bunge

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi TANESCO atakiwa kujieleza mbele ya Kamati ya Bunge (PIC)

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC), imewatimua vigogo wa Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) kwa kushindwa kufika mbele ya kamati hiyo kwa Mkurugenzi Mkuu na Mwenyekiti wa Bodi wa shirika hilo. Mbali na hilo, kamati hiyo imewataka vigogo wa shirika hilo kuandika barua...
  2. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Hivi Bunge linaweza kukataa kuidhinisha jina la Waziri Mkuu linalopendekezwa na Rais?

    Hii haina uhusiano wowote na kikao cha Bunge kinachofuata. Nilitaka kujua tu, hivi wabunge wetu hawa ambao wengi walipita kwa mgongo wa Hayati JPM, ikitokea mmoja 'miongoni mwao' anapigwa chini u PM halafu linapelekwa jina lingine, wanaweza kulikataa? Maana wanasema mwenzako akinyolewa wewe...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Bomba la Maji la Mugango-Kiabakari-Butiama wakaguliwa na Kamati ya Bunge - Jimbo la Musoma Vijijini

    Jumamosi, 14.1.2023, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji ilikagua Mradi wa ujenzi wa miundombinu ya Bomba la Maji la Mugango-Kiabakari- Butiama. Gharama ya Mradi huu ni kubwa: ~ Tsh bilioni 70.5 kutoka Serikali ya Saudi Arabia (49.12%), BADEA (31.40%) na Serikali ya Tanzania...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Je, Wabunge Wasaliti 19 watang'olewa Bungeni?

    Kuna Dokezo kwamba Wabunge wale 19 Wasaliti, waliojiuza na kuapishwa na Job Ndugai kwenye eneo la Gereji ya Bunge, huenda Wakaondolewa Bungeni kwa vile waliingizwa kinyume cha Sheria, inadaiwa kwamba hawana tofauti na lile zuio la mikutano ya hadhara lililoondolewa hivi karibuni . Taarifa zaidi...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Brazil: Wafuasi wa Rais wa zamani wavamia Bunge, Mahakama ya juu na Ikulu

    Wafuasi hao wa Jair Bolsonaro ambaye hakukubali kushindwa kwenye uchaguzi wa Urais, Jumapili Januari 8, 2023 walivamia Bunge, Mahakama ya Juu na Ikulu katika Mji Mkuu wa Brazil, wiki moja baada ya kuapishwa kwa, Rais Luiz Inacio Lula da Silva. Mamia ya waandamanaji waliruka vizuizi vya usalama...
  6. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi na Bunge baada ya November 2025 kuwa kivumbi!

    Rais Samia kapiga kipyenga, Sasa siasa za ushindani wa sera, vyama na watu wenye mvuto, haiba na weledi wa kutetea wananchi zitaanza. Baada ya Magufuli kudominate single handedly siasa za nchi kwa kuwaweka lock up vyama vya siasa, wapinzani au wenye maoni tofauti NDANI ya CCM kupigwa pini...
  7. comte

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya bunge la Marekani kuhusu "return" za kodi za TRUMP zinaonyesha biashara zake zinatengeneza hasara

    Wakati anatangaza nia na hatimaye kuteuliwa na kushida kuwa rais wa Marekani Trump alijipambanua kuwa ni mfanya bishara makini aliyekuwa anatengeneza faida kubwa kutoka kwenye biashara zake. Ili kulinda taarifa hizo alihakikisha taarifa zake za kodi kupita 'RETURN ZA KODI" haziweki wazi. Jambo...
  8. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Bunge linapitisha mambo mimi kama mtanzania nikiangalia naingia huzuni

    MWANAHABARI nguli na anayeheshimika nchini Tanzania, Pascal Mayala amelitupia lawama Bunge la Tanzania kwa kupitisha baadhi ya mambo ambayo kuna wakati yanampa huzuni na hasira kubwa. "Kuna baadhi ya mambo ambayo Bunge letu limefanya ni mambo ndivyo sivyo,hakuna anayejua mambo haya ni ndivyo...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Taja Taasisi ya Serikali ya Tanzania ambayo ilipaswa ifutwe mara 1 bila majadiliano ya Bunge

    Habari! Serikali ya TANZANIA ina taasisi nyingi, ni zaidi ya 450 kama sitakosea. Kila taasisi iliundwa kwa lengo na dhumini maalumu, ingawa baadhi ya taasisi zimefeli kwa % nyingi kutokana na uongozi mbovu wa taasisi husika au kukosa fedha za kuiendesha. Kuna taasisi hazifai kabisa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania EALA: Kinana na Shaka wawafunda Wabunge wa CCM walioapa, Mnyaa wa CUF ndani, ACT Wazalendo hawakubahatika CHADEMA walisusa

    WABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI ( EALA ) WAAPA KIAPO CHA UAMINIFU Katibu wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Bw. Alex Obatre ameongoza zoezi la kuwaapisha wabunge wapya kutoka Nchi Wanachama saba ambazo ni Tanzania, Burundi, Kenya, Uganda, Rwanda, Sudan Kusini, na Kongo DRC. Viongozi...
  11. Jackal

