Alhan wa sahlan
Ukicheki tathmini ya Mshambuliaji machachari Christiano Mugalu aka (the animal) toka ajiunge na Magwiji wa soka nchini Tanzania, yes naizungumzia Simba de sportive club ukipenda waite wekundu wa msimbazi zinaonesha kuwa ndie mshambuliaji bora zaidi kutoka nchini DRC kuwahi...