Bugando Medical Centre (BMC) is a tertiary care medical facility owned by the Episcopal Conference of the Catholic Bishops of Tanzania. The hospital is operated in collaboration with the Tanzania Ministry of Health and Social Welfare.
Mimi ni mwakilishi wa Watumishi kadhaa ambao naweza kusema ni wengi katika Hospitali ya Bugando (BMC), kuna malalamiko dhidi ya uongozi ambao tunaweza kusema kuna "unyonyaji na ukandamizaji" unaofanywa na baadhi ya viongozi wa taasisi yetu.
1. Mazingira ya Kazi na Ukandamizaji wa Muda
Moja ya...
Anonymous (a103)
Thread
bugando
changamoto
haki
haki za wafanyakazi
kilio
ukiukwaji
ukiukwaji wa haki
unyanyasaji
wafanyakazi
watumishi
==
Akiongea na Wanahabari Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga anasema, Katika kipindi cha miaka minne ya Rais Samia, Mkoa wa Shinyanga umefanikiwa katika kujenga na kuboresha miundombinu ya afya kwa kiasi kikubwa ikiwemo Kukamilisha Hospitali ya Rufaa ya Mwawaza kwa zaidi ya TZS10 bn, hospitali za Wilaya...
Rais Samia amejenga Hospitali ya Rufaa Mwanza kwa TZS25bn,akaboresha huduma za afya Bugando kwa TZS10bn na akafanya ukarabati wa hospitali kwa TZS5bn
Rais Samia katika jitihada zake za kuimarisha huduma za afya nchini ya Serikali yake ya Awamu ya Sita ametekeleza miradi yenye thamani ya...
Ndugu zangu napiga namba +255282500513 ambazo zipo kwenye website ya Bugando Hospital sipati msaada haipokelei.
Lengo niende kutibiwa wiki ijayo. Sasa nataka kujua siku ambayo unafika na kumuona daktari wa ugonjwa nilionao
Kwenda bila mawasiliano unaweza kuchoma nauli kisha unafika unaambiwa...
Nashauri serikali owe na mpango wa muda mrefu wa kujenga hospitali yake ya rufaa ya mkoa wa Mwanza, iachane na Bugando ambayo si mali yake, na wenye mali wanapnekana kunyanyapaa serikali.
Hii imefanyika maeneo kadhaa kwa kuondoa District Designated Hospital za makanisa na kujenga za kwake...
Ndugu zangu, hapa Mwanza tuna hospitali ya kanda ya Bugando ambayo lengo la uwepo wake ni kuokoamaisha ya Watanzania wa mikoa ya kanda ya Ziwa na mikoa jirani.
Hospitali hii inaaminika kwakua inao watumishi waliobobea kwenye kada zote, na wapo madaktari bingwa kwenye hospitali hii.
Cha...
Kama mada inavyonieleza
Kuna hiki kitendo cha dailysis pale Bugando hospital mambo ni ovyo sana
Kwanza wahudumu hasa wa kike kwenye kile kitengo hawana kauli nzuri kwa wagonjwa wanaokuja kusafisha damu
Suala la kuwatoa wagonjwa kwenye mfumo baada ya kumaliza matibabu nalo ni kero wahudumu...
Siku chache baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto ya lifti katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando iliyopo Jijini Mwanza, hoja hiyo imejibiwa na uongozi wa Bugando.
Kusoma zaidi kuhusu Hoja ya Mdau Bonyeza hapa - Uongozi wa Hospitali ya Bugando chukueni hatua za...
Baltazari Thobias ( 18) kutoka kijiji cha mtoni wilaya ya Ukerewe Mkoani Mwanza afikishwa katika hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando kwa ajili ya uchunguzi na matibabu ya uvimbe ambao amekua nao kwa muda wa miaka minne sasa.
Akiongea baada ya kumpokea, Daktari Bingwa wa magonjwa ya uso...
Jeshi la Polisi limetoa ufafanuzi zaidi kuhusu tukio la kifo cha Limbu Kazilo, Mkazi wa Mtaa wa Kilulu, Wilaya ya Bariadi ambaye inadaiwa amepoteza maisha akiwa chini ya ulinzi wa Jeshi hilo ambapo ndugu wa marehemu wanadai kifo hicho kimesababishwa na kipigo alichokipata kutoka kwa Askari...
Mkuu wa Idara ya Afya na Magonjwa ya Akili Hospitali ya Bugando, Dkt. Catherine Magwiza amesema Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando ya jijini Mwanza inapokea na kuhudumia wastani wa Wagonjwa 5,000 wenye tatizo la Afya ya Akili kila mwaka.
Dkt. Magwiza ametaja baadhi ya Viashiria na...
Idara ya famasi imefanya maboresho makubwa kupitia kitengo cha uzalishaji maji tiba, (Infusion Unit).
Akizungumza katika makabidhiano Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando, Dkt. Fabian Massaga amewapongeza Idara ya Famasi kwa jitahida kubwa wanazofanya ili kuongeza uzalishaji...
Sitaki kuamini hili lakini uvumi huu umeeneea sana kiasi cha kwamba umenifanya niwe na shauku kutaka kujua yaliyojiri kwenye kusign hiyo memorandum maana naona kwa taarifa nilizokuwa nazo malalamishi ni kuwa serikali imeipa CCT na TEC nguvu kubwa ajabu na matokeo yake leo watu watu wanaanza...
Hospital za Bugando na KCMC zinamilikiwa na makanisa na zinaendeshwa kwa ubia na serikali ya JMT. Ninafikiri mikataba yake ingetusaidia sana kwenye mjadala unaoendelea wa bandari
Hospitali ya Rufaa ya Bugando iliyopo Jijini Mwanza ni moja ya Hospitali tegemezi zaidi kwa ukanda huu wa Ziwa na hata kwa mataifa ya Afrika Mashariki kutokana na namna walivyojipambanua kuwa wabobezi katika matibabu mazuri kwa binadamu.
Ni jambo ambalo wakazi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa hasa...
Leo jioni nilienda kumjulia hali mgonjwa wangu aliyelazwa Cancer Center. Sikuamini macho yangu kutokana na usafi niliouona pale Cancer Center.
Chumba cha wagonjwa ni safi sana na sasa ukija kwenye mashuka ambayo ni meupe ni masafi kweli kweli. Hapa Bugando wodi zote ni safi.
Mimi binafsi...
Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando (BMC) imeanzisha utaratibu wa kuwapima usikivu watoto wote wanaozaliwa hospitalini hapo kwa lengo la kubaini na kudhibiti tatizo la usikivu katika hatua ya awali.
Akizungumza leo Machi 3, 2023 wakati wa maadhimisho ya 'Siku ya Usikivu' duniani ambayo...
Jamani tendeni haki.
Kweli hakuna hata msichana hata mmoja aliyeshida kweli? Bugando tendeni haki! Mh Ummy umeona kasoro za kuwashirikisha watu wanaojuana kwenye taasisi kufanyisha Interview.
Inabidi wawe watu wasiowafahamu watainiwa. Hapa Bugando waliofanyisha interview ni walimu wenye ndugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.