bukoba

Bukoba is a city situated in the north west of The United Republic of Tanzania on the south western shores of Lake Victoria. It is the capital of the Kagera region, and the administrative seat for Bukoba Urban District. Population estimate: 100,000. The city is served by Bukoba Airport and regular ferry connections to and from Mwanza, as well as roads linking to Uganda's Rakai District for the cross border car commuters with plans underway for a standard gauge railway construction[1] to fulfil the high ambitions of Uganda.

View More On Wikipedia.org
  1. Infantry Soldier

    Jamuhuri ya Afrika ya Kusini (SADC Super Power) walitusaidia wakati wa ajali ya MV Bukoba. Mbona tumewasahau katika janga hili la Mlima Kilimanjaro?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania eti; Jamuhuri ya Afrika ya Kusini (SADC Super Power) walitusaidia wakati wa ajali ya MV Bukoba. Mbona tumewasahau katika janga hili la Mlima Kilimanjaro? Sijataka kuongelea kuhusu Kenya kwa maana wadau wataanza...
  2. F

    Tetesi: Mgomo baridi CCM Bukoba: Viongozi wa chama wahoji matumizi ya malori kusomba watu kwenye mikutano

    Makatibu Uenezi wa Majimbo ya Uchaguzi Mkoani Kagera wameanzisha mgomo baridi wa kuwalazimisha wenye malori ili wasombe watu kwenda mikutano ya kampeini itakayohutubiwa na Waziri Mkuu Majaliwa anayeingia mkoani jumapili 28/9. Wamedai si vizuri CCM kuendelea kujidanganya kuwa ina watu wakati...
  3. CUF Habari

    GE2020 Prof. Lipumba akiwa Bukoba Vijijini: Nitasimamia elimu bora na matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano

    NITASIMAMIA ELIMU BORA NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO "PROF.LIPUMBA" BUKOBA VIJIJINI Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itahakikisha kuwa watoto wote wa Tanzania wanakuwa na haki ya kupata elimu bora ya msingi, elimu ya sekondari na elimu ya juu. Kila raia...
  4. D

    GE2020 VIDEO: Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Bukoba vijijini, Jason Rweikiza afukuzwa na wananchi wakati akiomba kura

    Mambo ni moto. Hii ni leo kwa Rweikiza Bukoba Vijijini
  5. abagabo

    GE2020 Tundu Lissu: Tukishinda na tusitangazwe tutamfikisha Rais Magufuli Mahakama ya Kimataifa “The Hague”

    Tundu Lissu akiwa Bukoba Mjini amesema anasikia taarifa za kuwa wakishinda hawatotangazwa. Amemuasa Rais Magufuli kutothubutu kufanya hivyo akimwambia kuwa hana Jeshi la kuzuia wao kutangazwa hasa ukitegemea hajawalipa wanajeshi vizuri kwa miaka 5. Ameenda mbali zaidi na kusema endapo...
  6. D

    VIDEO: Kada wa CCM amrushia Tundu Lissu jiwe wakati akisalimia wana Bukoba mbele ya jengo la CCM Bukoba, Lissu alazimika kurudi ndani ya gari

    CCM siasa za uhasama mtaacha lini? Tazama hapa!
  7. G Sam

    GE2020 Kampeni za Mgombea Ubunge wa Bukoba mjini kupitia CHADEMA ndugu Chief Karumuna: Bukoba yatikisika!

    Ni siku mbili tu baada ya Magufuli kutoka hapa!
  8. The suspender

    GE2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

    MGOMBEA Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt John Pombe Magufuli, leo Septemba 16, 2020 ameendelea kupiga kampeni, ambapo baada ya kumaliza wilayani Chato, mkoani Geita, Muleba leo yupo Bukoba Mjini mkoani Kagera Uwanja wa Gymkana. MGOMBEA Ubunge jimbo la Bukoba Mjini Stephen Byabato amewaomba...
  9. nivoj.sued

    Kanisa liko sahihi kukataa padre wa Bukoba kugombea ubunge

    Kwa wiki mbili sasa mitandaoni inazunguka barua inayoonyesha ni ya askofu Desiderius Rwoma wa jimbo katoliki la Bukoba. Barua hiyo inahusu padre aliyeandika barua ya kuacha upadre akaenda kusikojulikana. Barua hiyo inaonyesha kwamba padre huyo ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Nkenge...
  10. Doctor Mama Amon

    Swali kwa Joseph Magata: Padre Ildefonsi Katundu aliyegombea ubunge huko Bukoba alikuwa anatafuta jukwaa la kutetea haki za mashoga?

