caf

Confederation of African Football (CAF) is The administrative and controlling body for African association football, futsal, and beach soccer. It represents the national football associations of Africa and organizes major continental tournaments, including the Africa Cup of Nations (AFCON), the CAF Champions League, and the CAF Confederation Cup.
  1. Mdakuzi

    JamiiForums Tanzania CAF yazuia Mashabiki Sfaxien Kwenye Mechi dhidi ya Simba

    Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa adhabu kwa klabu ya soka ya Sfaxien kufuatia vurugu zilizoibuka baada ya mchezo dhidi ya Simba. Pia, wameadhibiwa kwa kitendo cha mashabiki wao kutupa mafataki uwanjani kwenye mchezo dhidi ya Cs Constantine. Hivyo, watacheza mechi mbili za nyumbani bila...
  2. errymars

    JamiiForums Tanzania Ademola Lookman Amestahili tuzo ya mchezaji bora wa Mwaka kwenye Tuzo za CAF 2024?

    https://youtu.be/2nc32h40PQg
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz aki-perfom usiku wa Tuzo za CAF

    Tazama sehemu ya performance ya Msanii Diamond Platnumz kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za CAF 2024 Marrakesh, Morocco Pia, Soma: Diamond Platnumz kutumbuiza katika Hafla ya Ugawaji Tuzo za CAF, Desemba 16 Morocco
  4. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Tuzo za CAF 2024: Kwanini Diamond Platnumz hakushangiliwa hata na mtu mmoja alipotumbuiza?

    Natazama hapa tuzo tajwa. Pamoja na tuzo mbalimbali kwa wachezaji na watu mashuhuri wengineo, mwanamuziki Diamond ametumbuiza. Akiwa na 'madansa' wake, Diamond alitumbuiza wimbo wa Komasava. Alipomaliza, Diamond hakushangiliwa hata na mhudhuriaji mmoja ukumbini. Kwanini? Yawezekana ni kwakuwa...
  5. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Hafla ya Ugawaji wa Tuzo za CAF kwa mwaka 2024 ni Usiku huu jijini Marakech, Morocco

    Kutoka Morocco, Usiku huu ni ugawaji wa tuzo za Shirikisho la Soka barani Afrika ( CAF ) Tuzo mbalimbali katika vipengele mbalimbali zinatarajiwa kutolewa usiku huu. Baadhi ya vipengele hivyo ni; Mwanasoka bora wa mwaka ( kwa wanawake & wanaume ) Golikipa bora wa mwaka Timu bora ya mwaka...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz kutumbuiza katika Hafla ya Ugawaji Tuzo za CAF, Desemba 16 Morocco

    Msanii nyota wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, anatarajiwa kutumbuiza katika hafla ya ugawaji tuzo za Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) itakayofanyika Desemba 16 kama Headliner Pia, Soma: Simba na Yanga zang’ara kwenye Tuzo za CAF, Zawania Klabu Bora ya Mwaka 2024 Hafla hiyo ya kifahari...
  7. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

    🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇🔰 🏆 #CAFCL ⚽️ TP Mazembe🆚Young Africans SC 📆 14.12.2024 🏟 Stade TP Mazembe 🕖 3pm🇨🇩4pm🇹🇿 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko Kikosi kinachoanza dhidi ya TP Mazembe Mpira umeanza Dakika ya 2 Yanga Sc wanafanya mashambulizi Dakika ya 9 TP mazembe wanafanya mashambulizi Dakika ya...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa Umoja na mshikamano ndani ya Yanga kesho wanakwenda kuaga mashindano ya CAF Championship 2024 vs TP Mazembe

    Kesho wana Yanga msipoteze muda wenu kuwa na matumaini kule Congo vs TP Mazembe. Mgogoro ule uliokumba Simba miaka 3 nyuma umehamia Yanga. Nimemsikiliza kwa umakini mkubwa babake Haji Manara, Sunday Manara akimlaumu sana Injinia Hersi na wenzake ndani ya Yanga. Mzee Manara anamuona Hersi na...
  9. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania CAF yaiengua Kenya kuandaa Chan 2025 waambiwa viwanja vyao havina vigezo

    Nimelia sana kusikia kuwa uwanja wa Kasarani na vingine havina hadhi ya kuandaa michuano ya CHAN 2025 nafasi yao imepelekwa kwa Rwanda Poleni wakenya
  10. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Nani anatumia jina la Zawadi Mauya pale Yanga kwenye mashindano ya CAF Champions League?

