Leo nimepita Buza, aisee tofauti na nilivyokuwa napafikiria na kupasikia

ommytk

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
482
1,053
Kama kuna sehemu nilikuwa naisikia na kuona ni eneo ambalo baya kuna kila aina ya uhaini ukabaji yaani kila aina mambo mabaya ni Manzese, muda muda si muda kukaibuka Buza yaani kila jambo baya utasikia, huku ikanifanya kidogo niende kutembea kuona hayo yanayosemwa.

Aisee Buza tofauti na unavyosikia yaani ni mahali pazuri mno, kuna maisha mazuri tu. Kuna mtu aliwahi niambia SAA 12 huwezi kuongea na simu nje barabarani, ni uongo tu Buza kuzuri kumenoga barabara za lami mpaka vichochoroni, mataa barabarani kila kona.
 
Kama kuna sehemu nilikuwa naisikia na kuona ni eneo ambalo baya kuna kila aina ya uhaini ukabaji yaani kila aina mambo mabaya ni Manzese muda muda si muda kukaibuka buza yaani kila jambo bays utasikia uku ikanifanya kidogo niende kutembea kuona ayo yanayosemwa aisee buza tofauti na unavyosikia yaani ni mahali pazuri mno kuna maisha mazuri tu kuna mtu aliwahi nambia SAA 12 uwezi kuongea na simu nje barabarani ni uonho tu buza kuzuri kumenoga barabara za lami mpk vichochoroni mataa barabarani kila kona
Buza kwa Mpalange 💥💥💥
 
Nikikusoma katikati ya mistari nakuona ni mkazi wa huko huko buza sasa umekuja ku-post hapa kupima upepo watu wanapachukuliaje?
 
Back
Top Bottom