Jana tulibishana sana na washikaji zangu wanne kuhusu hii ishu watatu walikuwa upande wa Russia, na si watu wa kawaida wameishi na kusafiri katika nchi nyingi tu ulaya,Marekani,thailand ,mongolia n.k. Hoja yao ilikuwa kwamba Russia ina asilimia kubwa ya wanawake wazuri,matwiga,wako soft...