Matembezi ya Jioni: Buza kwa Mpalange

Teknocrat

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
3,816
8,470
Habari za Jioni wa JF....

Nimekuwa nikifatilia tetesi kadhaa kuhusu maeneo ya Jiji la Dar es Salaama yanayojulikana kama Buza kwa Mpalange.

Hii ilinipa shauku ya kwenda na kutembelea haya makaazi.... kuwa ni maeneo yaliyosahaulika kimaendeleo na kusababisha maoni tofauti kwa kila wananchi ...

Na leo ninaleta ushuhuda wangu, kwa kweli mimi nilikwenda Buza kwa Mpalange na nilipendezwa na mandhari yake, na wala sikukumbana na zile barabara mbovu zenye mabonde na tope za kumwaga..

Na hata sikuvaa gumboots kwa tahadhari sababu nilitaka kushuhudia mwenyewe na kwa kweli nimepapenda na nita kuwa mtembezi wa mara kwa mara katika harakati zangu za mazoezi ya viungo..

Nakaribisha maoni kwa watembezi wa jioni kama mimi.......karibuni
 
Buza inasemwa vibaya kama Bonyokwa wakati kiuhalisia sio maeneo mabaya kama majority ya maeneo ya DSM.

Nilitembelea Bonyokwa palinivutia sana napenda kukaa maeneo ya milimani halafu naiona City Centre kama niko Malibu
 
Habari za Jioni wa JF....

Nimekuwa nikifatilia tetesi kadhaa kuhusu maeneo ya Jiji la Dar es Salaama yanayojulikana kama Buza kwa Mpalange.

Hii ilinipa shauku ya kwenda na kutembelea haya makaazi.... kuwa ni maeneo yaliyosahaulika kimaendeleo na kusababisha maoni tofauti kwa kila wananchi ...

Na leo ninaleta ushuhuda wangu, kwa kweli mimi nilikwenda Buza kwa Mpalange na nilipendezwa na mandhari yake, na wala sikukumbana na zile barabara mbovu zenye mabonde na tope za kumwaga..

Na hata sikuvaa gumboots kwa tahadhari sababu nilitaka kushuhudia mwenyewe na kwa kweli nimepapenda na nita kuwa mtembezi wa mara kwa mara katika harakati zangu za mazoezi ya viungo..

Nakaribisha maoni kwa watembezi wa jioni kama mimi.......karibuni
Mirija itaziba kwa particles. Endelea tu siku moja utakuja kuomba ushauri ufanye nini ili upone.

Wakulungwa tupo wengi humu, tutakushauri tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mm nimekuelewa vzuri sana mkuu, ungeva gumboot usingepata uhalisia wa tope, ingawa sio buza kwa mpalange yote ina tope, kuna nyingine kuna tope jingi na nyingine kidogo, ukitaka kutembelea inabidi utoe taarifa ili barabara ifanyiwe usafi.
 
Habari za Jioni wa JF....

Nimekuwa nikifatilia tetesi kadhaa kuhusu maeneo ya Jiji la Dar es Salaama yanayojulikana kama Buza kwa Mpalange.

Hii ilinipa shauku ya kwenda na kutembelea haya makaazi.... kuwa ni maeneo yaliyosahaulika kimaendeleo na kusababisha maoni tofauti kwa kila wananchi ...

Na leo ninaleta ushuhuda wangu, kwa kweli mimi nilikwenda Buza kwa Mpalange na nilipendezwa na mandhari yake, na wala sikukumbana na zile barabara mbovu zenye mabonde na tope za kumwaga..

Na hata sikuvaa gumboots kwa tahadhari sababu nilitaka kushuhudia mwenyewe na kwa kweli nimepapenda na nita kuwa mtembezi wa mara kwa mara katika harakati zangu za mazoezi ya viungo..

Nakaribisha maoni kwa watembezi wa jioni kama mimi.......karibuni
Hapo Kwa Mpalange Ukipanda Mlima Unakwenda Hadi Mwanagati, Kinyantira
 
Back
Top Bottom