bunge

  1. J

    Dkt. Tulia: Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano Novemba, 2023

    Spika Tulia amesema Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano wa mwezi November 2023 Huyo ni baada ya Kamati za Bunge kuwa zimeshakamilisha wajibu wake wa kisheria. ========== Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka...
  2. MK254

    Bunge la Nigeria lajadili wizi mkubwa sana wa mafuta uliofanywa na China

    Hii China ambayo huonwa kama kimbilio la Afrika, kila mnapoisuta Marekani lazima mtaje China kama mbadala. Nigerian lawmakers have begun a probe into the sale of stolen 48 million barrels of crude oil to China. “It is quite alarming that illegal deals with China cost Nigeria $2.4 billion...
  3. K

    Wabunge wanaotaka kuangaliwa Ushoga watambue hakuna vifaa Maalum vya Uchunguzi

    Kama kweli hawa wabunge wanataka wabunge wote waangaliwe ushoga basi waite Daktari na wajue hakuna vifaa maalumu vya kuangalia. Madaktari wanatumia kidole cha katikati na kuvaa gloves kupima misuli hiyo. Tunawatakia afya njema na tuanze kujadili ripoti ya CAG na sio wapenda vidole na wabunge...
  4. JanguKamaJangu

    Hoja ya Simba kuitwa Bob Jr, Serikali yasema ‘Simba akiitwa jina la Masanja hakuna atakayemjua’

    Serikali imesema majina maarufu yanapotumika katika masuala ya utalii mfano kwa Wanyama kama ilivyokuwa Simba aliyejulikana kwa jina la Bob Jr na mwanaye Rihanna ni sehemu ya kujitangaza kimataifa. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja amesema “Tunapotumia majina maarufu...
  5. Roving Journalist

    Bunge la 12: Mkutano wa 11, Kikao cha 5 leo April 12, 2023

    Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Aprili 12 kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 5 - Maswali na Majibu, Mjadala Bajeti ya Waziri Mkuu
  6. Roving Journalist

    Zitto Kabwe: Bunge lisizuie mjadala, acha Watu waongelee hoja za CAG, huo ndio mchakato wenyewe

    Ameandika Zitto Kabwe, kiongozi wa ACT Wazalendo: CAG akishatoa ripoti yake AMEMALIZA. Ripoti yake ni ya mwisho. Ni FINAL. Kazi inayofuata ni ya Bunge. Umma ujue kwamba, kabla CAG hajatoa ripoti yake Serikali hupewa nafasi ya kujibu hoja za Ukaguzi. Baada ya Ripoti kutoka majibu sio kwa...
  7. JanguKamaJangu

    Bunge la Iran lapendekeza adhabu kali kwa wahusika wa ukatili dhidi ya wanawake

    Bunge la Iran limeidhinisha mapendekezo ya kutoa adhabu kali kwa wahusika wa ukatili dhidi ya wanawake, mapendekezo ambayo yanaweza kupitishwa na kuwa sheria ndani ya miezi michache. Yakianzishwa zaidi ya miaka 10 iliyopita, majadaliano bungeni yalipelekea kupitishwa siku ya Jumapili kwa kanuni...
  8. The Burning Spear

    Bunge lingekuwa na akina Luhaga Mpina japo 50 tu, nchi ingepiga hatua kubwa sana

    Kinachotuponza sisi watanzania wengi ni unafiki na ukigeugeu Nashukuru Mpina toka awe mbunge ana msimamo usiobadilika. Huyu bwana anatimiza wajibu wa bunge kusimamia serikali. kwelikweli Sijaanza kumsikia leo toka Enzo Za JK huyu bwana Yupo straight hamung'unyi maneno. .Pamoja na Chuki na...
  9. BARD AI

    Zitto Kabwe: Serikali ilikopa zaidi ya kiwango kilichoidhinishwa na Bunge

    ACTWazalendo imesema Deni la Taifa liliongezeka kwa 11% kutoka Tsh. Trilioni 64.5 mwaka 2020/21 hadi kufikia Tsh. Trilioni 71 Juni 30, 2022 ambapo Serikali ilichukua Mikopo kwa 30% zaidi ya idhini ya Bunge. Vile vile Mikopo ya Nje yenye masharti nafuu iliyochukuliwa na Serikali ilikuwa 33%...
  10. mkwapuaji

    Wabunge wa bunge la Tanzania wanajua wajibu wao?

