buriani

  1. Mohamed Said

    Buriani Rafiki Yangu Waziri ''Maestro" Ally

    BURIANI RAFIKI YANGU WAZIRI ''MAESTRO'' ALLY Hakika sisi ni wa Allah na kwake ni marejeo yetu. Kifo hakizoeleki hata kidogo. Nimepokea taarifa ya kifo cha rafiki yangu Waziri kwa mshtuko mkubwa. Nimejuana na Waziri mwaka wa 1979 wakati huo mimi mwanafunzi Chuo Cha Usimamizi wa Fedha (IFM)...
  2. X_INTELLIGENCE

    TANZIA Buriani Paul Buchira Katamuzi - (CATAUX Computer. co)

    Nasikitika sana kuwatangazia kifo cha mwanajamiiforums Paul Buchira Katamuzi sijajua kuwa humu alikuwa anatumia jina gani ila alikuwepo na mara nyingi alikuwa anaizungumzia ofisi yake {CATAUX COMPUTER} iliyokuwa inahusika na ufundi kompyuta ama simu na uuzaji wa vifaa vya simu na kompyuta...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    TANZIA Buriani Peter Richard Mwendamseke

    Peter Richard Mwendamseke alikuwa kijana mjasiriamali, akijikita zaidi kwenye mifumo wa mawasiliano. Pia Peter Richard Mwendamseke alikuwa ni mdau mkubwa wa burudani na michezo. Hakika wana Mbeya wamempoteza kijana wao mahiri. Mungu ailaze Roho ya marehemu mahala pema. Amina
  4. Mohamed Said

    Buriani rafiki yangu Wendo Mwapachu

    Buriani rafiki yangu Wendo Mwapachu! Leo jioni katika makaburi ya Kisutu tumemzika Wendo Mwapachu. Nimemjua Wendo kwa kujulishwa kwake na Ted kama tulivyozoea kumwita. Ted sasa hivi Chief Edward Makwai wa Siha ndiye aliyenijulisha kwake. Wao ni ndugu wa damu na ni siku hiyo hiyo nilimjua kaka...
  5. Deus J. Kahangwa

    Huyu ndiye Padri Privatus Mutekanga Karugendo (1956-2021)

    Hayati Privatus Mutekanga Karugendo: 1956-2021 Tangu mwaka 1990 nilipokuwa kidato cha tatu katika Seminari ya Katoke (Biharamulo) hadi leo nimemfahamu Hayati Privatus Mutekanga Karugendo (65) chini ya kofia tofauti. Nimemfahamu kama mwanateolojia, mwanafalsafa, mchambuzi wa masuala mtambuka...
  6. MTV MBONGO

    Maoni: Dkt. Batilda Buriani ameshushwa mno kuteuliwa kuwa Katibu Tawala

    Dkt. Batilda Buriani alikuwa Balozi Kenya na Japan, Leo kateuliwa kuwa Katibu Tawala mkoa!! Ni kudhalilishwa mno, ni mawazo yangu. Angepewa hata ukuu wa Mkoa.
  7. Mohamed Said

    TANZIA Buriani Abbas Kleist Sykes

    BURIANI BABA, RAFIKI NA MZUNGUMZAJI WANGU BALOZI ABBAS KLEIST SYKES Mwezi October 1999 nilikuwa Dubai na nikikaa Carlton Hotel. Siku moja jioni simu yangu ikalia. Walikuwa BBC London Idhaa ya Kiswahili wanataka kunihoji kuhusu Mwalimu Julius Nyerere ambae wakati ule alikuwa amelazwa St...
  8. Leslie Mbena

    Buriani Rais magufuli, till we meet again

    BURIANI RAIS MAGUFULI,TILL WE MEET AGAIN. Leo 18:30hrs 26/03/2021 Yapo maisha baada ya kifo,kuthibitisha hilo,turejee kufa na kufufuka kwa Bwana wetu Yesu Kristo,Death is not a full stop but a comma,there is life after death,Rais Magufuli umeenda kimwili tuu ila kwa kazi ulizofanya katika...
  9. Mnabuduhe

    Buriani Rais Magufuli - Kiswahili ni lugha ngumu

    Salaam! Tarehe 26/03/2021 Ni siku ya Kumpumzisha Aliyekuwa Rais wetu John Pombe Magufuli huko kwao Chato. Nawapongeza sana JamiiForums Facebook page kwa Kuelewa na Kumuenzi kwa Nukuuu Nkutu alizowahi kuzisema wakati wa uhai wake. Na moja ya nukuu hizo ina maneno haya "Siku moja mtanikumbuka...
  10. CUF Habari

    Chama cha CUF: Buriani Maalim Seif Shariff Hamad

    TAARIFA KWA UMMA NI MSIBA MZITO SANA! BURIANI MAALIM SEIF The Civic United Front CUF- Chama Cha Wananchi kimepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa sana Taarifa ya Kifo Cha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa ACT-WAZALENDO Mheshimiwa Maalim Seif Shariff Hamad kilichotangazwa...
  11. Mohamed Said