    Habari za mda huu Wana michezo Kila ukiangalia squad ya yanga akiwa anacheza Champions league kuanzia mechi ya kwanza na Al HILAL naona jina la zawadi MAUYA Nikajua maybe ni kosa la AZAM TV mechi ya juzi na MC ALGER pia jina Hilo limejitokeza Je yanga mambo yao yanaendeshwa kihuni tu bila...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CAF yakataa ombi la MC Alger Kuhamisha mechi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Yanga kwenda Douéra

    Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) limetupilia mbali ombi la klabu ya MC Alger la kuhamisha mechi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Yanga SC kutoka uwanja wa 5 July 1962 na kuihamishia Douéra. Mechi hiyo sasa itachezwa kama ilivyopangwa kwenye uwanja wa 5 July 1962. Soma, Pia: Aucho, Mzize na Boka...
  12. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Nashauri CAF walifute sasa kombe la shirikisho, linaleta hasara kubwa sana.

    I salute you kinsmen.. Hili kombe la wazembe mnaloita shirikisho limekuwa likizidi kupoteza mvuto siku hadi siku . Mtakumbuka CAF walipanga kulifuta lakini wakaghairi, hapo ndipo walipokosea!❌️ Shirikisho Zuri lilikuwa msimu ule yanga aliofika final tu✅️ Baada ya hapo tunaona sasa team legevu...
  13. uran

    JamiiForums Tanzania Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

    Match Day Simba SC vs Bravos do Maquis FC Time 1600hrs Kikosi Cha Simba Kinachoanza. #Nguvumoja Updates... 1' Mpira umeanza kwa kasi, Simba wanamiliki mpira wanapeleka shambulizi ndogo kwa Bravos. 3' Game on 0-0 7' Simba wanafanya shambulizi kwa Bravos halifanikiwi. Wanashindwa kudhibiti...
  14. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

    🏆 #CAFCL ⚽️ Young Africans SC🆚Al Hilal 📆 26.11.2024 🏟 Benjamin Mkapa 🕖 10:00 Jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya Al Hilal Dakika ya 5 Mpira Umeanza Dakika ya 10 Yanga SC wanakosa nafasi ya wazi Dakika 25 Yanga wanakosa nafasi ya wazi Dakika ya 29 Dube anakosa nafasi ya wazi anateleza hapa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Yanga wamefuta nyota kwenye jezi za ligi ya mabingwa. CAF hawataki nyota hewa. Ni mabingwa tu ndio wana nyota

    Habari wadau Naona Yanga wametoa jezi mpya kwa kwa ajili ya total caf champions league.. Wamefuta nyota zao walizoweka juu ya logo yao kwenye jezi zao za msimu huu walizochezea hatua za awali za caf champions league na ligi kuu ya tanzania. Watu wengi walishangaa why jezi ya mamelodi iwe na...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TFF yakanusha kuhusu Tanzania kuwa hatarini kuondolewa AFCON 2025 baada ya kukiuka kanuni za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF)

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeeleza kusikitishwa na taarifa zinazozagaa mitandaoni kuhusu uhalali wa mchezaji Muhamed Ame kuchezea Timu ya Taifa (Taifa Stars). TFF imefafanua kuwa Ame ni miongoni mwa wachezaji 23 walioorodheshwa rasmi kwa mechi dhidi ya Guinea, na alikaguliwa...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania hatarini kuondolewa AFCON 2025 baada ya kukiuka kanuni za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF)

    Wakuu, Mwandishi wa habari za michezo wa Ghana, Micky Jr ameripoti kuwa, Tanzania inaweza kuondolewa kushiriki michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 nchini Morocco licha ya kufuzu, baada ya kukiuka kanuni za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF). Pia, Soma: Full Time: Tanzania 1 -...
  18. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Tanzania yaipiku Kenya katika FIFA - Football ranking - CAF Zone, Rasmi Tanzania na Uganda ndiyo Giants wa soka East Africa

    Je, huu ni Mwanzo wa Tanzania kuwa power house of East africa, Kimichezo na Kiuchumi kama ilivyokuwa mwanzoni mwa miaka ya 80's?
  19. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania CAF hawajaitendea haki yanga kinda Mzize hayupo kwenye list

    Caf hawajafanya fair kabisa kwa kumuacha kinda wa yanga kwenye orodha ya mchezaji chupikizi au kinda Clement Mzize mchango wake ni mkubwa alistahili kuwepo kinda hilo cha kushangaza hata jina lake halionekani au huko hakuna rushwa!
  20. ngara23

    JamiiForums Tanzania CAF hawawezi kukubali Taifa stars kufuzu Afcon

    Mpira ni biashara Timu letu Bado ni bovu Stars umeenda Afcon mara mbili mfululizo ila haijawahi kushinda wala kutoa sare Timu letu kila likienda linapigwa na kututia aibu. Me Mtanganyika ila sitaki timu letu lifuzu Yaani tumeikosa Ghana, tena tuikose Guinea, iyo Afcon itakuwa kama ndondo cup...
Back
Top Bottom