Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima ameweka wazi kuwa:
Tume ya Uchaguzi haihusiki na uandishi wa sheria, hivyo kwa wale wanaotishia kususia uchaguzi kutokana na kutoridhishwa na marekebisho ya baadhi ya sheria, wanapaswa kuelekeza malalamiko yao...
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 11, 2025 Jijini Dodoma ambapo wabunge wataendelea kuijadili hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2025/2026.
Kutakuwa pia na taarifa ya matoleo ya Gazeti la Serikali pamoja na nyongeza zake yaliyochapishwa...
Wakuu Nina miaka sisikilizi bunge na Jana nikabahatika kusikiliza Sina uhakika kama lilikuwa live au ni marudio ya miaka ya nyuma huko.
Takribani dk 7 nikiwa mahali nasubiria kupata huduma zilitosha kabisa kujua kumbe tangu niache kusikiliza bunge Hadi Leo Bado vitu vilevile vinajadiliwa...
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 10, 2025 Jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine, kama kawaida kutakuwa na Kipindi cha Maswali na Majibu kwa wabunge kuiuliza maswali Serikali.
Wizara zitakazoulizwa maswali kwa siku ya leo ni pamoja na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na...
BUNGE la 12 linavunjwa rasmi Tarehe 27 Juni 2025 baada ya kumaliza kazi yake kwa miaka 5 kama watanzania tutalikumbuka Bunge hili kwa lipi chini ya Spika Tulia Ackson?
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 9, 2024 Jijini Dodoma ambapo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atasoma hotuba ya bajeti ya ofisi yake na taasisi zake kwa mwaka wa fedha wa 2025/2026.
Taarifa mbalimbali za kamati za kudumu za Bunge nazo zitawasilishwa ikiwemo; Taarifa ya Kamati ya...
Na Waaandishi Wetu
BAADA ya kuanza kukua na kushika kasi kwa ajenda ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kutaka kuzuia kufanyika uchaguzi mkuu wa 2025, wasomi, wanazuoni na wachambuzi wameibuka kuunga mkono.
Wengi wanaona umuhimu wa kusikilizwa na kufanyiwa kazi kwa ajenda ya...
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 umeanza leo Aprili 8, 2025 Jijini Dodoma, ukiwa ni mahususi kwa ajili ya kujadili na kupitisha bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2025/2026.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kitengo cha Mawasiliano na Elimu kwa Umma, Ofisi ya Bunge, miongoni mwa shughuli...
Kama kuna mhimili wa dola unaodharaulika, kutumiwa vibaya na kudhoofishwa basi mhimili wa mahakama ndio kinara.
Sijaona mantiki kwa nchi yenye mihimili rasmi ya dola mitatu inayojitegemea, yaani Rais (serikali), bunge na mahakama, halafu Rais kwa mamlaka yake awe ndio anayeteua mkuu wa mhimili...
Wanabodi
Leo naendelea na zile makala zangu elimishi kuhusu Ijue Katiba ya JMT kwa jicho la mtunga Katiba, nikiliangazia Bunge la JMT. Kwa mujibu wa Ibara ya 62 ya katiba, Kutakuwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano ambalo litakuwa na sehemu mbili, yaani Rais na Wabunge.
Hii maana yake, japo Bunge...
Bunge la 12 limepoteza wabunge 10,ndani ya kipindi cha miaka mitano,wastani wawabunge wawili kwa mwaka.
Halu ni hiyo hiyo kila bunge
Wabunge na watia nia hawapendi kusikua habari kama hizi za kutishana
Tuwaombee bunge lijalo asife hata mkoja ili vaada ya miaka mitano tuwaulize wametufanyia...
Siku hizi, kila jaji, mbunge, mtawala, viongozi wa dini, na matajiri wanaimba wimbo mmoja wa mama anaupiga mwingi. Sijui mwingi upi na vipi na kwa vipi.
Je muungano huu utaiokoa au kuizamisha Tanzania? Hapa bado hatujagusia kuisha kwa ulalamishi wa Visiwani juu ya muungano.
Je nini kifanyike...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeishauri TEMESA kuhakikisha inaongeza kasi ya kusimamia mkandarasi anaetekeleza mradi wa ujenzi wa kivuko kipya cha Mafia Nyamisati ili umalizike haraka na wananchi waweze kupata huduma ya kivuko.
Akizungumza mara baada ya kupokea taarifa...
Arusha, 22 Machi 2025 – Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Japheth Asunga (Mb), ambaye pia ni kiongozi wa msafara wa Kamati hiyo, ameongoza ziara ya ukaguzi wa utekelezaji wa mradi wa kuboresha huduma ya majisafi na usafi wa mazingira katika Jiji la...
Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imeshiriki ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kutembelea mradi wa miundombinu ya Umwagiliaji katika shamba la mbegu la Wakala wa Mbegu (ASA) lililopo Ngaramtoni, eneo lililowekewa miundombinu ya Umwagiliaji Hekta 160 kati ya 200...
Vifaa vya ujenzi wa nyumba mbili za wakuu wa Idara Halmashauri ya Mbeya Mkoa wa Mbeya vyenye thamani ya zaidi ya milioni sabini tatu, havijulikani viliko na hakuna taarifa ya matumizi yake, huku Afisa Manunuzi wa halmashauri hiyo akishindwa kutoa taarifa kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mheshimiwa Augustine Vuma, leo Alhamisi Machi 20, 2025 imetembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Shinyanga, ambapo imeeleza kuridhishwa na hatua iliyofikiwa ya asilimia 75 ya...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imefurahishwa na utendaji kazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) ambao umechochea uboreshaji wa huduma katika bandari mbalimbali hapa nchini uliotokana na maboresho ya uwekezaji.
Akizungumza mara baada kufanya ziara ya kujionea utendaji...
Ni miaka zaidi ya 30 sasa imepita pale ambapo wanasiasa, wadau wa Demokrasia na wanaharakati walitaka kutokee kwa Mageuzi ya sheria za uchaguzi na Katiba ambayo yanahakisi mabadiliko ya kurejea kwa mfumo wa vyama vingi Nchini chini ya NCCR-Mageuzi, lengo la vuguvugu hili mpaka kinabadilishwa na...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imeeleza kuridhishwa na uwekezaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) katika miundombinu ya elimu katika mikoa ya Tanga na Pwani, ikisema miradi hiyo ni hitaji kubwa kwa wananchi wa maeneo husika.
Kamati hiyo imetoa pongezi hizo siku ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.