buza

George Buza (born January 7, 1949) is an American-Canadian actor who is best known for voicing Beast in the X-Men Animated Series.

View More On Wikipedia.org
  1. Bani Israel

    KERO Ubovu wa barabara Wilaya ya Temeke; Barabara kutoka Kituo cha Polisi Chang'ombe hadi Buza ina mashimo 46!

    Nisikuchoshe usinichoshe..! Wasalaam. Mimi ni mkazi wa maeneo ya Buza ambaye katika harakati zangu kila siku usafiri wangu ni daladala kutoka Buza kwenda mjini kujitafutia mkate wa kila siku Kero zetu kubwa huku ni usafiri na inayotunyemelea ni ya barabara kuharibika pasipo marekebisho tangu...
  2. D

    Hizi ndio gharama za kwenda kuombewa na Nabii mmoja aliyepo Buza

    Kama kuna utumwa wa akili unaoingia watu kwa Kasi siku hizi, basi ni hizi Imani kwa manabii; ✓ Unapofika utapigwa neno (na Ukweli ni kwamba sio neno la Mungu kwa kumaanisha, Bali ni promo tu), wakimaliza mtaambiwa TOA SADAKA. Halafu utaambiwa nunua maji na mafuta (ambavyo vitakugharimu tena...
  3. Dkt. Gwajima D

    Heri ya Siku ya Mtoto wa Afrika 16 Juni, 2024

    Wazazi na Walezi Salaam. Nawakumbusha kuwatakia Watoto wenu wote chini ya umri wa miaka 18 Heri ya Siku ya Mtoto wa Afrika Leo Juni, 2024. Wapeni Wosia kuwa: wamshike Sana Elimu, wasimuache aende zake....🇹🇿🤝✍🏻 Zaidi ya yote tuseme nao kuhusu janga la ukatili dhidi yao, tusiwaonee aibu maana...
  4. oko majimaji

    Kero ya usafiri wa umma kwa wakazi wa Buza

    Habari Mabibi na Mabwana. Naomba nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye kero, Kero hii inihusiana na usafiri wa umma kwa wakazi wa Buza ( kwa Lulenge hadi Kanisani). Hapo awali usafiri wa daladala kutokea maeneo tofauti kwenda Buza gari zilikuwa zinaenda hadi Buza Kanisani ( mwisho wa gari)...
  5. GENTAMYCINE

    Waziri Dk. Gwajima kumkamata huyo Dada wa Nyoka kwa Utapeli na kuwaacha Matapeli wa Kawe, Buza kwa Lulenge na Kimara Temboni ni Unafiki mkubwa

    Tena Mimi naona huyo Dada wa Nyoka ana Nafuu kwa huo Utapeli ila Matapeli halisi na Wezi wa Umasikini wa Watanzania wengi kwa njia ya Imani yao ya Uwongo na Kweli wako Tanganyika Packers Kawe, Buza kwa Lulenge na Kimara Temboni.
  6. BigTall

    KERO Serikali imepandisha nauli kisha Daladala za Kawe - Buza zinakatisha ruti, hii inaumiza sana

    Kuna tabia ambayo imekuwepo kwa muda, awali ilianza kama kitu kidogo kwa kufanywa na watu wachache lakini sasa hivi inazidi kuwa kama ndivyo uhalisia. Daladala za kutoka Kawe kwenda Buza (Dar es Salaam) hasa nyakati za jioni zimekuwa na kawaida ya kutokamilisha ‘ruti’, zinaishia Buguruni kisha...
  7. Anti-Hacker

    Kero ya kubadili njia "Route" kwa mabasi ya usafiri (daladala) ya Buza to Kawe

    Habari zenu wapendwa na Moderators. Ni kitambo sana sijaaandika kitu humu jamii forums, ila leo nimeamua kuandika hii kero ambayo imenikumba mara kadhaa. Ninaomba, hii taarifa iwafikie LATRA, SUMATRA CC, na Jeshi la Police Tanzania kitengo cha usalama barabarani, pia iwafikie umoja wa...
  8. GENTAMYCINE

    Aliyebuni hili Tangazo la Mama mwenye Mtoto Mgonjwa ndani ya DalaDala Buza - Kawe alitumia Akili zake sawa sawa kweli?

    Hivi inawezekana kweli DalaDala za Mbagala - Kawe au Tegeta - Kivukoni lililojaza hadi Milangoni ( huku wengine Wakijambiana bila Aibu wala Huruma kwa kwenda mbele humo ndani ) eti atokee Mama ambaye Mwanae kapatwa na Joto Kali la Homa au Malarial halafu Kondakta amuamuru Dereva wake ageuze Gari...
  9. T

    Matembezi ya Jioni: Buza kwa Mpalange

    Habari za Jioni wa JF.... Nimekuwa nikifatilia tetesi kadhaa kuhusu maeneo ya Jiji la Dar es Salaama yanayojulikana kama Buza kwa Mpalange. Hii ilinipa shauku ya kwenda na kutembelea haya makaazi.... kuwa ni maeneo yaliyosahaulika kimaendeleo na kusababisha maoni tofauti kwa kila wananchi ...
  10. B

    Putin kukacha kwenda Sauzi kulikoni kimya hiki kutokea Buza?

    Ilikuwa makelele moja kwa moja ooh, mwamba Putin atatinga Sauzi kwenye mkutano wa BRICS. Kwamba hatishiki wala kukuruka. Ajabu na kweli tumesubiri wee hakuna cha Putin, Yeriko wala wale warusi nguli kutokea Buza walioweza kuyarejelea majigambo yao. Kwamba alikuwa busy na Yevgeny Pighozin...
  11. T

    Kijana aliyetushia uhai wa Rais Biden auawa

    Moja ya story nimeipenda ktk kupitapita mtandao I ni hii ya kijana mmoja huko Marekani kuuwawa na FBI baada ya kutisha Uhai wa Rais Biden. Je ingekuwa kwetu Tz tungesema mengi Rais dictator na hana ubinadam ila huko Demokrasia inapozaliwa jamaa wamemlaza down bila hata kutaka kujua why alikuwa...
  12. B

    Wagner walipokinukisha warusi wa Buza waliishia wapi?

    Kulikoni wale wafuasi kindakindaki wa yule wakimwita mwamba Putin tokea pande za Buza kutokomea kusikojulikana? Au tuseme hawajauona umuhimu wa kujaza hilo ombwe lililoachwa na wale ndugu zao wa Wagner? Si waswahili walisema ukipenda boga upende na ua lake? Wako wapi kina Yericko Nyerere na...
  13. GENTAMYCINE

    Kwa jinsi DalaDala za Mbagala-Kawe, Gerezani-Kawe na Buza-Kawe zinavyopata tabu kugeuza, tutegemee ajali kubwa siku moja

    GENTAMYCINE ni Mtetezi Huru wa kila Kada za Watu na leo nimeamua Kutetea DalaDala za Ruti tajwa hapo juu kwa jinsi zinavyonyanyasika wakati wa Kugeuza zikifika Kawe mwisho eneo la Masai. Kinachonisikitisha zaidi ni kuona aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla Kushindwa kulitatua...
  14. BigTall

    Dar es Salaam: Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa Buza ahukumiwa kwenda jela miaka 2

    Kama tunavyoelezana kila siku kuwa hakuna aliye juu ya Sheria. Mkionewa muwe mnachukua hatua bila kutizama sura ya mtu. Yeyote anaweza kushitakiwa, akakutwa na hatia na akatumikia adhabu. Tarehe 4/4/2023, Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam, Mheshimiwa JOHN...
  15. M

    Mnaposema Dar es Salaam itapata maji 100% ni ipi hiyo? Ile ya Mabwanyenye wa CCM na washirika wao? Vipi madongo poromoka kama Buza na Mbagala?

    Nina hakika mtandao maji ya Dawasa haujtandaa Dar yote. Ni baadhi ya maeneo tu ndio kuna mtanado huo Sasa hao wanaokaaa madongo poromoka mnawafikiria vipi na wao? Mtakuwa mnajaza waterbowser na kuwapelekea? Ndiyo kusema mnaposema Dar mna maanisha mnapooshi nyie mabwanyenye?
  16. KakaKiiza

    Haya wale Wayukrein wa Buza njoo kuna jambo huku!!

    Urusi imeanza kazi ya kuyagawa Maeneo manne ya Ukraine inayokaliwa na Urusi yameanza kufanya kura za maoni, ambazo zimeshutumiwa kuwa haramu na Kyiv na zinaonekana kufungua njia kwa Moscow kunyakua rasmi baadhi ya asilimia 15 ya ardhi ya Ukraine. Upigaji kura katika Luhansk na Donetsk...
  17. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Mrusi wa Buza: Barua ya wazi kwa Rais Putin

    Habari za hapo Moscow Urusi, mimi niko poa kabisa hapa Buza kwa Mparange. Lengo la kukuandikia barua hii ni kuonesha masikitiko yangu kwa kile kinacho endelea hapo Ukraine. Mimi Mrusi wa Buza niliwaaminisha watu mtaani kwangu kuwa tunaweza kuichakaza Ukraine kwa siku 3 tu kama ulivyo tuahidi...
  18. Anonymous

    Kero: Barabara za Jeti kwa Gude na Buza Kanisani

    Imeletwa na mwananchi, namsaidia kuifikisha JF: 👇🏾👇🏾👇🏾 Naomba niripoti hii kwa sehemu husika hasa iwafikie walengwa ambao ni viongozi, either wenyeviti wa serikali za mitaa, Diwani ama mkuu wa wilaya DC Jokate Mwegelo. Naomba mtambue wananchi wenu tunaoata tabu sana na hzo barabara tajwa...
  19. N

    Panya Road waibuka tena Buza, wajeruhi watu na kuchoma mtoto Bisbisi ya kichwa

    Nahisi kabisa kuna watu, wako nyuma ya kundi la hawa magaidi Lengo lao ni hii nchi isitawalike
  20. MR LINKO

    BUZA BAR FLANI

    Nimekuta twitter :D:D:D:D BUZA kuna Bar hiyo meneja wa bar akikuona unanunua Sana bia anamtuma mhudumu akupe na remote ya Tv ukae nayo ubadilishe channel unazotaka Kuangalia
Back
Top Bottom