Confederation of African Football (CAF) is The administrative and controlling body for African association football, futsal, and beach soccer. It represents the national football associations of Africa and organizes major continental tournaments, including the Africa Cup of Nations (AFCON), the CAF Champions League, and the CAF Confederation Cup.
Nakupa pongezi kwa sababu huwezi kufikia kumi bila kuanza na moja mwendo wako uko kwenye njia sahihi, na mwelekeo wako ni mzuri!
Kuchaguliwa kuwa mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya CAF si jambo dogo; umefanya kazi kubwa na kufanikisha mengi. Nafasi hii inakupa nafasi ya moja kwa moja kushiriki...
Simba wameongezewa muda na CAF. Sisi Yanga hatupendwi kila sehemu. Huu ni uonevu. Hata sisi tupo Shirikisho na tumeingia robo fainali tunastahili kuongezewa muda. Waache uhuni hawa CAF.
Leo tunaambiana ukweli.
Mlipoanza kutamba kuwa mnaenda kuipiku Simba kwenye rank za CAF mlituingiza kwenye kiwewe si mchezo. Hata kama mngeipiku tu kwa muda mfupi bado kelele zenu tunazijua.
Mnacheza nyumbani, mnashindwaje kupata goli 1 tu la kuwavusha? Embu acheni utani. Unashindwaje kupata...
Katika hatua ya robo fainali ya mashindano ya CAF Shirikisho, Simba enaenda kukutana na timu mojawapo kati ya hizi tatu, Stellenbosch ya Afrika Kusini, ASEC Mimosas ya Ivory Coast na Al Masry ya Misri.
Hii ni tathmini yangu fupi ya timu hizi tatu na aina ya upinzani ambao Simba iutegemee.
AL...
Habari wana jukwaa...
Kwa heshima na taadhima tunaliomba shirikisho linalosimamia mpira wa miguu Afrika 'CAF' waturuhusu tuwape utopolo alama mbili Ili wafuzu hatua ya robo fainali.
Yanga atakuwa na jumla ya alama kumi ambazo zitaiwezesha timu hiyo kushika nafasi ya pili kwenye msimamo wa...
Huu ni utaratibu wa Yanga kufuzu robo fainali kila baada ya miaka 25! yaani robo miaka 25!! Ilifuzu mwaka 2024 baada ya miaka 25 toka ifuzu hapo awali. Itafuzu tena mwaka 2049!!!.
Hatimaye Safari ya Yanga katika Mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika CAF imefikia tamati Baada ya Kuruhusu matokeo ya suluhu katika uwanja wa nyumbani.
Pamoja na jitihada kubwa walizofanya wachezaji na hali ya Upambanaji waliyoionyesha lakini ilionekana wazi baadhi ya Wachezaji miili...
Week-end hii ndipo mizunguko ya michezo ya CAF inakamilika. Kutakuwa ni michezo 16 lakini ya muhimu kufutaila ni hii hapa chini kwa vile mingine itakuwa ni ya kumailisha ratiba tu.
CAF-CL
Yanga Vs MC Alger: Mechi hii itaamua ni nani kati ya washindani ataingia robo finali na itakuwa ya...
Gusa. Achia. Twenda kwao.
Ni ligi ya mabingwa Afrika, Yanga wakiwa nyumbani watawakaribisha MC Alger katika mchezo wa mwisho wa makundi.
Ni mchezo ambao Yanga atahitaji kushinda ushindi wa aina yoyote ile ili kuweza kufuzu robo fainali.
Yanga imekuwa na fomu nzuri ya matokeo kwa mechi za...
Kuna Timu moja nina uhakika wangekumbana na hili Rungu la CAF kama Wangesema wachangishane ili wakalipe Faini huko CAF kwa Mashabiki wao walivyo Masikini na Wabahili (Malugume) nina uhakika hadi hivi sasa wangekuwa na ama Shilingi Mia Tano (Jero) ya Sarafu au Elfu Moja (Buku) ya Karatasi.
Bakuli lishaanza kutembezwa. Mlivyokuwa mnatoa viti mnasema Ubaya Ubwela[emoji23][emoji23][emoji23]Haya toeni pesa. Na Zile za Uwanja zipo wapi kwanza?
Makolo waomba kuchangia faini ya 100 million Ili kulipa faini Baada ya kuvunja viti [emoji23][emoji23]
NB: yawezekana hata sio makolo...
Niwalaumu mno CAF kwani kama Kenya (ambao nina uhakika ndiyo wamechelewa kuwa na Miundombinu inayotakiwa kwa Mashindano hayo ya CHAN) bado kwa kuokoa muda na kutoharibu Ratiba za Mataifa mengine (kama Tanzania na Uchaguzi Mkuu mwaka huu) wangeweza kuwapa Rwanda nafasi hiyo kwani tayari Rwanda...
Michuano ya CHAN ambayo ilipangwa kuanza kututuma vumbi kuanzia mwezi ujao Sasa imepigwa Danadana Mpaka mwezi August mwaka huu.
Miongoni mwa sababu za Ratiba hiyo ni kutokukamilika kwa baadhi ya miundombinu kwa nchi ya Kenya, Tanzania na Uganda.
Pia, CAF wametafuta Muda ambao mashindano yote...
Nimewaza na kuwazuia sanaa
Hivi kwa nini Sxafen walipewa adhabu mapema kabisaaa. Hili hali wotee walifanya Fujo na Simba siku Moja
Iweje Hawa jamaa leoo wameona tumeingia robo final
WANAANZA kutuadhibu
Adhabu yetu ilikuwa wapiii kwani?
Kwa nini wasubirie Simba tuingie robo final ndio watupe...
Mpaka sasa Yanga anazo alama 34 kwenye CAF ranking na tayari keshaingia kwenye 10 Bora ya CAF ranking.
Simba baada ya kufuzu robo fainali kafikisha alama 38, endapo Yanga atafuzu robo fainali klabu bingwa atafikisha alama 39 na kumshusha Simba!
Kwa maana iyo ili Simba arudi kwenye nafasi yake...
Na declare interest,Mimi sio shabiki wa hizo Timu zenu za Kisiasa,Bali mpenda soka tuu
Yaani Simba imeingia robo fainali wakati anaemfuatia ana uwezo wa kuzifikia pointi za Simba na Kuipita goal difference Yao.
Kilichowafikisha hapo ni huu ujinga wa CAF ku entertain mambo ya goli la Ugenini na...
Heri ya Siku ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Ni jumapili tulivu, Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports atashuka dimbani dhidi ya wenyeji wake Bravos ya Angola katika mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika.
Katika mchezo wa kwanza, Simba akiwa nyumbani aliibuka na ushindi wa 1-0, je ataendeleza...
Nyota wa Simba Kibu Denis anasema hawana mechi ya nyumbani wala ugenini na kuna dalili kwa timu yao kuchukua ubingwa wa michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kutokana na upambanaji wao.
"Katika malengo yetu msimu huu moja
ni hilo la kubeba ubingwa wa Afrika na naamini kwa uwezo wa timu yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.