caf

Confederation of African Football (CAF) is The administrative and controlling body for African association football, futsal, and beach soccer. It represents the national football associations of Africa and organizes major continental tournaments, including the Africa Cup of Nations (AFCON), the CAF Champions League, and the CAF Confederation Cup.
  1. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini wachezaji washiriki wa CAF Champions Ligue hawachezi EPL (England Primier Ligue?)

    Ni mimi wako: UWESU TANZANIA 🧠 Kwa tafiti fupi niliyoifanya nimegundua kuwa ni vigumu sana wachezaji washiriki wa CCL (CAF champion ligue) kusajiliwa kwenye timu shiriki za EPL (England premier ligue)? Michuano ya vilabu bingwa vya Afrika vimekuwa vikiibua vipaji vya vijana wengi wa kiafrika...
  2. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Raisi wa CAF Dkt. Motsepe ndiyo Rais pekee duniani ambaye hapokei mshahara mwisho wa mwezi

    Hapokei hata Senti kumi linapokuja suala la malipo ( mshahara ) Anajilipia/kugharamia kuanzia: a) Usafiri b) Makazi c) Malazi nk. Pia timu yake anayoimiliki yaani MAMELODI SUNDOWNS (Masandawana) gharama zote za uendeshaji analipia yeye pia. Kina Abou Hany, Samuel Eto'o na Fouzi...
  3. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Je Simba itafanikiwa kuwa top 5 katika ubora msimu huu ranking ya CAF?

    Wazee wa vichaka hauwasikii tena wakiongelea habari za kubeba mafyekeo. Kelele zilikuwa kwa ajili ya kujaza watu uwanjani, zoezi ninalosikia halikufanikiwa. Wamekwenda machakani, wamekuta vyura wenzao wamezaliana, zoezi likasitishwa. Tuachane na hayo, turudi kwenye mada kuu. Simba ina nafasi...
  4. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Acheni upotoshaji kuhusu ranking za CAF

    NItaelezea kwa ufupi sana hili suala. Kuna watu kwa sababu wametokea kupenda kudanganya mashabiki wao, wanadhani kila mtu ni wa kudanganya. Katika ranking ya miaka 5, hakuna point unazopata eti tu kwa kuingia makundi. Point zinaanza kuhesabika baada ya hatua ya makundi kuisha, pale ndiyo...
  5. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo msimamo wa CAF 5 Year ranking mpaka sasa

    Endapo Simba itashinda usiku wa leo, itajihakikishia alama 2.5, hivyo ukijumlisha na alama ilizo nazo kwa sasa, 28 + 2.5 = 30.5 hivyo itamrudisha juu ya Yanga kwa alama 1.5
  6. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania GSM azuiliwe kudhamini timu zinazo shikiriki CAF Champions League

    Mimi Jemedari wa mchongo naumia sana kuona GSM ananunua game. Jambo hili linaharibu ladha ya ligi. GSM aliinunua Simba akaikanda 5, Azam 4, Vital'O 10, CBE 7. Tafadhali huyu adhibitiwe. Leo nasikia kanunua game ili Simba ipelekewe moto na Al Ahly Tripoli. Kibaya zaidi kila nikimpigia simu...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya chadema hayatakuwa na uzito, Jumatatu topic kubwa ni simba na Yanga kwenye mashindao ya Caf ya weekend hii.

    Tanzania ni nchi ya kipekee ambayo mpira una kipaumbele kufuatiliwa kuliko siasa, Nenda Misri, Nenda Uingerez, Nenda Sauzi, Mpira unapendwa lakini hauwezi kuzidi watu kufuatilia mienendo ya kisiasa Kama mnavyojua, watanzania wengi huthamini zaidi mpira kuliko siasa na mambo ya mienendo ya...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Almas Kasongo: Mashindano ya CHAN yatavuruga ratiba ya Ligi NBC na mashindano mengi

    Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo amesema kuwa michuano ya CHAN itapangua ratiba ya Ligi NBC na mashindano mengi hivyo maofisa wa ligi tangu jana wameanza kukaa kwa ajili ya kufanya mabadiliko ya ratiba ili kwenda sawa na ushiriki wa mashindano ya CHAN. “Tumepokea hiyo ratiba ya Chan...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yanga akiingia robo fainali tena kile kichaka cha rank kinakuwa kimefyekwa rasmi!

    Yanga anazo point 31 kwenye rank za CAF, Simba anazo point 39, tofauti yake ni alama 8 Yanga akiingia makundi anaongeza alama 2×5=10, ukijumlisha na 31 walizonazo wanafikisha 41, hapo ni kama ataishia makundi! Simba anazo alama 39, akiingia makundi anaongeza alama 1×5=5, ukijumlisha na alama...
  10. Pdidy

    JamiiForums Tanzania kwa nini kila timu ikija kucheza na Simba wanakuja na vyakula vyao na wanapikia ubalozini?

