Tanzania Yanga yaongoza kwa online engagements katika ukurasa rasmi wa CAF

    Ukifuatilia ukurasa wa CAF kule mtandao wa X Kwa siku ya Jana tu timu ya Yanga ndo ilioongoza kwa engagements. Ukiangalia kadi zote zilizopostiwa za kuvipongeza vilabu vilivyofuzu kuingia makundi ya CAF CL hakuna iliyoongoza kama uya Wananchi Hivyo mkiambiwa kuwa siye ni watatu kwa Afrika...
  11. JamiiForums Tanzania Pyramids FC yawa Timu ya kwanza kuingia hatua ya makundi Ligi ya mabingwa Africa 2023

    Miamba ya kutokea Misri "Pyramids FC" wameingua hatua ya makundi kibabe kwa kuifunga timu ya Rwanda "APR FC" goli 6 kwa moja 1 na kufanya utofauti wa magoli kuachana kwa goli 5. Ambapo goli la APR FC lilikuwa la Penalti na magoli ya Pyramids yalikuwa ya kusakuana. Ikumbukwe miamba hiyo ya Farao...
  12. JamiiForums Tanzania Bingwa wa CAF Super Cup katokea kombe la shirikisho ni ujumbe tosha ya kwamba Yanga wapewe maua yao

    Ni muendelezo wa kuwafunga midomo wale wote waliokuwa wanabwata ya kwamba kombe la shirikisho lilikuwa na timu dhaifu, kwa walioangalia mpira wa Al ahly na USM alger atakubaliana na mimi ya kwamba yanga alicheza fainali na timu bora barani afrika kwa sasa. Pamoja na yanga kukutana na timu bora...
  13. JamiiForums Tanzania FT: CAF Super Cup Final | Al Ahly 0 - 1 USM Algier

    Mshindi wa Ligi ya mabingwa pamoja na Mshindi wa kombe la shirikisho leo wanakutana kucheza fainali Mpira ni saa 21:00 yani umeanza dakika tatu zilizopita. Tutakuwa pamoja hapa kujuzana yatayojiri.
  14. D

    JamiiForums Tanzania hii propaganda ( PR)๐Ÿ™Œ CAF anaipa Yanga, kama rushwa.

  15. JamiiForums Tanzania Ratiba za CAF huwa zinapangwa kabla, hizi draw ni kiini macho tu

    Mimi huwa napenda kuobserve sana mambo, kwa hiyo mtanisamehe nikiwa naleta hoja ninazoitaga "hoja fukunyuku". Mechi ya kwanza lazima wangetaka iwepo Al Alhy au Wydad. Nimeedit huu uzi baada ya kurudi tena kuiangalia video ya draw baada tu ya kufungua huu uzi. Kuna vitu kadhaa nimeviona...
  16. JamiiForums Tanzania Ni wapi na lini CAF walitangaza ligi ya Tanzania ni ya 5 kwa ubora?

    Kwa muda sasa kumekuwa na kupongezana kutokana na taarifa kuwa ligi kuu ya NBC ilitangazwa ni ligi ya 5 kwa ubora katika bara la Afrika. Kwa muda mrefu nimejaribu kuitafuta hii taarifa humu mitandaoni kutoka vyanzo vyovyote vya nje ikiwemo CAF wenyewe ila hadi leo sijawahi kuiona mahali...
  17. JamiiForums Tanzania Dirisha la Usajili CAF na TFF limefungwa RASMI niliyoshauri yafanyiwe kazi Simba HAYAJAFANYIKA, Wanasimba mjiandae kisaikolojia

    Hellow Wana JF. Dirisha la Usajili la shirikisho la Soka Tanzania TFF na Lile la CAF limefungwa RASMI Jana 31AUGUST 2023. Yale yote niliyoyaomba na Kupendekeza yafanyike ndani ya wekundu WA Msimbazi hayajafanyiwa kazi kwa asilimia 90% Hii imeniuma mno kama shabiki mwanachama na Mfanyakazi wa...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Kwa hili pira Gamondi, hakuna shaka kwa Yanga kubeba ndoo ya CAF CL msimu huu

    Kwa pira hili la yanga ya Gamondi ya msimu huu, niwasihi CAF wawape tu yanga kombe lao la bingwa wa CAFCl mapeeeema. Siioni timu yoyote Africa ya kuweza kuuzuia huu upepo wa kisuli suli nje au ndani. Na kwa anayenunua magoli, mwambieni mwaka huu ajipange. Maana kuna uwezekano hazina yeke ya...
  19. JamiiForums Tanzania AZAM na Baraka Mpenja punguzeni mahaba kwa Yanga, kuweni professionals

    Jana nilipokuwa nafuatilia gemu ya Yanga, nilikuwa nasikia mahaba ya kupitiliza kwa timu ya Yanga kutoka kwa mtangazaji Baraka Mpenja na hii siyo mara ya kwanza kuliona hili. Jana alikuwa anatoa kauli kama "upande wa pili nao watakuwa wakienda chooni wanasema Yanga kweli anapiga mpira mwingi"...
  20. JamiiForums Tanzania Kutolewa kwa Azam kwenye Mashindano ya Caf ni ujumbe tosha

    Azam complex ni uwanja wa Azam, kama uchawi unacheza mpira Azam walikuwa na muda wa kufanya kafara zote kama Popoma mkuu anavyoamini uchawi unacheza mpira. Wakati Yanga wametulia kimya Avic town kuna wazururaji wa Msimbazi na Chamanzi walini kwenda kuzurura nje ya Tanzania ndio kuandaa timu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