    WABUNGE WA TANZANIA WANAWAJIBIKA KWA NANI? Juzi kulikuwa ni kikao cha bunge kilichobeba azimio la kumpongeza Rais Samia. Sina shaka na pongezi za rais lakini shaka ni aina ya ajenda na walioamua kuibeba ajenda. Matatizo ya kujadili kama WABUNGE wanaowakilisha wananchi zaidi ya milioni 60 ni...
  11. K

    Bunge la sasa TZ haliendani na mahitaji ya nchi

    Nimefuatilia sana Bunge hili na kugundua lipo nyuma sana kwa mahitaji ya sasa. Serikali imejitahidi sana kubadilisha mambo mengi kuanzia mazingira ya biashara, utalii, miradi, Kilimo, siasa na mahusiano ya nchi za nje. Lkaini Bunge ni kama vile halijitambui . Kwanza Spika hajiamini na hana...
  12. Stephano Mgendanyi

    Azimio la Bunge la Tanzania la Kumpongeza Rais Samia Limeungwa Mkono na Wabunge Wote

    MHE. ENG. EZRA CHIWELESA AWASILISHA BUNGENI AZIMIO LA KUMPONGEZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wake wa 11, Kikao cha Kwanza tarehe 04/04/2023 limeazimia kwa dhati na kauli moja kumpongeza Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt...
  13. R

    Bunge linazidi kujifia taratibu

    Bunge letu lipo ICU, wamepoteana; spika Hana taarifa kamati zilikwenda kukagua nini ila aliwawezesha. It sounds like fedha za matembezi zilitoka. Wabunge wameacha kusimamia serikali wanatetea serikali kwamba wao wanataka kutuambia Mawaziri wote wapo vizuri ila watumishi WA umma ni vichomi...
  14. Stephano Mgendanyi

    Kihenzile, Sillo & Najma: Wenyeviti Wapya Watatu wa Bunge Waliochaguliwa

    KIHENZILE, SILLO & NAJMA - WENYEVITI WATATU WA BUNGE WALIOCHAGULIWA Bunge limewachagua Wenyeviti watatu wa Bunge ambao watasaidia katika kuongoza vikao vya Bunge kwa maelekezo ya Spika wa Bunge au Naibu Spika kwa mujibu wa Kanuni za Kudumu za Bunge. Waliothibitishwa na Waheshimiwa Wabunge kuwa...
  15. S

    Bunge limepitisha azimio ambalo halipo kwenye ratiba za shughuli za Bunge za leo Aprili 4 2023

    Spika wa Bunge ameendesha azimio la Bunge la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan leo Aprili 4 2023 ambalo halipo kwenye orodha ya shughuli za Bunge za leo. Matokeo yake baadhi ya wabunge wakamstukia Spika na kuamua kujadili madudu yaliyomo kwenye ripoti ya CAG...wakijificha kwenye kumpongeza...
  16. Stephano Mgendanyi

    Daniel Sillo achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Bunge

    Mbunge wa Babati Vijijini, Mhe. Daniel Sillo amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Bunge na kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Mhe. Mussa Zungu aliyechaguliwa kuwa Naibu Spika wa Bunge. Leo Jumanne April 4, 2023 Bunge kwa kauli moja limewapitisha Mhe. Najma Giga (Viti Maalum), Mhe. David Kihenzile...
  17. F

    Spika wa Bunge Tulia Akson asema Ripoti ya CAG haijafika Bungeni Bado

    Asema Ripoti ya CAG haikufika Bungeni na watu wawe watulivu. Amedai baada ya Ripoti kusomwa taarifa huwa inaletwa Bungeni na kujadiliwa na maazimio ya Ripoti kutolewa na Bunge. Ameendelea kusema mambo ya serikali hayaendi kinyemela ila ni kwa sheria na kanuni. Hivyo Ripoti ya CAG ipo jikoni na...
  18. benzemah

    BUNGE LAPITISHA AZIMIO KUMPONGEZA RAIS SAMIA KWA KUIMARISHA DEMOKRASIA NA KUKUZA DIPLOMASIA YA UCHUMI

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wake wa Kumi na Moja, Kikao cha Kwanza, tarehe 04 Aprili, 2023, limeazimia kwa dhati na kauli moja: (a) Kumpongeza Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuimarisha Demokrasia nchini; (b) Kumpongeza Mhe...
  19. Replica

    Bunge lasimama kujadili na kutoa azimio la kumpongeza Rais Samia kwa kuimarisha Demokrasia na Diplomasia ya Uchumi

    Mhandisi Ezra Chiwelesa amewasilisha azimio la Bunge kumpongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu kwa kuimarisha demokrasia nchini na kuimarisha diplomasia ya Uchumi. Mhandisi Ezra pia amemshukuru Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson kwa kuruhusu na kumpa fursa ya kuwasilisha hoja ya azimio...
Back
Top Bottom