    Mwandishi anayejitambulisha kwa jina la Joseph Magata, amejenga hoja kadhaa kuhusu sakati ya Padre Ildefince Katundu wa Jimbo la Nkenge mkoani Kagera. Magata amefanya hivyo kupitia gazeti la Raia Mwema, ukurasa wa 10, kwenye toleo la 12-18 August 2020. Makala yake ina kichwa cha maneno Kanisa...
  11. M-FINANCE

    Utaratibu wa Mikopo midogo midogo kwa Bukoba Mjini- Wakopeshaji

    Nani mwenye kuwajua wakopeshaji Binafsi kwa Kagera? Kiwango kinachoanzia angalau 5m and above Tuwasiliane kuna jambo la joint
  12. DR HAYA LAND

    GE2020 Wajumbe wa Bukoba Vijijini mmekosa heshima, haiwezekani mumpe kura Rweikiza, sasa subirini kichapo kikali kutoka kwa Conchesta Rwamlaza

    Sisi wananchi wa Bukoba Vijijini tumemkataa Rweikiza then nyie mnaforce mambo sasa subirini kichapo kikali. Nadhani utaratibu unajulikana Wahaya tuko vizuri kichwani. Mazoea mnayoleta mtayajutia Hugo Rweikiza kafanya jambo gani zuri , hata barabara moja haipo Tangia kumpa ubunge ...sasa...
  13. DR HAYA LAND

    GE2020 CCM Bukoba Mjini huyu Kamala Kalumuna mliyempitisha mnadhani sisi watu wa Bukoba hatujitambui! Subirini dawa...

    Katika majimbo yote hapa Tanzania, kwa Bukoba mjini CCM mtachezea kichapo cha karne. Hivi huyo diwani wa Ijuganyondo, kamala anawezaje kumshinda Chief kalumuna kwenye ubunge? Hapo CCM jiandaeni kulia tena uzuri sisi Bukoba mjini tunajitambua.
  14. Roving Journalist

    GE2020 Mwana JamiiForums Happiness Essau, achukua fomu ya Ubunge Jimbo la Bukoba

    Happiness Essau ALITAKA JIMBO LA BUKOBA MJINI, AJITOSA KUCHUKUA FOMU Bi Happiness Essau akikabidhiwa fomu yake ya kugombea Ubunge Jimbo la Bukoba Mjini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Bi Happiness Essau amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini...
  15. MEXICANA

    CCM ili kuokoa jahazi Bukoba Mjini Ubunge, Mch. King James atafaa

    Mimi si mzawa wa Bukoba ila nazijua vizuri siasa za Bukoba. Kwa sasa hivi CCM haina mtu wa kumtikisa mgombea ubunge wa CHADEMA Ndg. Chief Kalumuna. Nasema ukweli kabisa bila kuficha, Chief anatakiwa apambanishwe na vichwa vyenye nguvu ya ushawishi kama King James otherwise wanaCCM tujiandae...
  16. Erythrocyte

    GE2020 Chifu Karumuna achukua fomu ya kugombea ubunge Bukoba Mjini, yasemekana anakubalika kwa 90%

    Huyu kamanda ndiye alikuwa Meya wa Manispaa ya Bukoba, uko uzi humu JF ulioonyesha kwamba Bashiru Ally akishirikiana na Waziri wa fedha walishindwa kumshwawishi huyu kamanda kujiuza.
  17. Babu Kijiwe

    Meli ya New Victoria yawasili salama Bukoba baada ya ukarabati mkubwa

    SOMA PIA>>>Live: Majaribio ya meli kubwa ya kisasa (New Victoria) fuatana nasi kupitia TBC1
  18. MEXICANA

    GE2020 Chief Kalumuna: Mgombea Ubunge pekee wa CHADEMA atayeitikisa CCM kwa Kanda ya Ziwa

    Ni meya msitaafu wa manispaa ya Bukoba kwa akina Rwetabangula,Rweikiza ,etc Kusema ukweli jamaa ana ushawishi wa kisiasa hatari, angekuwa mtumishi wa Jehova nafikiri hata shetani angetubu na kuacha ushetani wake. Ikumbukwe kuwa,Chief Kalumuna mpaka alipofikia hapo ni malezi na taaluma nzuri...
  19. Erythrocyte

    Baada ya kutimuliwa CHADEMA na kuhamia CUF, Lwakatare atikisa Bukoba Mjini. Wananchi wakanyagana mkutanoni

    Picha huongea zaidi kuliko maneno matupu , jionee mwenyewe .
  20. CHIPESI NAMISUKU

    Wilfred Lwakatare, Mbunge Bukoba Mjini asema “Sisi tumekuja Bungeni si chini ya mara moja, kwa tume hii tuliyo nayo. Tuulizeni tulishindaje

    “Sisi tumekuja bungeni si chini ya mara moja, kwa TUME hii tuliyo nayo. Tuulizeni TULISHINDAJE, tuulizeni tulitumia MBINU zipi?. Ili anayekuja kugombea ajue MBINU na kuacha KULIA kwamba tume hii SIO huru," Pia soma > Wilfred Lwakatare arejea CUF baada ya kufutwa uanachama CHADEMA. Kutumika...
Back
Top Bottom