buza

George Buza (born January 7, 1949) is an American-Canadian actor who is best known for voicing Beast in the X-Men Animated Series.

View More On Wikipedia.org
  1. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    JamiiForums Tanzania Mrusi wa Buza: Barua ya wazi kwa Rais Putin

    Habari za hapo Moscow Urusi, mimi niko poa kabisa hapa Buza kwa Mparange. Lengo la kukuandikia barua hii ni kuonesha masikitiko yangu kwa kile kinacho endelea hapo Ukraine. Mimi Mrusi wa Buza niliwaaminisha watu mtaani kwangu kuwa tunaweza kuichakaza Ukraine kwa siku 3 tu kama ulivyo tuahidi...
  2. Anonymous

    JamiiForums Tanzania Kero: Barabara za Jeti kwa Gude na Buza Kanisani

    Imeletwa na mwananchi, namsaidia kuifikisha JF: 👇🏾👇🏾👇🏾 Naomba niripoti hii kwa sehemu husika hasa iwafikie walengwa ambao ni viongozi, either wenyeviti wa serikali za mitaa, Diwani ama mkuu wa wilaya DC Jokate Mwegelo. Naomba mtambue wananchi wenu tunaoata tabu sana na hzo barabara tajwa...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Panya Road waibuka tena Buza, wajeruhi watu na kuchoma mtoto Bisbisi ya kichwa

    Nahisi kabisa kuna watu, wako nyuma ya kundi la hawa magaidi Lengo lao ni hii nchi isitawalike
  4. MR LINKO

    JamiiForums Tanzania BUZA BAR FLANI

    Nimekuta twitter :D:D:D:D BUZA kuna Bar hiyo meneja wa bar akikuona unanunua Sana bia anamtuma mhudumu akupe na remote ya Tv ukae nayo ubadilishe channel unazotaka Kuangalia
  5. Buza Kwa Mpalange

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene, IGP Sirro kiangalieni kituo cha polisi Buza

    Nawasalimu kwa jina la makato mapya ya tozo. Jamani Mheshimiwa Simbachawene na kamanda Sirro bila kumsahau kamanda Murilo tafadhalini kiangalieni kituo kidogo cha polisi Buza. 1. Kituo kina zaidi ya miezi mitatu kimefungwa yaani pachafu kama nini 2. Hakina umeme 3. Hakina maji mahabusu sijui...
  6. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Maeneo gani ni mazuri kwa kuishi na familia hapa DsM

    Habari wadau..! Zamani wakati nipo chuo pale Mlimani nilikuwa naamini maeneo mazuri kwa kuishi DsM ni Sinza na Survey maana maeneo hayo yana totozi nzuri na bata za kufa mtu kwa kipindi hicho. Hivyo nilijitahidi kila mwaka wa masomo lazima nipate chumba Survey au Sinza . Ila sasa nina familia...
  7. Buza Kwa Mpalange

    JamiiForums Tanzania Kamanda Sirro, wakazi wa Buza tunaomba ufanye yafuatayo kwenye kata ya Buza

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Buza. Jeshi la polisi ndugu IGP Sirro tafadhali sana tunaomba uboreshe mazingira kwenye kituo cha polisi Buza. 1. Kituo hakina umeme, ikifika saa 11 jioni panakuwa kimyaaaa. 2.Kituo hakina maji, sijui mahabusu wanajisafisha na majani? 3.Mapolisi hawazidi...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi tusaidie kumng'amua aliyeuza eneo la Kanisa Anglican kule Buza na kumfanya DC Gondwe kuchachamaa sana!

    Najua nafasi katika Kanisa Anglican jimbo la Tanzania na hususani Dayosisi ya Dar es Salaam ndio maana nakuomba sana mh Prof Kabudi utusaidie kumng'amua aliyeuza kiwanja cha Kanisa kule Buza ili kijengwe kituo cha daladala. DC Gondwe ambaye pia ni mwana St Alban japo yeye ni Mlutheri wa Mbezi...
  9. J

    JamiiForums Tanzania DC Gondwe: Tunajenga Flyover tatu Chang'ombe mataa, Uhasibu mataa na Buza. Hakuna kama CCM lazima tukubali!

    Mkuu wa wilaya ya Temeke Godwin Gondwe amesema serikali itajenga flyover huko Buza ili kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri. Amesema hiyo itakuwa ni flyover ya tatu wilayani humo nyingine zikiwa ni za Chang'ombe mataa na Uhasibu mataa. Gondwe amesisitiza kuwa hakuna chama...
  10. ommytk

    JamiiForums Tanzania Leo nimepita Buza, aisee tofauti na nilivyokuwa napafikiria na kupasikia

    Kama kuna sehemu nilikuwa naisikia na kuona ni eneo ambalo baya kuna kila aina ya uhaini ukabaji yaani kila aina mambo mabaya ni Manzese, muda muda si muda kukaibuka Buza yaani kila jambo baya utasikia, huku ikanifanya kidogo niende kutembea kuona hayo yanayosemwa. Aisee Buza tofauti na...
  11. 2019

    JamiiForums Tanzania Kipindi hiki cha mvua Tandika siyo sehemu ya kwenda kabisa

    Wilaya masikini kabisa kwa mkoa wa Dar es Salaam ni Temeke, wilaya yenye watu duni kabisa ni Temeke, wilaya iliyochelewa kabisa kimaendeleo ni Temeke. Hata mipango na miundombinu duni kabisa ni Temeke. Inaongoza kwa uchafu pia. Jambo la kushangaza nimepita soko Tandika kuna mitaa imepangwa...
Back
Top Bottom