    JamiiForums Tanzania Bunge la Marekani linataka Urusi iondolewe kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Congress Wants to Boot Russia From U.N. Security Council The Biden administration is also interested in watering down Russia’s influence at the United Nations. By Jack Detsch, a Pentagon and national security reporter at Foreign Policy., and Amy Mackinnon, a national security and intelligence...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Bunge la Wananchi CHADEMA

    15 December 2022 LIVE UCHAGUZI WA BUNGE LA WANANCHI CHADEMA Wagombea waelezea jinsi wanavyoweza kulitumikia Bunge la Wananchi la CHADEMA Source: ZAMAMPYA TV https://www.jamiiforums.com/threads/nimependa-concept-ya-chadema-ya-bunge-la-wananchi.1981876/ Katika hotuba yake Mwenyekiti wa...
  13. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Jinsi ‘mikono’ ya Serikali ilivyotishia uhuru Bunge sintofahamu ya kujiuzulu Ndugai

    Spika wa Bunge, Job Ndugai anadaiwa huenda kujiuzulu kwake nafasi ya Spika alilazimishwa na hakujizulu kwa matakwa yake kama ilivyoripotiwa. "Mbali na mawazo hayo, kuliibuka kauli mitandaoni kwamba kiongozi huyo alijiuzulu kwa kulazishwa, jambo ambalo halikuthibitishwa wala kukanushwa"...
  14. comte

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya rushwa kwenye Bunge la Ulaya na marafiki wa CHADEMA

    Baadhi ya wabunge wa bunge la Ulaya wamekamatwa kwa tuhuma za rushwa waliyo lipwa na Qatar kwa sababu ambazo hazijajulikana. Huko ndiko CHADEMA huwa wanaenda kutuchafua wakati wao nao kumbe ni wachafu kama CHADEMA TU. Mtuhumiwa mkuu ni Eva Kaili
  15. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Bunge la Peru lamuondoa Rais Madarakani huku Tanzania Mzee Makamba akichochea kuni moto uwake

    Bunge la nchini Peru limemuondoa madarakani Rais wa taifa hilo Pedro Castillo na nafasi yake kuzibwa na makamu wa Rais Dina Boluarte baada ya Rais huyo kufanya jaribio la kuvunja bunge la nchi hiyo Rais huyo alitangaza kutaka kulivunja bunge la nchi hiyo baada ya bunge kuanza mchakato wa kupiga...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Indonesia: Bunge kupitisha Sheria, watakaofanya ngono kabla ya ndoa Kwenda jela

    Bunge linatarajiwa kuipitisha sheria hiyo mwezi huu Desemba 2022 ambapo adhabu yake ni kifungo cha hadi mwaka mmoja. Sheria hiyo ikipitishwa itawahusu raia wote wazawa na wageni na piaitaruhusu wazazi wa watu ambao hawajaoa kuwaripoti watoto wao kama wameshiriki kufanya tendo hilo. Uchumba...
  17. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri na Waziri Makamba wajiuzulu. Ni kwa kulidanganya Bunge kuwa mgao utaisha Desemba 2022

    Nipo hapa home umeme umekata. Na hii ni Desembe 3. Mlisemea Kinyerezi 1 itakuwa imekamilika. Sasa mbona mmedanganya bunge? ==== Walichokisema November 2, 2022 Serikali imesema makali ya mgao wa umeme nchini yanaweza kupungua mwezi ujao wa Novemba baada ya kukamilika kwa miradi ya umeme...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Senegal: Mbunge mwanaume asitisha hotuba aenda kumpiga mbunge mwanamke, Bunge likiwa ‘LIVE’

    Massata Samb aliyekuwa akitoa hotuba Bungeni alisitisha na Kwenda kumshambulia Amy Ndiaye Gniby kwa kumpiga kichwani, Gniby akajibu mapigo kwa kumrushia kiti Samb. Licha ya Wabunge wengine kuingilia kuwatuliza vurugu ziliendelea kwa wawili hao kuendelea kutupiana maneno na kutaka kushikana...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania China yaikabidhi Zimbabwe 'zawadi' ya jengo la Bunge

    Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amesifu uhusiano "bora" na kati ya nchi yake na Uchina alipotoa kwa mara ya kwanza hotuba kwa Taifa katika jengo jipya la Bunge lenye thamani ya mamilioni ya dola ambao China imelitoa kwa taifa hilo kama Zawadi China ilifadhili na kujenga jengo kubwa la Bunge...
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tuanze kuwatoza kodi wafanyabiashara wanaofanya matangazo ya sauti kwenye maeneo ya biashara

    Kama umewahi kutembelea maeneo ya biashara mfano Kariakoo n.k utagundua kila mahali ni kelele. Kila mtu anatangazo lake na wakati mwingine kusababisha noise pollution kwa watu wengine. Sasa kwanini tusianzishe kodi itakayotozwa kwa hawa wanaosababisha makelele kwenye maeneo hayo? Ni wakati...
Back
Top Bottom