Na. M. M. Mwanakijiji
Mungu ni Mungu wa wote. Hana upendeleo na hajali sura, hali, au mahali pa mtu. Wema wake na uaminifu wake ni wa milele. Niandikapo hili nimejawa na huzuni kwani siku chache zilizopita nimepokea taarifa ya kifo cha Padre Pierluigi Dell’Amico kilichotokea huko Trento, Italy...
Buriani Mzee Ali Abdul Mufuruki, Mhandisi Mwenye Mapito Mengi Kwenye Biashara
“Zitto mnahitaji mgombea Urais anayeijua sekta binafsi vizuri asaidie kuijenga Tanzania, ongea na Ali Mufuruki agombee Urais” yalikuwa maneno kutoka kwa mmoja wa rafiki zangu, mwaka Jana katikati ya sakata la zao la...
Buriani Mzee James Mapalala, Wajibu umeutimiza
Zitto Kabwe
James Kabalo Mapalala ametangulia mbele ya haki. Mwenyezi Mungu ndiye anajua amali zake duniani na yeye ndiye atampima kwa matendo yake. Lakini Mzee huyu alitimiza wajibu wake kwa sisi wanadamu tunaoishi Tanzania.
Mimi sikuwa...
ULE msemo kuwa chelewa chelewa utamkuta mwana si wako umejidhihirisha wazi kwenye suala lauwekezaji wa mradi wa Liganga na Mchuchuma wilayani Ludewa mkoani Njombe ambapo mwekezaji, Sichuan Hongda Group yuko njia panda kwa kukosa mwelekeo na kuungwa mkono.
Kampuni imesema madai yote yalikuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.