TANZIA Buriani Paul Buchira Katamuzi - (CATAUX Computer. co)

Prince Mhando

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
6,725
2,000
Nasikitika sana kuwatangazia kifo cha mwanajamiiforums Paul Buchira Katamuzi sijajua kuwa humu alikuwa anatumia jina gani ila alikuwepo na mara nyingi alikuwa anaizungumzia ofisi yake {CATAUX COMPUTER} iliyokuwa inahusika na ufundi kompyuta ama simu na uuzaji wa vifaa vya simu na kompyuta iliyopo pale mwenge.

Leo imekuwa siku ngumu sana kwangu na watu wako wa karibu. A very humble friend, hard worker, rafiki usiye na mAkuu. Tumefanya kazi nyingi kwa muda mrefu, siamini kama umeondoka kaka. Kweli duniani tunapita tu.

I know you are in a better place and one day we shall meet again, gone, but never forgotten.
Rest in Soul brother.

214624476_2269056359892515_4766985688741291423_n.jpg

Chanzo cha mimi kufahamiana na marehe Paul...ni hapa hapa jamiiforums...laptop yangu ilipata tatizo nikampelekea jamaa alinipokea vizuri sana pale ofisini kwake {cataux computer} Mwenge alishindwa kuitengeneza komputer yangu na aliniambia tu kuwa ile kompyuta isinge faa kutengenezeka.

Paul Buchira Katamuzi mwenyezi Mungu akupe pumziko zuri uko ulipo nina amini kuwa umetangulia kutuwekea nafasi tutakukumbuka sana
 

Prince Mhando

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
6,725
2,000
Labda hii ni special case kwasababu ni mwana jf. Ila watu wakishasikia Kuna corona kila msiba watautangaza hata wa mtu ambaye hajulikani na jamii
mh...kwa upande wangu nimeipost hii ili kutoa taarifa kwa ndugu jamaa wa karibu wanaomfaham tujumuike kumuombea...na kama nilivyoandika hapo juu kuwa nilimfahamu kupitia jf hivyo ninaamini kuna marafiki wengine wengi ambao wapo humu waliokuwa wanafahamiana nae
 

Prince Mhando

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
6,725
2,000
Wewe ni mwongo, huo ujumbe wake haukuwa na jina la aliyepost?
ukisearch humu ilo neno Cataux utaona kuwa kuna account nyingi zilikuwa zinaizungumzia pia sasa ni vigumu sana kujua kuwa nani ni paul na nani sie....kiukweli sijui account aliyokuwa anaitumia....ila natamani kuijua pia kwani mara nyingi akupenda sana kuiweka wazi kwangu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom