bunge

  1. J

    Spika Ndugai atatizwa na tafsiri ya Katiba, aamua kumruhusu Dkt. Mpango kuwaaga wabunge wenzake kabla ya kuthibitishwa na Bunge

    Spika Ndugai amekiri kupata wakati mgumu kwenye kuitafsiri Katiba iwapo Dkt. Mpango awaage wabunge wenzake kabla ya matokeo ya kura kutangazwa na kumthibitisha au baada yake. Amesema iwapo atamtangaza Dkt. Mpango amepitishwa kuwa Makamu wa Rais basi haitawezekana tena mteule huyo kupewa fursa...
  2. Ratiba ya Mkutano wa Bunge la bajeti unaoanza Machi 30

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, litafanya mkutano wa Bajeti kuanzia Machi 30 hadi Juni 30. Katika Siku ya Kwanza ya Mkutano, Bunge litatambua Mchango wa Rais wa Tano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli na kuenzi maisha yake. Pia wameazimia kumpongeza Rais wa Sita wa Tanzania, Samia...
  3. Zimebaki siku nne tu kwa mujibu wa katiba kumtangaza, kuthibitishwa na bunge na kuapishwa kwa Makamu wa Rais

    Salamu wakuu Kuanzia tarehe 17/3/2021 mpaka leo ni siku kumi. Kwakuwa katiba inatamka ndani ya siku 14 makamu awe amepatikana, basi sasa Rais na chama wamebakiwa na siku 4 kutuletea makamu. Niwatakie kila la heri na watuletee mtu mwenye uwezo.
  4. J

    CCM kuitisha mkutano mkuu wa taifa wa dharura haraka iwezekanavyo kujaza nafasi ya Mwenyekiti wa taifa iliyo wazi.

    Komredi Polepole amesema kamati kuu ya CCM imeelekeza mkutano mkuu wa chama uitishwe haraka kujaza nafasi ya mwenyekiti iliyoachwa wazi baada ya John Magufuli kufariki. Hivyo basi mkutano mkuu utaitishwa wakati wowote kuanzia leo. Maendeleo hayana vyama
  5. G

    Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

    Ningependa kujua ikiwa ikatokea bahati mbaya amefariki katika ajali au namna yoyote iwayo, nani ateyeshika nafasi ya uongozi wa taifa letu? ====== 37(5) Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na...
  6. D

    Ikiwezekana, Bunge lianze na mswada wa dharura kujadili Katiba Mpya; hii Katiba ya sasa kitendo cha Makamu kutambuliwa kuwa mrithi ni hatari

    Suala la katiba lipewe kipaumbele sana. Katiba ni uhai. Yapo mengi ya hatari sana kwenye katiba hii. Lakini hili la Mrithi wa rais anayefariki dunia, kuwa ni makamu wa rais (automated) ni hatari sana kwa marais endapo tukipata Makamu asiyemwaminifu. Pia linachangia sana kumuweka mbali...
  7. Bunge kujadili Muswada wa marekebisho ya sheria ya makosa Mtandaoni

    Tough times await artistes, video music producers, advertisers, and individual computer users following proposed tough laws to help tame pornography in the country. Garissa Township MP Aden Duale, in the proposals seen by the Star, wants it made illegal to possess or publish pornography, in any...
  8. E

    Mtu akikamatwa akizoa mafuta kwenye lori la mafuta lililopata ajali afungwe kifungo cha maisha jela

    Naomba bunge litunge sheria ya kifungo cha maisha jela kwa mtu yeyote atakayekamatwa akizoa mafuta yanayomwagika kwenye lori lililopata ajali. Sheria hii itapunguza madhara yanayotokana na malori ya mafuta yanapopata ajali. Tusitumie nguvu nyingi sana, tutumie sheria tu hii itasaidia sana...
  9. J

    IKULU: Dkt. Bashiru Ally Kakurwa aapishwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi na Balozi

    Rais Magufuli leo saa 3.00 asubuhi ananamuapisha Katibu mkuu kiongozi mteule Dr Bashiru Ally. Tukio hili muhimu litakuwa mubashara katika luninga zote za ndani zikiwemo Upendo tv, ITV, TBC, Channel ten, Star tv nk Karibu. Updates: Rais Magufuli ameshaingia ukumbini na Dr Bashiru anakula...
  10. Bunge laahirishwa mpaka Machi 30. Serikali kujenga shule mpya zaidi ya 1000

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameahirisha vikao vya Bunge hadi Machi 30, 2021, na kusema kuwa serikali ipo kwenye utekelezaji wa kujenga shule mpya 1026, kwa kutumia mkopo wa Benki ya Dunia ili kusaidia elimu ya Tanzania na kupunguza uhaba wa shule na madarasa nchini. Waziri Mkuu Majaliwa...
  11. J

    Spika Ndugai aahirisha Bunge na kuwataka Wabunge kuzingatia masharti ya Serikali kuhusu afya zao pia madereva wao wasikimbie hovyo

    Spika wa bunge Mh. Ndugai ameahirisha vikao vya bunge hadi watakapokutana tena kwenye mkutano wa vikao vya bajeti mwezi March, 30. Spika amewataka wabunge kuchukua tahadhari ya afya zao kulingana na miongozo inayotolewa na wizara ya afya kadhalika amewataka wabunge na madereva wao wawe makini...
  12. B

    Kwanini wabunge wa CCM wanatumia hoja za wapinzani walizotoa Bunge lililopita? Hakuna hoja mpya?

    Kwanini hoja zilezile zilizotolewa kwenye bunge Mwaka 2015-2020 ndizo zinazoibuliwa leo na wabunge wa CCM wakati kipindi zinatolewa walizipinga? Hoja ya kutumia taskforce kukusanya kodi iliezwa vyema bunge lililopita na wabunge wa CCM na uongozi wa Bunge pamoja na Mawazir waliipinga vikali...
  13. S

    Hapa hatuna wabunge, tuna wanachama

    Ndiyo, Mkutano wa pili na wa mwanzo kabisa wa mwaka, hakuna hoja za muhimu kwa wananchi zilizojadiliwa na wabunge wa JMT. Badala yake hoja kubwa ni kumuongezea muda wa urais Mh Rais Magufuli. Kuna hoja nyingi za msingi kama: Tahadhari dhidi ya korona Ukosefu wa ajira kwa vijana Deni la...
  14. Bunge si Jumba la Sanaa, ni mahali Patakatifu Kisiasa katika ukombozi wa mawazo ya mnyonge

    Salaam Wana JF, Nianze kwa kusema kuwa wale wanaodhani Bunge letu ni Jumba la Sanaa wanakosea kimantiki na pengine hawajui Majukumu ya Mhimili huu na mipaka yake, Bunge lina utakatifu wake na upekee katika ustawi wa haki na Maendeleo kwa watu, Bunge Ni moyo wa nchi kiutawala. Hatahivyo Kwa...
  15. Video: Hili ndio Bunge la viwango la kijani la awamu hii, msikilize Waziri wa Afya

    Ni vituko juu ya vituko !
  16. J

    Je, ni kupooza kwa Bunge ndio kuliwafanya wachezaji wa Simba SC walale usingizi Bungeni?

    Kuna picha nimeziona kupitia Clouds TV zikiwaonyesha wachezaji wa Simba wakiwa wamelala usingizi bungeni wakati kikao kinaendelea na wao wakiwa ni wageni wa Spika. Ingekuwa aliyeuchapa usingizi ni mchezaji mmoja nisingeanzisha uzi wa swali lakini ni zaidi ya wachezaji watano na mmoja...
  17. Tunakwenda kushudia Bunge la ajabu tangu mfumo wa vyama vingi uanze nchini

    Tusitarajie wabunge wengi kuwa na busara kulalamikia kero za wananchi, kama maji, elimu na miundo mbinu mibovu. Maana wabunge wengi ni wa CCM na wao walikiri kuwa hawastahili kuwa bungeni bali walibebwa kwa mgongo wa JPM. Kwenye hili bunge tutarajie kusikia haya tulioanza kusikia JPM...
  18. J

    Nimekubali Bunge la sasa ni kikao cha CCM. Hesabu hazidanganyi; wabunge wa Upinzani ni 6% tu!

    Baada ya kuliangalia kwa makini bunge katika kikao chao cha jana nakiri kusema kuna tofauti ndogo sana kati ya kikao hicho na kile cha Halmashauri kuu ya CCM (NEC) Upinzani una wabunge 25 kati ya wabunge zaidi ya 390! Tofauti niliyoiona ni uwepo wa Siwa na Posho ya kukaa. Kwa idadi yao...
  19. Je, Mtanzania, una imani Bunge linaloendelea Dodoma?

    Inasemekana kwamba hata ambaye amenyimwa macho basi angalau anapewa uwezo wa kunusa na kupapasa, hanyimwi vyote. Ukweli niliouona (maana macho ninayo) ni kwamba wananchi wengi wamelipuuza na kulidharau kabisa bunge jipya linaloendelea Mjini Dodoma, wadau hawana habari nalo wala hawataki hata...
  20. Bunge limevunja Katiba na kudharau Mahakama waziwazi

    Jana tarehe 1 Februari ilikuwa ni siku ya kuadhimisha miaka 100 ya Mahakama Tanzania. Rais Magufuli aliongea mengi sana lakini hakugusia kuhusu mwingiliano wa Mihimili hii 3: Bunge,Mahakama na Serikali. Nitaeleza. Leo Bunge la JMT limeanza kwa makosa 2 makubwa sana kama ifuatavyo: KUKIUKA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…