caf

Confederation of African Football (CAF) is The administrative and controlling body for African association football, futsal, and beach soccer. It represents the national football associations of Africa and organizes major continental tournaments, including the Africa Cup of Nations (AFCON), the CAF Champions League, and the CAF Confederation Cup.
  1. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania CAFCL & CAFCC Group Stage Draw 2024

    The draw will commence with the TotalEnergies CAF Confederation Cup Group Stage Draw at 15h00 East African Time (EAT), followed by the TotalEnergies CAF Champions League Draw at 16h00 EAT. Live Updates... https://www.youtube.com/live/5dTi02vfih8?si=WML4Hb5ZtrEVzEHk CAF CONFEDERATION CUP...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania CAF Wakagua Miundombinu ya Michezo Kuelekea CHAN 2025

    Viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) watembelea na kufanya ukaguzi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Oktoba 5, 2024. Viongozi hao wapo nchini kwa takriban siku mbili kuanzia Oktoba 5 kwa ajili ya kufanya ukaguzi wa viwanja mbalimbali vitakavyotumika kwenye mashindano ya...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Samuel Eto'o apigwa marufuku kuhudhuria Mechi za Cameroon kwa Miezi 6

    Rais wa Shirikisho la Soka la Cameroon (FECAFOOT), Samuel Eto'o (43), amepigwa marufuku kuhudhuria mechi zozote za kimataifa zinazohusisha nchi hiyo kwa miezi 6, baada ya uamuzi wa kamati ya nidhamu ya FIFA FIFA imetoa uamuzi huo baada ya mechi kati ya Cameroon na Brazil uliofanyika Septemba...
  4. D

    JamiiForums Tanzania CAF Referee training ipo Tanzania. Ila marefa wa Tanzania hawataki kwenda

  5. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania DStv wapata haki za matangazo ya mechi za CAF

    Hatimae DStv wamepata haki za kuonyesha mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika na zile za Shirikisho kwa msimu huu wa 2024/2025. Hii itakuwa nafuu kwa wateja wa DStv waliokuwa wanakosa uhondo huo mpaka waende Vibanda umiza. DStv anaungana na Azam Tv pamoja na SABC kuwa vituo vyenye haki ya kurusha...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CAF Yapendekeza Hersi Said apate posho ya Milioni 136.5 kwa mwaka kama Mwenyekiti wa Chama cha Vilabu vya Afrika

    Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limependekeza posho ya kila mwaka ya dola za Kimarekani 50,000 sawa na Shilingi Milioni 136.5 kwa Mwenyekiti wa Chama cha Vilabu vya Afrika (African Club Association - ACA). Pendekezo hilo litajadiliwa kwenye Mkutano wa 46 wa Kawaida wa CAF, unaotarajiwa...
  7. Tembosa

    JamiiForums Tanzania FT: Al Ahly 1-1 Zamalek | Penalties: Al Ahly 3 -4 Zamalek | CAF Super Cup | Kingdom Arena-Riyadhi | 27.09.2024

    African Derby In Saudia Arabia
  8. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini wachezaji washiriki wa CAF Champions Ligue hawachezi EPL (England Primier Ligue?)

    Ni mimi wako: UWESU TANZANIA 🧠 Kwa tafiti fupi niliyoifanya nimegundua kuwa ni vigumu sana wachezaji washiriki wa CCL (CAF champion ligue) kusajiliwa kwenye timu shiriki za EPL (England premier ligue)? Michuano ya vilabu bingwa vya Afrika vimekuwa vikiibua vipaji vya vijana wengi wa kiafrika...
  9. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Raisi wa CAF Dkt. Motsepe ndiyo Rais pekee duniani ambaye hapokei mshahara mwisho wa mwezi

    Hapokei hata Senti kumi linapokuja suala la malipo ( mshahara ) Anajilipia/kugharamia kuanzia: a) Usafiri b) Makazi c) Malazi nk. Pia timu yake anayoimiliki yaani MAMELODI SUNDOWNS (Masandawana) gharama zote za uendeshaji analipia yeye pia. Kina Abou Hany, Samuel Eto'o na Fouzi...
  10. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Je Simba itafanikiwa kuwa top 5 katika ubora msimu huu ranking ya CAF?

    Wazee wa vichaka hauwasikii tena wakiongelea habari za kubeba mafyekeo. Kelele zilikuwa kwa ajili ya kujaza watu uwanjani, zoezi ninalosikia halikufanikiwa. Wamekwenda machakani, wamekuta vyura wenzao wamezaliana, zoezi likasitishwa. Tuachane na hayo, turudi kwenye mada kuu. Simba ina nafasi...
  11. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Acheni upotoshaji kuhusu ranking za CAF

    NItaelezea kwa ufupi sana hili suala. Kuna watu kwa sababu wametokea kupenda kudanganya mashabiki wao, wanadhani kila mtu ni wa kudanganya. Katika ranking ya miaka 5, hakuna point unazopata eti tu kwa kuingia makundi. Point zinaanza kuhesabika baada ya hatua ya makundi kuisha, pale ndiyo...
  12. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo msimamo wa CAF 5 Year ranking mpaka sasa

    Endapo Simba itashinda usiku wa leo, itajihakikishia alama 2.5, hivyo ukijumlisha na alama ilizo nazo kwa sasa, 28 + 2.5 = 30.5 hivyo itamrudisha juu ya Yanga kwa alama 1.5
  13. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania GSM azuiliwe kudhamini timu zinazo shikiriki CAF Champions League

    Mimi Jemedari wa mchongo naumia sana kuona GSM ananunua game. Jambo hili linaharibu ladha ya ligi. GSM aliinunua Simba akaikanda 5, Azam 4, Vital'O 10, CBE 7. Tafadhali huyu adhibitiwe. Leo nasikia kanunua game ili Simba ipelekewe moto na Al Ahly Tripoli. Kibaya zaidi kila nikimpigia simu...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya chadema hayatakuwa na uzito, Jumatatu topic kubwa ni simba na Yanga kwenye mashindao ya Caf ya weekend hii.

    Tanzania ni nchi ya kipekee ambayo mpira una kipaumbele kufuatiliwa kuliko siasa, Nenda Misri, Nenda Uingerez, Nenda Sauzi, Mpira unapendwa lakini hauwezi kuzidi watu kufuatilia mienendo ya kisiasa Kama mnavyojua, watanzania wengi huthamini zaidi mpira kuliko siasa na mambo ya mienendo ya...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Almas Kasongo: Mashindano ya CHAN yatavuruga ratiba ya Ligi NBC na mashindano mengi

    Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo amesema kuwa michuano ya CHAN itapangua ratiba ya Ligi NBC na mashindano mengi hivyo maofisa wa ligi tangu jana wameanza kukaa kwa ajili ya kufanya mabadiliko ya ratiba ili kwenda sawa na ushiriki wa mashindano ya CHAN. “Tumepokea hiyo ratiba ya Chan...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Yanga akiingia robo fainali tena kile kichaka cha rank kinakuwa kimefyekwa rasmi!

    Yanga anazo point 31 kwenye rank za CAF, Simba anazo point 39, tofauti yake ni alama 8 Yanga akiingia makundi anaongeza alama 2×5=10, ukijumlisha na 31 walizonazo wanafikisha 41, hapo ni kama ataishia makundi! Simba anazo alama 39, akiingia makundi anaongeza alama 1×5=5, ukijumlisha na alama...
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania kwa nini kila timu ikija kucheza na Simba wanakuja na vyakula vyao na wanapikia ubalozini?

    Nimejiuliza sanasanaa Kwanini kwa Simba. Kila timuzanje zikija zinakuja na vyakula vyao Na vyakula wanapikia ubalozin mwa nchi husika. Nawaza wanaogopa Uchawi, Kulogwa, ama wana taarifa zaidi zinazohusu Simba? kwa nini wakija kucheza na Yanga hakuna mambo kama haya. Cc Okwi b mpwaaaa. Soma...
  18. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Rais wa CAF hafahamu kama Simba ilicheza na ilicheza wapi na kombe gani

    Raisi wa Caf Patric Motsepe siku ya jana aliwaacha Waandishi wa habari midomo wazi wakibaki kustaajabu! Hii ni baada ya kuulizwa kuhusu vurugu za mchezo wa Al Ahly Tripoli Vs Simba, Rais akawa hana taarifa yeyote Kama Simba ana cheza! Wala hakuna anacho kijua au kusikia kama kulikuwa na mechi...
  19. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba ndiyo timu ya Tanzania iliyofanyiwa vurugu na magumashi mara nyingi katika mashindano ya CAF

    Kuna timu inajitapa eti imehusika kuleta uhuru wa Tanzania ila haijawahi kuvuja jasho na kucheza katika mazingira magumu ambayo unaweza hata kuwaza kama baada ya mechi utabaki na uhai wako. Simba ndiyo timu pekee Tanzania ambayo imepitia mazingira hayo mara nyingi kuliko timu yoyote ile...
  20. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania FT: Gor Mahia 0-3 Al Ahly | CAF Champions League Qualification | Nyayo National Stadium | 15.09.2024

    Ni kipindi cha kwanza, Gor Mahia yupo nyumbani mpaka sasa ameshalowa goli mbili, game ni tamu ipo mubashara Azam sports 2HD
Back
Top Bottom