    Nimejiuliza sanasanaa Kwanini kwa Simba. Kila timuzanje zikija zinakuja na vyakula vyao Na vyakula wanapikia ubalozin mwa nchi husika. Nawaza wanaogopa Uchawi, Kulogwa, ama wana taarifa zaidi zinazohusu Simba? kwa nini wakija kucheza na Yanga hakuna mambo kama haya. Cc Okwi b mpwaaaa. Soma...
  11. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Rais wa CAF hafahamu kama Simba ilicheza na ilicheza wapi na kombe gani

    Raisi wa Caf Patric Motsepe siku ya jana aliwaacha Waandishi wa habari midomo wazi wakibaki kustaajabu! Hii ni baada ya kuulizwa kuhusu vurugu za mchezo wa Al Ahly Tripoli Vs Simba, Rais akawa hana taarifa yeyote Kama Simba ana cheza! Wala hakuna anacho kijua au kusikia kama kulikuwa na mechi...
  12. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba ndiyo timu ya Tanzania iliyofanyiwa vurugu na magumashi mara nyingi katika mashindano ya CAF

    Kuna timu inajitapa eti imehusika kuleta uhuru wa Tanzania ila haijawahi kuvuja jasho na kucheza katika mazingira magumu ambayo unaweza hata kuwaza kama baada ya mechi utabaki na uhai wako. Simba ndiyo timu pekee Tanzania ambayo imepitia mazingira hayo mara nyingi kuliko timu yoyote ile...
  13. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania FT: Gor Mahia 0-3 Al Ahly | CAF Champions League Qualification | Nyayo National Stadium | 15.09.2024

    Ni kipindi cha kwanza, Gor Mahia yupo nyumbani mpaka sasa ameshalowa goli mbili, game ni tamu ipo mubashara Azam sports 2HD
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FT: Al Ahly Tripoli 0-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Tripoli International Stadium | 15/09/2024

    Mnyama Simba SC, yupo Tripoli, Libya tayari kwa kukipiga na Al Ahly Tripoli, kombe shirikisho Afrika. Mtanange huu utapigwa kuanzia saa 2:00 usiku. Kaa karibu na uzi huu ili ujue kila kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo
  15. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Pyramid yaponea chupuchupu kupoteza mechi dhidi ya APR, ashukuriwe Mayele

    Kama sio Mayele leo mwarabu alikuwa anapigika kigali Kweli mpira unamaajabu yake wakati huo Azam akitoa sare na Pamba jiji futi boli inamaajabu sana
  16. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: CBE SA 0-1 Yanga SC |CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Abebe Bikila Stadium | 14.09.2024

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #CAFCL ⚽️ Cbe SA 🆚 Yanga SC 📆 14.09.2024 🏟 Abebe Bikila Stadium 🕖 15:00 Alasiri Kikosi kinachoanza dhidi ya CBE SA FC mpira umeanza dakika ya 2 dube anakosa nafasi ya wazi dakika ya 15 pacome anafanya mashambulizi dakika ya 25 0-0 dakika ya 29 cbe wanakosa nafasi ya wazi...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba Sc hawapaswi kuwa na matarajio makubwa sana Timu yao kuifunga Al Ahly Tripoli

    Naweza kusema kwa sasa klabu ya Simba SC hususani mashabiki wa klabu hiyo hawapaswi kuwa na matarajio makubwa kwa timu yao kupata matokeo chana mbele ya Al Ahly Tripoli ya Libya katika Kombe la Shirikisho Afrika. Ukitazama kikosi cha Simba kwa sasa kina wachezaji wapya wengi na kocha pia ni...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Hatima juu ya pingamizi TFF dhidi ya Kocha Katabazi kutolewa Septemba 20, 2024

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, leo, Septemba 11, 2024 imesikiliza pingamizi lililowekwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ambalo limeiomba Mahakama kuiondoa kesi hiyo kwa sababu Katiba za TFF, CAF na FIFA zinazuia masuala ya mpira kupelekwa Mahakamani. Kesi hiyo Namba...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Hii hapa interview ya Aziz Ki na CAF

    Msimu uliopita, alikuwa muhimu kwa Young Africans kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa ya CAF ya TotalEnergies, lakini gwiji wa Yanga, Stephane Aziz Ki anatazamia kuboresha matokeo hayo katika kampeni hii. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Burkinabe alikuwa mmoja wa wachezaji bora kwa wababe...
  20. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Kuelekea CAFCC: Simba vs Al-Ahly Tripoli msisahau rekodi hizi muhimu

    *Simba na AL Ahly tripoli zote ziliingia makundi shirikisho mwaka 2022 Simba ikaishia robo fainali (ile wanachoma moto uwanjani na Orlando) na Al ahly Tripoli wakaenda mpaka nusu fainali * Timu zote mbili ziitolewa na Orlando Pirates Simba ilitolewa robo fainali na Al Ahly tripoli ilitolewa Nusu...
Back
Top Bottom