    Mkono wa buriani wa mama Sykes kwangu

    MKONO WA BURIANI WA MAMA SYKES KWANGU Hii picha nimepiga na mama Bi. Zainab Sykes tarehe 12 January 2021 nyumbani Mbezi. Nilikuwa natoka kufanya kipindi cha Mapinduzi ya Zanzibar, Studio za Clouds Plus, nikaona kheri nimpitie Mama Sykes kumwamkia. Nimemkuta ameshika mashafu yake anasoma...
  12. Mohamed Said

    Buriani Bi. Zainab Sykes, mhifadhi wa hazina ya nyaraka za historia ya kupigania huru wa Tanganyika baada ya kupata taarifa ya msiba wa mama yangu

    BURIANI BI. ZAINAB SYKES MUHIFADHI WA HAZINA YA NYARAKA ZA HISTORIA YA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Baada ya kupata taarifa ya msiba wa mama yangu Bi. Zainab Sykes baada ya mshtuko kupita niliinamisha kichwa nikarejea utotoni na nikajaribu kukumbuka mama zangu ambao kwa hakika nilikuwa na...
  13. Mohamed Said

    Buriani Asayyid Sharif Hussein Ahmad Badawiy

    BURIANI ASAYYID SHARIF HUSSEIN AHMAD BADAWIY Shariff Hussein Badawiy kaacha athari kubwa sana Dar es Salaam katika usomeshaji wa Qur'an Msikiti wa Badawiy (sasa Rawdha) hadi pale alipofukuzwa Tanganyika mwaka wa 1963 yeye na mdogo wake Mwinyibaba. Masjid Badawiy ilisifika sana kwa kutoa...
  14. Mohamed Said

    Buriani Salum Zahoro

    BURIANI SALUM ZAHORO Makala hiyo hapo chini niliandika miezi miwili iliyopita. Naiweka tena tuisome kama kumbukumbu ya Salum Zahoro aliyefariki jana na kuzikwa jana hiyo hiyo: SALUM ZAHORO MWIMBAJI WA "TANGANYIKA NA UHURU" 1961 NI MGONJWA SANA ANAHITAJI MSAADA Tarehe 9 Desemba TBC walirusha...
  15. Mohamed Said

    Buriani Sheikh Ahmed Haidar

    BURIANI SHEIKH AHMED HAIDAR Sheikh Ahmed Haidar... Mtoto wa Sheikh Haidar Mwinyimvua mmoja wa wapigania uhuru wa Tanganyika na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya TANU. Sheikh Ahmed Haidar mtu mwenye ilm kubwa sana kutoka Azhar. Mpole, "humble," ndani ya mifupa yake. Hata siku moja hakuonekana...
  16. E

    Buriani Rosemary Kambarage Nyerere

    Kwa wale tulioingia Chuo Kikuu cha Dar-es –Salaam faculty of Medicine enzi hizo intake ya mwaka 1982 tutamkumbuka ndugu yetu huyu mcheshi sana Rosemery Nyerere. Miaka hiyo intake moja ilikuwa inachukua wadahiliwa 50 na majina yote tulikuwa tunayakuta kwenye gazeti la Daily News, gazeti la...
  17. Nyani Ngabu

    TANZIA Diego Maradona afariki dunia

    Mwamba hatunaye tena. Alikuwa na miaka 60. Masikitiko makubwa. Rais wa Argentina katangaza siku 3 za maombolezo. ----- Wasifu Wa Hayati Maradona ----- Mmoja wa wachezaji waliobarikiwa, Argentina ilijivunia kipaji cha kipekee, madoido ya ajabu akiwa uwanjani, maono na kasi vilivyovutia...
  18. JOTO LA MOTO

    Buriani John Nash na kiu ya kufahamu ni nini kinakosekana kwa Wasanii wetu hapa Bongo

    John Lester Nash-1940-2020 Nikiwa bado Bw mdogo nyumbani alifika Baba yangu mdogo mmoja akiwa na kaseti kadhaa alizotoka nazo ng'ambo..miongoni mwa nyimbo zilizonivutia kwenye moja ya kaseti ni ngoma ya "rock me baby" Sikujali sana ni nani aliyeimba kibao hicho ila baadae nilikuja kujua...
  19. S

    Ufahamu wa kuzidiwa kwa CCM, ni kama wanatoa buriani kwa wananchi

    Bado kuwaachia mashehe wa Kiislamu tu, sasa tunaona CCM wanajitahidi kuweka na kuziba au kutia viraka sehemu zao,mara walimu, mara pembejeo, mara afya, mara 'ishuwarensi'. Yaani wanahangaika na kurusha madaluga vibaya sana. Walikuwa wapi tokea tupate Uhuru, walikuwa wapi miaka mitano iliyopita...
  20. Companero

    Buriani

    Nchi yetu sasa inaanza kupitia kipindi kigumu sana kama ilivyotabiriwa na wale tulioitwa waleta taharuki. Hakika ni kipindi cha buriani. Kwa tuliofuatilia kwa kina tabia za gonjwa la korona tunajua masaa 24-48 ni mengi mno na hayatabiriki kabisa. Hivyo, hiki ndicho kipindi kigumu cha kupeana...
Back
Top Bottom